sasa kama ana kigezo cha kupandishwa cheo asipandishwe kwa kuwa yeye mchaga?? Nenda shule ndugu majungu hayatakusaidia!
Naona kama huelewi tunachokizungumza. Hapa tunazungumzia usawa katka elimu na si mmoja kasoma na mwingine hakusoma. Elimu tunazosawa au namzidi lakini yeye anapewa cheo ukiuliza mnasema elimu!!!! Mbona hata mimi ninayo elimu nzuri tu lakini sipewi cheo? Anapewa mchagga ninayemzidi elimu? Tena wakati wa utendaji kazi ananitumia mimi kuifanya hiyo kazi lakini mwisho wa siku anaonekana yeye ndo kaifanya hiyo kazi.... Majungu yanakujaje hapa? Kuna ukweli ambao hamtaki kuukubali kwamba wachagga mnapendeleana. Inakuwaje sasa kama yeye anao uwezo mzuri wa kufanya kazi na elimu nzuri ndo maana wamempa cheo iweje sasa kazi zote nazifanya mimi? Yeye amekaa kuagiza tu... Hajui hata report inavyoandikwa mshahara wangu kiduchu yeye burungutu!!!!!
[TABLE="class: MsoTableGrid"]
[TR]
[TD="width: 93, bgcolor: transparent"]
KIWANGO
[/TD]
[TD="width: 264, bgcolor: transparent"]
KABILA LINGINE
[/TD]
[TD="width: 216, bgcolor: transparent"]
MCHAGGA
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 93, bgcolor: transparent"]
ELIMU
[/TD]
[TD="width: 264, bgcolor: transparent"]
BCOM ACCOUNTING
[/TD]
[TD="width: 216, bgcolor: transparent"]
BCOM ACCOUNTING
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 93, bgcolor: transparent"]
[/TD]
[TD="width: 264, bgcolor: transparent"]
MBA IN OIL AND GAS MANAGEMENT
[/TD]
[TD="width: 216, bgcolor: transparent"]
MBA FINANCE
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 93, bgcolor: transparent"]
[/TD]
[TD="width: 264, bgcolor: transparent"]
ACCA
[/TD]
[TD="width: 216, bgcolor: transparent"]
CPA
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
Wote tumeajiriwa kampuni moja ya mafuta inayomilikiwa na wageni: Kwa taaluma hiyo hapo juu unafikiri ni nani anatakiwa awe meneja kuliko mwenzake hapa? Kuwa fair.