imani ernest
Senior Member
- Jan 16, 2013
- 138
- 92
Shule inapigwa tena sana tu.... Lakini mwisho wa siku likija suala la vyeo anapewa MCHAGGA!!!! Hoja ndo iko hapo au hamwelewi?
sasa kama ana kigezo cha kupandishwa cheo asipandishwe kwa kuwa yeye mchaga?? Nenda shule ndugu majungu hayatakusaidia!
Acha izo wewe nmewai soma uko kwao nawajua!mchaga kwa akili na uchapaji kazi! na si vinginevyo.
Naona kama huelewi tunachokizungumza. Hapa tunazungumzia usawa katka elimu na si mmoja kasoma na mwingine hakusoma. Elimu tunazosawa au namzidi lakini yeye anapewa cheo ukiuliza mnasema elimu!!!! Mbona hata mimi ninayo elimu nzuri tu lakini sipewi cheo? Anapewa mchagga ninayemzidi elimu? Tena wakati wa utendaji kazi ananitumia mimi kuifanya hiyo kazi lakini mwisho wa siku anaonekana yeye ndo kaifanya hiyo kazi.... Majungu yanakujaje hapa? Kuna ukweli ambao hamtaki kuukubali kwamba wachagga mnapendeleana. Inakuwaje sasa kama yeye anao uwezo mzuri wa kufanya kazi na elimu nzuri ndo maana wamempa cheo iweje sasa kazi zote nazifanya mimi? Yeye amekaa kuagiza tu... Hajui hata report inavyoandikwa mshahara wangu kiduchu yeye burungutu!!!!!
[TABLE="class: MsoTableGrid"]
[TR]
[TD]KIWANGO
[/TD]
[TD="width: 264, bgcolor: transparent"]KABILA LINGINE
[/TD]
[TD="width: 216, bgcolor: transparent"]MCHAGGA
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 93, bgcolor: transparent"]ELIMU
[/TD]
[TD="width: 264, bgcolor: transparent"]BCOM ACCOUNTING
[/TD]
[TD="width: 216, bgcolor: transparent"]BCOM ACCOUNTING
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 93, bgcolor: transparent"][/TD]
[TD="width: 264, bgcolor: transparent"]MBA IN OIL AND GAS MANAGEMENT
[/TD]
[TD="width: 216, bgcolor: transparent"]MBA FINANCE
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 93, bgcolor: transparent"][/TD]
[TD="width: 264, bgcolor: transparent"]ACCA
[/TD]
[TD="width: 216, bgcolor: transparent"]CPA
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
Wote tumeajiriwa kampuni moja ya mafuta inayomilikiwa na wageni: Kwa taaluma hiyo hapo juu unafikiri ni nani anatakiwa awe meneja kuliko mwenzake hapa? Kuwa fair.
Nyie vijana mna matatizo makubwa sana.Naona kama huelewi tunachokizungumza. Hapa tunazungumzia usawa katka elimu na si mmoja kasoma na mwingine hakusoma. Elimu tunazosawa au namzidi lakini yeye anapewa cheo ukiuliza mnasema elimu!!!! Mbona hata mimi ninayo elimu nzuri tu lakini sipewi cheo? Anapewa mchagga ninayemzidi elimu? Tena wakati wa utendaji kazi ananitumia mimi kuifanya hiyo kazi lakini mwisho wa siku anaonekana yeye ndo kaifanya hiyo kazi.... Majungu yanakujaje hapa? Kuna ukweli ambao hamtaki kuukubali kwamba wachagga mnapendeleana. Inakuwaje sasa kama yeye anao uwezo mzuri wa kufanya kazi na elimu nzuri ndo maana wamempa cheo iweje sasa kazi zote nazifanya mimi? Yeye amekaa kuagiza tu... Hajui hata report inavyoandikwa mshahara wangu kiduchu yeye burungutu!!!!!
[TABLE="class: MsoTableGrid"]
[TR]
[TD]KIWANGO[/TD]
[TD="width: 264, bgcolor: transparent"]KABILA LINGINE[/TD]
[TD="width: 216, bgcolor: transparent"]MCHAGGA[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 93, bgcolor: transparent"]ELIMU[/TD]
[TD="width: 264, bgcolor: transparent"]BCOM ACCOUNTING[/TD]
[TD="width: 216, bgcolor: transparent"]BCOM ACCOUNTING[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 93, bgcolor: transparent"][/TD]
[TD="width: 264, bgcolor: transparent"]MBA IN OIL AND GAS MANAGEMENT[/TD]
[TD="width: 216, bgcolor: transparent"]MBA FINANCE[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 93, bgcolor: transparent"][/TD]
[TD="width: 264, bgcolor: transparent"]ACCA[/TD]
[TD="width: 216, bgcolor: transparent"]CPA[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
Wote tumeajiriwa kampuni moja ya mafuta inayomilikiwa na wageni: Kwa taaluma hiyo hapo juu unafikiri ni nani anatakiwa awe meneja kuliko mwenzake hapa? Kuwa fair.
Sio wachaga tu bali ni wakristo
unafahamu kitu kinaitwa iq..unafahamu kwa nini tu anakua mastermind!!?inawezekana utendaji wako pia na elimu yako nzuri ya darasani bt aplication mbovu unashindwa kuongoza watu au hauna influence unashindwa kumastermind vitu basi anapewa mchaga ambae anapiga kazi kinoma noma,kwa ulichoandika hapa tuu inaomyesha umesoma sana bt iq yako bado iko verry low..:nono:
Nyie vijana mna matatizo makubwa sana.
Unaijua job market ilivyo? una experience ya miaka mingapi? background yako ipo kwenye nini?
Mimi nimeshafanya interview na watu wenye masters na post graduate diploma juu yake.......nikawatwanga kw aibu kubwa. Sikuwatwanga kwasababu mimi ni mchaga, hapana, ni kwasababu I am more capable than them, far more than their certificates.
Uliza ni kwa nini Nape haingii hata robo kwa kijana Mnyika.
One important point, kwenye ajira ukijifanya mjuaji sana utaishia kulalamika tu na makaratasi yako, kama unajua sana kuliko ujuaji wenyewe nenda kajiajiri.
form 4 ndo unasema umesoma?? Au kadegree kamoja??
Hiyo IQ inasomewa chuo gani na kwa miaka mingapi? Mmebadili utetezi.......siyo elimu tena bali ni IQ!!!! Ambayo wanayo wachagga tu makabila mengine IQ yao iko "low"...... I see. Mwanzo mlisema wachagga wamesoma sana kupita wengine leo nimekuonesha CV umebadili tena hoja. hebu nieleze hiyo IQ inapimwaje mpaka ionekane mchagga tu ndo anayo IQ ya kuweza kuwa meneja... Maana meneja ni mtu mwenye uwezo wa kufanya kazi kwa mpangilio bora, ujuzi na utaalamu pia uwezo wa kushawishi wenzake na kufikia lengo la kazi husika. Sasa huwa wanampimaje mtu? Au IQ inasomewa? Kama umeneja ni uwezo mbona bado mchagga akipewa umeneja huwa anaomba msaada kwetu?
Hilo la IQ limeniacha hoi...maana IQ hata kwenye kampuni ya mafuta inayohitaji mtu aliyesomea mafuta kumbe utaalamu hauhitajiki bali ni IQ!!!!!!!
Mfano:
Jeshi la police: 80% ya RPC NI WACHAGA
CRDB: 75% YA BRANCH MANAGER'S TANZANIA NI WACHANGA
ONGEZEA!!!!!!!!!!!!!!!!
Hebu chukua scenario hii.... Kuna nafasi ya kazi ilitaka watu wenye ujuzi na elimu ya Masters na CPA. Tukapata watu wawili mimi na mchagga. Lakini huyo mchagga hakuwa na masters wala CPA bali alikuwa na B.COM. Tukariport kazini pamoja lakini yeye akawa ndo boss wangu!!!! Yaani akawa incharge!!!!! Therefore, hoja yako ya uwingi wa wachagga hai-apply hapa maana tulikuwa wawili tu na elimu inayotakiwa ili uwe incharge mimi nilikuwa nayo yeye hakuwa nayo lakini akapewa u-incharge yeye!!!! Tatizo ndo liko hapo.........
Nakubaliana na mleta mada tatizo si kusoma wahaya,wanyakyusa na wakerewe wamesoma sana lakini wenzetu wachaga na wapare wanajua mbinu za kujipanga hivyo kujazana sehemu muhimu za kazi si kwa bahati mbaya ni mipango bwana.Watanzania tuko takribani milioni 40 wachaga hazidi milioni 3 kama kungekuwa na fair distribution za ajira kulundikana sehemu kama TRA,CRDB na kwinginepo kungepungua na makabila mengine wangepata nafasi hizo on merit basis.
Mimi sisemi kuwa wewe hukupata cheo kutokana na uwingi wa Wachaga. Mimi nilikuwa nazungumzia kuhusu Tanzania kwa jumla kuwa Wachaga watakuwa wengi ndiyo wenye vyeo kwani ndiyo waliosoma zaidi.
Inawezekana kabisa ulionewa. Hilo ni swala tofauti kabisa. Unaweza kuonewa na Mchaga, Mmasai, Mngoni, n.k. Uonevu na ubinafsi hauna kabila moja.