Kwa nini Wanajeshi, polisi, magereza na Usalama wa Taifa bado wanamlilia Rais Magufuli?

This is nonsense
 
Swali linalokosa jibu hapa ni kwamba kwanini mumchukie Magufuli tu kwa maovu na mapungufu yake ya uongozi ila hamuwachukii viongozi waliyotangulia kwa maovu na mapungufu yao ya kiuongozi kwenye awamu zao? Je ni kweli mnachukia maovu?

Kuorodhesha hayo mambo ya Magufuli hapa ili kuonyesha mabaya yake sio hoja maana mie sie simtetei Magufuli hapa.
 
Nchi zetu hizi ni vichekesho tu,hawa wanajeshi wetu huwezi kuwaelewa kabisa je wanalinda wananchi au mafisadi.
 
Mbona unakuwa kama malaya au shoga sasa!!. Umenitaka nikutajie sababu kwa nini watu wanamchukia Magufuli mbali na kuwaua akina Ben Sanane na kumshambulia Tundu Lissu. Nimekupa sababu dozen 2 na zaidi.

Bado unataka tuandike maovu ya Marais wengine walotangulia. Sisi hatuyajui, kaandike wewe
 
Nimekwambia nyie hamchukii maovu bali mnamchukia Magufuli kwa sababu zengine ambazo hamzitaji, ingekuwa mnachukia maovu basi mngewachukia na hao viongozi wengine kwa maovu yao. Nimetoa mfano wa Kikwete kumtesa Ulimboka na alikusudia kumuuwa kabisa ila kanusulika kama Lissu lakini Kikwete hamkumchukia kwa huo unyama wake.

Huwezi kuyajua hayo maovu ya viongozi wengine kwa sababu ukweli ni kwamba hamchukizwi na maovu, mnataja hayo maovu ya Magufuli na kuyarudia rudia hata siku nzima kama vile kasuku tu kwa sababu mnamchukia Magufuli(kwa sababu zenu msizozisema) na kutaka tuone kwamba Magifuli tu ndio rais pekee aliyefanya maovu nchi hao wengine walikuwa hawana maovu ndio hawazungumziwi.
 
Zungumza wewe sasa maovu ya wengine
 
Zungumza wewe sasa maovu ya wengine
Ndio maana hunielewi, point yangu sio kuorodhesha maovu tu kama mnavyofanya nyie hapa bali point yangu ni kwamba hiyo chuki mliyonayo kwa Magufuli haitokani na kuchukia maovu (ya Magufuli) kama mngekuwa mnachukizwa na maovu basi mngewachukia na viongozi wengine kwa maovu yao na nimetoa mfano mmoja wa Kikwete alivyomtesa Ulimboka na kutaka kumuuwa ni sawa kabisa na Magufuli alichokufanya kwa Lissu ila Kikwete hakuchukiwa kwa uwovu huo(na unasema kabisa hujui maovu ya hao viongozi wengine) cha ajabu Magufuli ndio anachukiwa kwa uovu wake kwa Lissu.

Ifike mahali tuache unafki weka sababu za kweli za kwanini unamchukia Magufuli amekufanya nini na sio kuorodhesha matukio mara Lissu mara BenSaa8 kumbe si kweli unachukia maovu.

Mchana mwema mkuu.
 
Wewe orodhesha hayo maovu ya viongozi wengine, hakuna aliyekuzuia.
 
Wanauwezo wa kupindua meza na kugeuza viti, wanaogopa nini???
 
Wakati wa jiwe police wakiongoza kubambikia kesi na kuua
 
Wewe orodhesha hayo maovu ya viongozi wengine, hakuna aliyekuzuia.
Hoja yangu sio kuorodhesha maovu hapa bali ni kueleza kwamba chuki zenu kwa Magufuli zitakuwa si kwa sababu ya kuchukia maovu yake, kwa sababu mngekuwa ni watu wa kuchukizwa na maovu basi tungeona mkiwachukia na viongozi wengine kutokana na maovu yao. Nimetoa mfano mmoja wa Kikwete ambaye alimfanyia unyama Ulimboka na alokusudia kumuuwa kabisa ila hamkumchukia Kikwete kwa huo uovu kama kweli mnachukizwa na waovu na maovu yao ila ndio kwanza mnasema hamuyajui hayo maovu ya viongozi wengine.
 
Walikuambia lini au unajitekenya
 
Itachukua muda sana kumpata mtu kama magufuli coz wanyonge ndio tuliguswa n utendaji wake but ammafisadi ndo waliolia
 
Wewe orodhesha hayo maovu ya viongozi wengine, hakuna aliyekuzuia
 
Hapa JF watu huongea habari za usalam wa Taifa kama vile wanaongea habari za WBC....

Wewe unawajua usalama woote na umewafanyia mahojiano wakakwambia haya?
Au yanatoka kichwani kwako?
Ni hulka ya baadhi ya watanzania kuropoka na kushobokea mambo wasiyoyafahamu!. Utasikia jitu linakuambia nina rafiki pale usalama wa taifa ameniambia hv na hv!. Ushenzi mtupu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…