ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
Upuuzi tuu,sizitaki mbichi hizi 😂😂Nimekwambia sihitaji PhD za uongo mimi. PhD ya uongo hainisaidii chochote mimi.
Na pia sipendi sifa za uongo.
Samia hata kuielezea katiba tu hawezi, seuze masuala makubwa ya kiuchumi au geopolitics?
Mfano?Tena PhD za Mitaani Ndio zinafanya mambo makubwa kuliko za darasani
Hujaona Dr Musukuma alivyotunukiwa kwenye Vibanda Umiza 😂😂PhD za mitaani? Nuff said 🤣🤣
Hivi TaleTale PhD yake amesoma chuo gani?Duh
Sasa mbona wewe mwenye uwezo wa Kusoma na Kufaulu hupewi huo Udaktari wa Msukuma na Babu Tale?
Au Wivu tu unakusukuma!! 😃
Kwa hiyo India inajipendekeza Kwa Samia 🤣🤣Wanapewa kwa sababu wanaowapa wanajipendekeza tu, huyo bimdashi ana mchango mkubwa? Upi?
Dr Mo Dewji wa Makolo FC 😂Mfano?
Hapa umetupiga kamba ndugu Mjumbe 😂Tena PhD za Mitaani Ndio zinafanya mambo makubwa kuliko za darasani
Judea University, Israel 😀Hivi TaleTale PhD yake amesoma chuo gani?
Mr. Ngabu,Naona kama vile kuna watu hapa nchini waonao mtu kupewa ule udaktati wa heshima ni sawa na ule wa kuusomea.
Ukweli ni kwamba, si sawa hata kidogo.
Juzi hapa Rais wenu kapewa tena udaktari wa heshima huko India.
Tayari sasa katika utambulisho wake, watu wameshaanza kumwita eti Dr. Samia Suluhu Hassan.
Naye kwa kupenda ujiko, hata hagomi kuitwa hivyo.
Yupo tu anachekelea na kufurahia.
Now let’s face it. Katika hali ya kawaida, Samia hana uwezo wa kusoma na kufaulu mpaka kiwango cha PhD.
Kuna watu unaona kabisa huyu ana uwezo huo. Mfano Julius Nyerere au Benjamin Mkapa.
Hao ukiwasikiliza tu hata vile waongeavyo kuhusu mada mbali mbali, unauona kabisa uwezo wao.
Ni watu ambao wamewahi kuandika makala zilizochapishwa na magazeti na majarida mbali mbali duniani. Ni watu ambao wameshaahiriki kwenye mijadala mikubwa ya kimataifa na kutoa, kujenga, na kutetea hoja zao kwa umahiri mkubwa sana huku wakiwa na ‘command ya facts’ isiyo na mashaka.
Hao hata wakipewa udaktari wa heshima, mtu unaona kweli wanastahili maana hata wangeamua kupitia mkondo wa elimu, huo udaktari wangeupata tu.
Ila huyu tuliyenaye sasa, hana uwezo wa kupitia mkondo wa elimu na kuipata Phd.
Huo udaktari wake wa kupewa, unatokana na yeye kubahatika tu kuwa Rais.
Hana uwezo wa kuwa PhD wa ukweli…..
Naomba unipe exceptional achievement ya Dr. Musukuma na bimdashi...manake naona mmeamua kuzigawa kama njugu tu!!Kwa hiyo India inajipendekeza Kwa Samia 🤣🤣
Ona kubwa jinga hili ,wivu unakufanya ukose akili View attachment 2778434
PhD naijua vizuri sana kabla hata sijazaliwa.Kwa hali ya Kisiasa tuliyonayo pamoja na machawa tuliowazalisha usishangae wewe mwenyewe ukibahatika kuwa Raisi wa Tanzania ukapewa huo u-Dr, na ukafurahia mwenyewe kuitwa Dr Nyani Ngabu
Kama Mbunge Msukuma amepata udaktari wa heshima kwa kuwaongoza Wananchi wa jimbo moja tu, iwe ajabu kwa Samia anayeongoza Watanzania milioni 60?
TaleTale huku bongo alimaliza lini shahada yake ya kwanza na alisoma chuo gani?Judea University, Israel 😀
Musukuma alipewa na nani? Na Chuo gani chenye heshima kubwa Duniani?Naomba unipe exceptional achievement ya Dr. Musukuma na bimdashi...manake naona mmeamua kuzigawa kama njugu tu!!
Sihitaji kupewa.Upuuzi tuu,sizitaki mbichi hizi 😂😂
Sio huhitaji huna uwezo wa kupewa Kwa lipi by the way?
We unaumia sana inakuuma, Acha ujinga, hayo ni mawazo ya kiwakiNaona kama vile kuna watu hapa nchini waonao mtu kupewa ule udaktati wa heshima ni sawa na ule wa kuusomea.
Ukweli ni kwamba, si sawa hata kidogo.
Juzi hapa Rais wenu kapewa tena udaktari wa heshima huko India.
Tayari sasa katika utambulisho wake, watu wameshaanza kumwita eti Dr. Samia Suluhu Hassan.
Naye kwa kupenda ujiko, hata hagomi kuitwa hivyo.
Yupo tu anachekelea na kufurahia.
Now let’s face it. Katika hali ya kawaida, Samia hana uwezo wa kusoma na kufaulu mpaka kiwango cha PhD.
Kuna watu unaona kabisa huyu ana uwezo huo. Mfano Julius Nyerere au Benjamin Mkapa.
Hao ukiwasikiliza tu hata vile waongeavyo kuhusu mada mbali mbali, unauona kabisa uwezo wao.
Ni watu ambao wamewahi kuandika makala zilizochapishwa na magazeti na majarida mbali mbali duniani. Ni watu ambao wameshaahiriki kwenye mijadala mikubwa ya kimataifa na kutoa, kujenga, na kutetea hoja zao kwa umahiri mkubwa sana huku wakiwa na ‘command ya facts’ isiyo na mashaka.
Hao hata wakipewa udaktari wa heshima, mtu unaona kweli wanastahili maana hata wangeamua kupitia mkondo wa elimu, huo udaktari wangeupata tu.
Ila huyu tuliyenaye sasa, hana uwezo wa kupitia mkondo wa elimu na kuipata Phd.
Huo udaktari wake wa kupewa, unatokana na yeye kubahatika tu kuwa Rais.
Hana uwezo wa kuwa PhD wa ukweli…..
Unataka kusema Samia ni mtu wa bidii na mafanikio katika kazi kuliko Julius Nyerere na Benjamin Mkapa?Samia yeye hataki imra (maneno matamu yasiokua na uhalisia) yeye kaamua kutoongeaongea na kutekeleza.
Malanyingi mtu anaependa kuongea saana na maneno matamu mbele za watu mtu huyo ni mtu wa sifa na mafanikio kidogo kwasababu mtu anaeongea sana sio mtu mwenye bidii kwenye kazi yake.
Mtu asiependa kuongea saana ni mtu wa kazi na malanyingi huyo ni mtu wa kufanikiwa sana kwenye kazi zake.
Hivyo wanaomtunuku udakitali sio wajinga wanaangalia kazi zake.
Uwezo ulionao wewe ni WA kuchukia Samia na kulamba k ya mkeo tuu nothing else 😁😁Sihitaji kupewa.
Nina uwezo wa kuipata.