Kwa nini wachaga ni wabaguzi sana katika vyeo- bila kuwa mchaga hupandi cheo

Status
Not open for further replies.
Wachaga oyeeeeeeeeeee!!! Itikieni basi! Naskia hata kabla nyerere hajaenda ulaya kudai uhuru mchaga alishafika huko,that's why I like these kind of a creature,they think in and out of this circle,let them brag a bit,na si wachoyo wa maujanja ya kimaisha,ndiyo maana mahali pasipo na maendeleo wakija wachagga watano tu eneo lote linachangamka,I like them dudes especially wapalestina(machame)a really hustlers of a new world.
 
sasa kama ana kigezo cha kupandishwa cheo asipandishwe kwa kuwa yeye mchaga?? Nenda shule ndugu majungu hayatakusaidia!

Naona kama huelewi tunachokizungumza. Hapa tunazungumzia usawa katka elimu na si mmoja kasoma na mwingine hakusoma. Elimu tunazosawa au namzidi lakini yeye anapewa cheo ukiuliza mnasema elimu!!!! Mbona hata mimi ninayo elimu nzuri tu lakini sipewi cheo? Anapewa mchagga ninayemzidi elimu? Tena wakati wa utendaji kazi ananitumia mimi kuifanya hiyo kazi lakini mwisho wa siku anaonekana yeye ndo kaifanya hiyo kazi.... Majungu yanakujaje hapa? Kuna ukweli ambao hamtaki kuukubali kwamba wachagga mnapendeleana. Inakuwaje sasa kama yeye anao uwezo mzuri wa kufanya kazi na elimu nzuri ndo maana wamempa cheo iweje sasa kazi zote nazifanya mimi? Yeye amekaa kuagiza tu... Hajui hata report inavyoandikwa mshahara wangu kiduchu yeye burungutu!!!!!

[TABLE="class: MsoTableGrid"]
[TR]
[TD="width: 93, bgcolor: transparent"]KIWANGO
[/TD]
[TD="width: 264, bgcolor: transparent"]KABILA LINGINE
[/TD]
[TD="width: 216, bgcolor: transparent"]MCHAGGA
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 93, bgcolor: transparent"]ELIMU
[/TD]
[TD="width: 264, bgcolor: transparent"]BCOM ACCOUNTING
[/TD]
[TD="width: 216, bgcolor: transparent"]BCOM ACCOUNTING
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 93, bgcolor: transparent"]
[/TD]
[TD="width: 264, bgcolor: transparent"]MBA IN OIL AND GAS MANAGEMENT
[/TD]
[TD="width: 216, bgcolor: transparent"]MBA FINANCE
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 93, bgcolor: transparent"]
[/TD]
[TD="width: 264, bgcolor: transparent"]ACCA
[/TD]
[TD="width: 216, bgcolor: transparent"]CPA
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]

Wote tumeajiriwa kampuni moja ya mafuta inayomilikiwa na wageni: Kwa taaluma hiyo hapo juu unafikiri ni nani anatakiwa awe meneja kuliko mwenzake hapa? Kuwa fair.
 
Wenzetu walisoma mapema!Na kuonja ustaarabu wa Mzungu.

Hata Wahaya wenzetu ni shule imewakomboa.Naweza kukuorodhesha Professa vijana wa kihaya huko USA>
Kwa nini hakuna Wamakonde?Wakwere?Wanyiramba?
 
mchaga kwa akili na uchapaji kazi! na si vinginevyo.
Acha izo wewe nmewai soma uko kwao nawajua!
All in all ni watu ambao mission walitua nanga uko kitambo so shule walikuwa nayo da mrefu mpaka nyerere alipowastukia kuanza kuwaprune.
Pia mmoja wao akiwa kwa shirika fulani lazima abebe wenzake mafano TRA
Cha msing apa ni shule na hardworking one day cheo kitapanda tuu
 
ni watafutaji sana hawa jamaa fanyeni juhudi na nyinyi muwabague wengine:nono:
 
unafahamu kitu kinaitwa iq..unafahamu kwa nini tu anakua mastermind!!?inawezekana utendaji wako pia na elimu yako nzuri ya darasani bt aplication mbovu unashindwa kuongoza watu au hauna influence unashindwa kumastermind vitu basi anapewa mchaga ambae anapiga kazi kinoma noma,kwa ulichoandika hapa tuu inaomyesha umesoma sana bt iq yako bado iko verry low..:nono:
Naona kama huelewi tunachokizungumza. Hapa tunazungumzia usawa katka elimu na si mmoja kasoma na mwingine hakusoma. Elimu tunazosawa au namzidi lakini yeye anapewa cheo ukiuliza mnasema elimu!!!! Mbona hata mimi ninayo elimu nzuri tu lakini sipewi cheo? Anapewa mchagga ninayemzidi elimu? Tena wakati wa utendaji kazi ananitumia mimi kuifanya hiyo kazi lakini mwisho wa siku anaonekana yeye ndo kaifanya hiyo kazi.... Majungu yanakujaje hapa? Kuna ukweli ambao hamtaki kuukubali kwamba wachagga mnapendeleana. Inakuwaje sasa kama yeye anao uwezo mzuri wa kufanya kazi na elimu nzuri ndo maana wamempa cheo iweje sasa kazi zote nazifanya mimi? Yeye amekaa kuagiza tu... Hajui hata report inavyoandikwa mshahara wangu kiduchu yeye burungutu!!!!!

[TABLE="class: MsoTableGrid"]
[TR]
[TD]KIWANGO
[/TD]
[TD="width: 264, bgcolor: transparent"]KABILA LINGINE
[/TD]
[TD="width: 216, bgcolor: transparent"]MCHAGGA
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 93, bgcolor: transparent"]ELIMU
[/TD]
[TD="width: 264, bgcolor: transparent"]BCOM ACCOUNTING
[/TD]
[TD="width: 216, bgcolor: transparent"]BCOM ACCOUNTING
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 93, bgcolor: transparent"][/TD]
[TD="width: 264, bgcolor: transparent"]MBA IN OIL AND GAS MANAGEMENT
[/TD]
[TD="width: 216, bgcolor: transparent"]MBA FINANCE
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 93, bgcolor: transparent"][/TD]
[TD="width: 264, bgcolor: transparent"]ACCA
[/TD]
[TD="width: 216, bgcolor: transparent"]CPA
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]

Wote tumeajiriwa kampuni moja ya mafuta inayomilikiwa na wageni: Kwa taaluma hiyo hapo juu unafikiri ni nani anatakiwa awe meneja kuliko mwenzake hapa? Kuwa fair.
 
Naona kama huelewi tunachokizungumza. Hapa tunazungumzia usawa katka elimu na si mmoja kasoma na mwingine hakusoma. Elimu tunazosawa au namzidi lakini yeye anapewa cheo ukiuliza mnasema elimu!!!! Mbona hata mimi ninayo elimu nzuri tu lakini sipewi cheo? Anapewa mchagga ninayemzidi elimu? Tena wakati wa utendaji kazi ananitumia mimi kuifanya hiyo kazi lakini mwisho wa siku anaonekana yeye ndo kaifanya hiyo kazi.... Majungu yanakujaje hapa? Kuna ukweli ambao hamtaki kuukubali kwamba wachagga mnapendeleana. Inakuwaje sasa kama yeye anao uwezo mzuri wa kufanya kazi na elimu nzuri ndo maana wamempa cheo iweje sasa kazi zote nazifanya mimi? Yeye amekaa kuagiza tu... Hajui hata report inavyoandikwa mshahara wangu kiduchu yeye burungutu!!!!!

[TABLE="class: MsoTableGrid"]
[TR]
[TD]KIWANGO[/TD]
[TD="width: 264, bgcolor: transparent"]KABILA LINGINE[/TD]
[TD="width: 216, bgcolor: transparent"]MCHAGGA[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 93, bgcolor: transparent"]ELIMU[/TD]
[TD="width: 264, bgcolor: transparent"]BCOM ACCOUNTING[/TD]
[TD="width: 216, bgcolor: transparent"]BCOM ACCOUNTING[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 93, bgcolor: transparent"][/TD]
[TD="width: 264, bgcolor: transparent"]MBA IN OIL AND GAS MANAGEMENT[/TD]
[TD="width: 216, bgcolor: transparent"]MBA FINANCE[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 93, bgcolor: transparent"][/TD]
[TD="width: 264, bgcolor: transparent"]ACCA[/TD]
[TD="width: 216, bgcolor: transparent"]CPA[/TD]
[/TR]
[/TABLE]

Wote tumeajiriwa kampuni moja ya mafuta inayomilikiwa na wageni: Kwa taaluma hiyo hapo juu unafikiri ni nani anatakiwa awe meneja kuliko mwenzake hapa? Kuwa fair.
Nyie vijana mna matatizo makubwa sana.
Unaijua job market ilivyo? una experience ya miaka mingapi? background yako ipo kwenye nini?

Mimi nimeshafanya interview na watu wenye masters na post graduate diploma juu yake.......nikawatwanga kw aibu kubwa. Sikuwatwanga kwasababu mimi ni mchaga, hapana, ni kwasababu I am more capable than them, far more than their certificates.

Uliza ni kwa nini Nape haingii hata robo kwa kijana Mnyika.

One important point, kwenye ajira ukijifanya mjuaji sana utaishia kulalamika tu na makaratasi yako, kama unajua sana kuliko ujuaji wenyewe nenda kajiajiri.
 
unafahamu kitu kinaitwa iq..unafahamu kwa nini tu anakua mastermind!!?inawezekana utendaji wako pia na elimu yako nzuri ya darasani bt aplication mbovu unashindwa kuongoza watu au hauna influence unashindwa kumastermind vitu basi anapewa mchaga ambae anapiga kazi kinoma noma,kwa ulichoandika hapa tuu inaomyesha umesoma sana bt iq yako bado iko verry low..:nono:

Hiyo IQ inasomewa chuo gani na kwa miaka mingapi? Mmebadili utetezi.......siyo elimu tena bali ni IQ!!!! Ambayo wanayo wachagga tu makabila mengine IQ yao iko "low"...... I see. Mwanzo mlisema wachagga wamesoma sana kupita wengine leo nimekuonesha CV umebadili tena hoja. hebu nieleze hiyo IQ inapimwaje mpaka ionekane mchagga tu ndo anayo IQ ya kuweza kuwa meneja... Maana meneja ni mtu mwenye uwezo wa kufanya kazi kwa mpangilio bora, ujuzi na utaalamu pia uwezo wa kushawishi wenzake na kufikia lengo la kazi husika. Sasa huwa wanampimaje mtu? Au IQ inasomewa? Kama umeneja ni uwezo mbona bado mchagga akipewa umeneja huwa anaomba msaada kwetu?
Hilo la IQ limeniacha hoi...maana IQ hata kwenye kampuni ya mafuta inayohitaji mtu aliyesomea mafuta kumbe utaalamu hauhitajiki bali ni IQ!!!!!!!
 
Nyie vijana mna matatizo makubwa sana.
Unaijua job market ilivyo? una experience ya miaka mingapi? background yako ipo kwenye nini?

Mimi nimeshafanya interview na watu wenye masters na post graduate diploma juu yake.......nikawatwanga kw aibu kubwa. Sikuwatwanga kwasababu mimi ni mchaga, hapana, ni kwasababu I am more capable than them, far more than their certificates.

Uliza ni kwa nini Nape haingii hata robo kwa kijana Mnyika.

One important point, kwenye ajira ukijifanya mjuaji sana utaishia kulalamika tu na makaratasi yako, kama unajua sana kuliko ujuaji wenyewe nenda kajiajiri.

Hoja hakuna ni ukabila tu....Na ndo maana hatutawaachia wachagga washike nchi hata siku moja...... Maana mkipewa kawizara tu mnajazana wachagga na wapare tupu!!!!!! Ina maana ninyi tu ndo mna 'background nzuri". Mara mseme bacground" mara mseme elimu nzuri...mara mseme mna IQ nzuri.....tuwaeleweje? Hata hiyo ajira uliyopata unayoisema itakuwa hao uliowashinda watakuwa ni makabila mengine na haujashindana na wachagga wenzio;........na aliyeku-interview atakuwa mchagga ndo maana unajisifu kuipata kazi kumbe ulisaidiwa......Poleni kwa ubaguzi na Mungu atawapatia nchi ya kwenu tu na mtaiita "Jamhuri ya kaskazini"
 
kwa hiyo hapo nilichoandika umeona iq tuu na hayo uliyoyacoppy kunijbu hujayaona au!?na kweli wewe iq yako ni ndogo sana mimi hapo nimetaja factor nyingi zinazosababisha mtu wa levo yako au uliemzidi kielimu akuzidi cheo!nimejibu kutokana na hoja yako ndio maan nilikiquote ndugu...tukisema elimu ni jibu la general na linafahamika nilikujibu wewe kwa hoja yako koz ulikuja na ushahidi wako wa dhahiri japo ckujali kama ni wa kweli au feki...simpo ilibidi ujue tu kuwa nimekupa sababu za yeye kukuzidi cheo ila wewe kwa ujinga wako na attitude na negativity zako na psycology effects kwenye ubongo wako towards them umekurupuka kunijibu kama unavyokurupuka kusema wanapendeleana....angalia hapo niliyokuambia ujipime usikute hapo ulipo hata ------ angekuzidi cheo nakuongezea tena uongozi na ubosi co upuuzi inahitaji kuwa na busara na makini kumpamtu cheo kama upo kwenye org kubwa lazima wamekunyima kwa sababu ya kutokuwa na uwezo wa kucombine factors hapo ofcn
Hiyo IQ inasomewa chuo gani na kwa miaka mingapi? Mmebadili utetezi.......siyo elimu tena bali ni IQ!!!! Ambayo wanayo wachagga tu makabila mengine IQ yao iko "low"...... I see. Mwanzo mlisema wachagga wamesoma sana kupita wengine leo nimekuonesha CV umebadili tena hoja. hebu nieleze hiyo IQ inapimwaje mpaka ionekane mchagga tu ndo anayo IQ ya kuweza kuwa meneja... Maana meneja ni mtu mwenye uwezo wa kufanya kazi kwa mpangilio bora, ujuzi na utaalamu pia uwezo wa kushawishi wenzake na kufikia lengo la kazi husika. Sasa huwa wanampimaje mtu? Au IQ inasomewa? Kama umeneja ni uwezo mbona bado mchagga akipewa umeneja huwa anaomba msaada kwetu?
Hilo la IQ limeniacha hoi...maana IQ hata kwenye kampuni ya mafuta inayohitaji mtu aliyesomea mafuta kumbe utaalamu hauhitajiki bali ni IQ!!!!!!!
 
Hebu chukua scenario hii.... Kuna nafasi ya kazi ilitaka watu wenye ujuzi na elimu ya Masters na CPA. Tukapata watu wawili mimi na mchagga. Lakini huyo mchagga hakuwa na masters wala CPA bali alikuwa na B.COM. Tukariport kazini pamoja lakini yeye akawa ndo boss wangu!!!! Yaani akawa incharge!!!!! Therefore, hoja yako ya uwingi wa wachagga hai-apply hapa maana tulikuwa wawili tu na elimu inayotakiwa ili uwe incharge mimi nilikuwa nayo yeye hakuwa nayo lakini akapewa u-incharge yeye!!!! Tatizo ndo liko hapo.........

Mimi sisemi kuwa wewe hukupata cheo kutokana na uwingi wa Wachaga. Mimi nilikuwa nazungumzia kuhusu Tanzania kwa jumla kuwa Wachaga watakuwa wengi ndiyo wenye vyeo kwani ndiyo waliosoma zaidi.

Inawezekana kabisa ulionewa. Hilo ni swala tofauti kabisa. Unaweza kuonewa na Mchaga, Mmasai, Mngoni, n.k. Uonevu na ubinafsi hauna kabila moja.
 
Nakubaliana na mleta mada tatizo si kusoma wahaya,wanyakyusa na wakerewe wamesoma sana lakini wenzetu wachaga na wapare wanajua mbinu za kujipanga hivyo kujazana sehemu muhimu za kazi si kwa bahati mbaya ni mipango bwana.Watanzania tuko takribani milioni 40 wachaga hazidi milioni 3 kama kungekuwa na fair distribution za ajira kulundikana sehemu kama TRA,CRDB na kwinginepo kungepungua na makabila mengine wangepata nafasi hizo on merit basis.
 
Suala ni kupeleka watoto wetu shule bora hasa za seminari in twenty years or so watafika hapo haya maneno tuache jamani tanzania yetu tutaivuruga jamani.
 
Mimi sisemi kuwa wewe hukupata cheo kutokana na uwingi wa Wachaga. Mimi nilikuwa nazungumzia kuhusu Tanzania kwa jumla kuwa Wachaga watakuwa wengi ndiyo wenye vyeo kwani ndiyo waliosoma zaidi.

Inawezekana kabisa ulionewa. Hilo ni swala tofauti kabisa. Unaweza kuonewa na Mchaga, Mmasai, Mngoni, n.k. Uonevu na ubinafsi hauna kabila moja.

Umeanza kukimbia hoja.... Nakupa scenario unaitoroka.....Sasa nataka nikwambiaje, katika uonevu wa kubaguliwa kupandishwa vyeo haujawahi kufanywa na makabila usiyoyataja bali ni kabila moja tu kati ya yale umeyataja yaani wachagga. halafu hayo makabila mengine watapata wapi nafasi ya kutubagua wakati hawajashika nyadhifa zozote katika idara za serikali? Maana hawajasoma ila wachagga tu ndo wamesoma!!!!!!!!
 
kwa wakati huu ambapo nchi yetu imekumbwa na tatizo la udini ni vyema kumuomba Mungu( kila mtu kwa imani yake) atupe busara na hekima katika kunena na kutenda.
Je mtoa mada lengo lako ni kueneza ukabila au lengo lako ni lipi hasa?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom