Polisi sasa hivi wanalinda raia na mali zao?Mwendakuzimu aliwaruhusu kufanya Ujangili na kujipatia Fedha Kwa Uporaji wa Mali za Raia
Sasa hivi wanalazimika kufanya kazi Yao ya Kulinda Raia na Mali zao.
Nikuseme wewe tena?We wa ajabu. Tunajadili ya sheitwani jpm wewe unanisema mimi
Ha ha ha ha,mkuu Magufuli alikuwa mtu makini saana,itatuchukua miaka mingi sana kumpata mtu kama huyo tena.....miaka mingi sana nasema
Tatizo kubwa ni uduni wa elimu.Amani iwe nanyi.
Mimi ni mmoja wa watumiaji wa mitandao ya kijamii, specifically Whatsapp. Katika matumizi hayo, napitia sana Status za marafiki pamoja na jamaa zangu.
Ninao jamaa ambao nawafahamu wanafanya kazi katika idara na majeshi husika. Japo hawapost mara nyingi, ila wanapopost huwa wanamweka Magufuli katika kurasa zao hizo, ikiambatana na caption mbakimbali kama Mwamba, emoji za machozi, nk
Ukifatilia trend, hata hapo majuzi wakati wa Sikukuu ya Noeli, video ya Magufuli ndiyo iliyotrend zaidi ya video ya Mh Rais Samia. Video ile ilisambazwa kwa wingi na sehemu kubwa ya Watumishi majeshi tajwa.
Watu hao katika post zao tisa kwa wastani, basi Mh Samia atapostiwa mara moja pekee au asipostiwe kabisa.
Sina shaka na kuwaamulia watu hao nini cha kupost, ila nina hamu kufahamu nini haswa kinawafanya wamkumbuke Rais Magufuli zaidi ya Mh Samia?
Katika kuwadodosa, wanasema wazi Magufuli aliboresha maisha yao na kuwapa meno kwa kiasi kikubwa..
Rais Samia kwa upande mwingine anaonekana kuwabana na kuwarudisha katika mstari wa kusimamia haki na kuwalinda Raia.
Je,nini haswa kinawafanya Wamkumbuke Rais Magufuli kuliko Amri Jeshi Mkuu wa sasa?
Kuna siri nyuma ya pazia ambayo hatuifahamu?
Magufuli anatumikia dhambi za aliowaua akina Ben Saanane, Azory Gwanda, LwajabeNa mimi sizungumzii maovu ya hao viongozi bali hiyo chuki kwa kiongozi mmoja tu, ndio maana umeulizwa Magufuli alikufanya nini chenye kufanya uwe na chuki?
Magufuli alikuwa ni shetani ndani ya mwili wa mwanadamu. Kama hujui tafsiri ya neno SHETANI kwenye kamusi, basi angalia matendo ya Magufulihuyu huyu Magufuli niliye omba usiku na mchana afe??
Rais wa ajabu kuwahi kutokea. Mwizi, mbinafsi na aliye ua matumaini ya watu wengi sana wenye fedha zao.
kiongozi aliye vunja Katiba ya JMT mara 365!!
huyu huyu Magufuli aliye tamani kutawala milele?
kuna watu watampenda kwasababu aliwapa idhini ya kupokea rushwa ya kubrashia viatu.
Hili ndo jibu, kama kweli akisemacho mtoa mada maana si yeye tu mwenye kuwajua majeshi........wengine tunao wanafamilia kabisa na marafiki kibao ambao ni wanajeshi na hatulisikii hilo analolisema yeye, kubisha hili ni kutaka tu kupeleka mbele mjadala.Katika utawala wowote wa kidikteta, jeshi huogopwa sana maana ndo mkono wa dikteta. Wanakuwa na kinga nyingi. Sisi binadamu tuna hulka kupenda kuogopwa. Sasa ikitokea fursa inatumika vizuri na wenye fursa hiyo zaidi ni vyombo2vya usalama maana they are law enforcers.
Nina rafiki kwenye taasisi moja ya serikali. Anasema wakati wa Magu kila mmoja alianza kushona kaunda suti ili adhaniwe kuwa usalama wa Taifa. That alone tells about the mentality.
Inashangaza sana, hivi usalama wa taifa ungekuwa wa kiboya hivi kuweza kueleweka uelekeo wake hata na wehu tu kama hawa tungelikuwa salama nchi hii kama tulivyo kweli?!!!!!Hapa JF watu huongea habari za usalam wa Taifa kama vile wanaongea habari za WBC....
Wewe unawajua usalama woote na umewafanyia mahojiano wakakwambia haya?
Au yanatoka kichwani kwako?
Mwendakuzimu aliwaruhusu kufanya Ujangili na kujipatia Fedha Kwa Uporaji wa Mali za Raia
Sasa hivi wanalazimika kufanya kazi Yao ya Kulinda Raia na Mali zao.
Kila binaadamu ana dhambi zake na atazitumikia na ndio maana nikasema hata hao viongozi waliyopita huko nao walikuwa na madhambi yao waliuwa na kutesa watu pia ila tofauti hapa hamuwachukii pamoja na kufanya hayo maovu yao, labda mseme watu aliyowauwa Magufuli wana hadi ya mitume ndio maana mmeguswa sana na mawauwaji aliyofanya Magufuli.Magufuli anatumikia dhambi za aliowaua akina Ben Saanane, Azory Gwanda, Lwajabe
acha fix, Vyombo vya dola hivi hivi ndiyo vilivyomuweka SSH madarakani kwa kusimamia Katiba.Je,nini haswa kinawafanya Wamkumbuke Rais Magufuli kuliko Amri Jeshi Mkuu wa sasa?
Kuna siri nyuma ya pazia ambayo hatuifahamu?
Amani gani mkuu unayozungumzia? Alivyoingia Samia makundi ya panya road yakarudi na kuanza kuibia watu kuwadhuru na hadi kuuwa, polisi wakaanza kukamata watu hovyo na kuuwa hadi sasa polisi wanakamata tu watu na kuwagea kesi kwa uonevu na kutaka rushwa.Wanampenda sababu alikuwa anawapa mapesa wamlinde kwa kuua na kunyonga hovyo. Sasa hivi amani
Ushetani sio kuuwa tu hata wewe ukiwa mzinifu uliyokubuhu pia ni shetani.Magufuli alikuwa ni shetani ndani ya mwili wa mwanadamu. Kama hujui tafsiri ya neno SHETANI kwenye kamusi, basi angalia matendo ya Magufuli
Sawa.Amani iwe nanyi.
Mimi ni mmoja wa watumiaji wa mitandao ya kijamii, specifically Whatsapp. Katika matumizi hayo, napitia sana Status za marafiki pamoja na jamaa zangu.
Binafsi sioni tatizo hapa.(Unawafahamu) marafiki, au umejiingiza vipi kwenye hayo makundi? Hususan Wassapu?Ninao jamaa ambao nawafahamu wanafanya kazi katika idara na majeshi husika. Japo hawapost mara nyingi, ila wanapopost huwa wanamweka Magufuli katika kurasa zao hizo, ikiambatana na caption mbakimbali kama Mwamba, emoji za machozi, nk
Bado sijaona tatizo, na naamini kama hata wameposti hizo Video wamefanya kama Raia wa Kawaida...au Ukiwa Mjeshi wewe sio Binadamu? au Raia? wa Nchi?Ukifatilia trend, hata hapo majuzi wakati wa Sikukuu ya Noeli, video ya Magufuli ndiyo iliyotrend zaidi ya video ya Mh Rais Samia. Video ile ilisambazwa kwa wingi na sehemu kubwa ya Watumishi majeshi tajwa.
Bado sijaona Tatizo... Naona kama kawivu hapa? Unawachongea kiaina hapa...au?Watu hao katika post zao tisa kwa wastani, basi Mh Samia atapostiwa mara moja pekee au asipostiwe kabisa.
Haha, ...si "Unawafahamu" kwa nini Usiwaulize? au haukuwa na Ujasiri huo? Kama kweli unawafahamu na upo kwenye kundi lao kwanini usiwa dodose zaidi? Ahhh ...Ebo Raisi Samia yupo hapa Duniani...Jazba tofauti. na Walio hai na Waliotangulia au? Kwanini? Umkumbuke...?Sina shaka na kuwaamulia watu hao nini cha kupost, ila nina hamu kufahamu nini haswa kinawafanya wamkumbuke Rais Magufuli zaidi ya Mh Samia?
Uliwauliza? ( ) Ni nini Kibaya katika Kuboresha maisha ya Raia wako? Wowote? Haya meno...Ndio yapi?Katika kuwadodosa, wanasema wazi Magufuli aliboresha maisha yao na kuwapa meno kwa kiasi kikubwa..
Mhhh , Unataka kusema nini hapa...kweli hao ni marafiki zako? Wanabanwa na nini haswa? Ni sawa kuwabana Jeshi lako? Hakuna Jenerali au Amiri Jeshi Mkuu sehemu yeyoye ile katika Dunia anataka kufanya Hivyo....ni Kutafuta taharuki....Rais Samia kwa upande mwingine anaonekana kuwabana na kuwarudisha katika mstari wa kusimamia haki na kuwalinda Raia.
Kwa maana nyingine unataka kudai hawafutailii Amri, hawamtii Amri Jeshi Mkuu....Ukumbuke huko juu nimesoma Mama.... hapa Imekaaje mara bin vuuu ni Amri Jeshi Mkuu? Unataka kusema nini? Kumkumbuka? Kuto tii Amri? Walimtii Amri Hayati kuliko Mama kwa Sababu yeye ndio anyetoa Amri Kuu....sielewi hapa...Je,nini haswa kinawafanya Wamkumbuke Rais Magufuli kuliko Amri Jeshi Mkuu wa sasa?
Mtu ambaye ame "dodosa" na Kuambiwa kuwa maisha yao yaliboreshwa na kupewa meno(nguvu za kisheria au? Bado tu kuna kitu? Hujaridhika na dodosa zako? au Siri nyuma ya pazia? la nani Amri Jeshi au Mama au 'Unaowafahamu' Unazusha? UnakisiaKuna siri nyuma ya pazia ambayo hatuifahamu?
Panya Road ndio nani? Mlimsoma yule Herieri na wenzake waliodai wao wanadawa....wanafundisha kutumia Silaha ili wawaue.Amani gani mkuu unayozungumzia? Alivyoingia Samia makundi ya panya road yakarudi na kuanza kuibia watu kuwadhuru na hadi kuuwa, polisi wakaanza kukamata watu hovyo na kuuwa hadi sasa polisi wanakamata tu watu na kuwagea kesi kwa uonevu na kutaka rushwa.
Mara mama Anupiga Mwngi. Mara Pongezi lukuki.Sawa Kama alikuwa panya road unategemea Nini?
Mwisho mfumo wa sheria yaani Polisi na Mahakama Kuna uonevu na rushwa Sana huko.
Umewagundua na wewe....Jamaa ni Hatari sana. Wanabebwa kumwaga chuki.Kwani polis wanajeshi na watumishi wa umma wao hawanunui mchele kg1 3500!? Ni lazima wamkumbuke mishahara hafifu gharama za maisha zimepanda mara mbili kama sio tatu ,kwa marehemu badget line ilikuwa ina balance na vipato vyao kwa ujumla.