mlimilwa
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 3,268
- 3,439
Hahahahahahahahahahahaha.....sinahaja nayo mkuu..mara sio mala, udaktari sio udakitali na wewe PHD utaisikia kwa wenzako[emoji23]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahahahahahahahahahaha.....sinahaja nayo mkuu..mara sio mala, udaktari sio udakitali na wewe PHD utaisikia kwa wenzako[emoji23]
Na secondary amesoma lini?Wakati Dr Mwijaku anachukua digrii ya kwanza
Rais anaweza kuitumia bully pulpit yake ku - discourage huo utambulisho anaopewa.Binafsi nakuombea uje uwe Rais wa Bongoland miaka ijayo tuone kama nawe utaweza kukiepuka kikombe cha kupewa PhD Feki kama Watangulizi wenza.
Usichojua ni kuwa kuna watu wanafaidika na Rais kupewa hizi PhD Feki, hivyo kitendo cha kuwakatalia ni sawa na kuukata mkono unaokulisha
kwahiyo bahati ya mwenzio unailalia mlango wazi na gubu, right?Naona kama vile kuna watu hapa nchini waonao mtu kupewa ule udaktati wa heshima ni sawa na ule wa kuusomea.
Ukweli ni kwamba, si sawa hata kidogo.
Juzi hapa Rais wenu kapewa tena udaktari wa heshima huko India.
Tayari sasa katika utambulisho wake, watu wameshaanza kumwita eti Dr. Samia Suluhu Hassan.
Naye kwa kupenda ujiko, hata hagomi kuitwa hivyo.
Yupo tu anachekelea na kufurahia.
Now let’s face it. Katika hali ya kawaida, Samia hana uwezo wa kusoma na kufaulu mpaka kiwango cha PhD.
Kuna watu unaona kabisa huyu ana uwezo huo. Mfano Julius Nyerere au Benjamin Mkapa.
Hao ukiwasikiliza tu hata vile waongeavyo kuhusu mada mbali mbali, unauona kabisa uwezo wao.
Ni watu ambao wamewahi kuandika makala zilizochapishwa na magazeti na majarida mbali mbali duniani. Ni watu ambao wameshaahiriki kwenye mijadala mikubwa ya kimataifa na kutoa, kujenga, na kutetea hoja zao kwa umahiri mkubwa sana huku wakiwa na ‘command ya facts’ isiyo na mashaka.
Hao hata wakipewa udaktari wa heshima, mtu unaona kweli wanastahili maana hata wangeamua kupitia mkondo wa elimu, huo udaktari wangeupata tu.
Ila huyu tuliyenaye sasa, hana uwezo wa kupitia mkondo wa elimu na kuipata Phd.
Huo udaktari wake wa kupewa, unatokana na yeye kubahatika tu kuwa Rais.
Hana uwezo wa kuwa PhD wa ukweli…..
Mwijaku naye ni Daktari?Wakati Dr Mwijaku anachukua digrii ya kwanza
Ni aibu sana washamsoma na mataifa mengi yatafanya hivyo mjiandae debe bila content hutika sanaNaona kama vile kuna watu hapa nchini waonao mtu kupewa ule udaktati wa heshima ni sawa na ule wa kuusomea.
Ukweli ni kwamba, si sawa hata kidogo.
Juzi hapa Rais wenu kapewa tena udaktari wa heshima huko India.
Tayari sasa katika utambulisho wake, watu wameshaanza kumwita eti Dr. Samia Suluhu Hassan.
Naye kwa kupenda ujiko, hata hagomi kuitwa hivyo.
Yupo tu anachekelea na kufurahia.
Now let’s face it. Katika hali ya kawaida, Samia hana uwezo wa kusoma na kufaulu mpaka kiwango cha PhD.
Kuna watu unaona kabisa huyu ana uwezo huo. Mfano Julius Nyerere au Benjamin Mkapa.
Hao ukiwasikiliza tu hata vile waongeavyo kuhusu mada mbali mbali, unauona kabisa uwezo wao.
Ni watu ambao wamewahi kuandika makala zilizochapishwa na magazeti na majarida mbali mbali duniani. Ni watu ambao wameshaahiriki kwenye mijadala mikubwa ya kimataifa na kutoa, kujenga, na kutetea hoja zao kwa umahiri mkubwa sana huku wakiwa na ‘command ya facts’ isiyo na mashaka.
Hao hata wakipewa udaktari wa heshima, mtu unaona kweli wanastahili maana hata wangeamua kupitia mkondo wa elimu, huo udaktari wangeupata tu.
Ila huyu tuliyenaye sasa, hana uwezo wa kupitia mkondo wa elimu na kuipata Phd.
Huo udaktari wake wa kupewa, unatokana na yeye kubahatika tu kuwa Rais.
Hana uwezo wa kuwa PhD wa ukweli…..
Samia kafanya nini kwenye uchumi?Machapisho ya Rais samia ni mengi sana ambayo ameyaandika kwa Vitendo na siyo makaratasi tu,ameandika katika kila nyanja kuanzia kilimo, biashara,uchumi, miundombinu,elimu ,afya,kupunguza umaskini na kuongeza kipato cha mtu mmoja mmoja n.k.
Katika uchumi ameongeza mapato kufikia Trilioni mbili kwa mwezi pasipo vitisho kwa wafanyabishara wala kufungia biashara za watu au kupora pesa zao kinyume cha sheria.
Ameongeza wawekezaji nchini kutokana na sera nzuri zinazovutia wawekezaji nchini,ndio maana wawekezaji wamekuwa wakimiminika nchini kwa wingi sana ,na hivyo kutengeneza maelfu ya fursa za ajira kwa vijana pamoja na kuongeza wigo wa kodi.amefanya mapinduzi ya kilimo kwa kuongeza bajeti ya kilimo kutoka billion mia mbili hadi kufikia billion mia tisa sabini.
Amejenga miradi mbalimbali ya kimkakati ambayo italeta mapinduzi makubwa sana na matokeo chanya katika uchumi wetu kutokana na uwekezaji wake.ameboresha huduma za kijamii na kusogeza karibu ya mwananchi.
Aliyoyafanya katika uchumi wetu ni zaidi ya Elimu ya darasani ,ni zaidi ya uprofesa wa uchumi ni zaidi ya vyote hivyo.
Wewe endelea na umbumbumbu wako na chuki zako binafsi pamoja na mawazo yako ya kibaguzi wakati Rais wetu akiendelea kusonga mbele kwa kishindo.
Usemacho ni sahihi Mkuu, tatizo la Viongozi wetu wanapenda Sifa za Kijinga.Rais anaweza kuitumia bully pulpit yake ku - discourage huo utambulisho anaopewa.
Hafanyi hivyo. Tafsiri hapo ni anapenda sifa za uongo uongo.
Hivi JWTZ nao wakiamua kumpa ujenerali wa heshima au ufield marshall wa heshima, napo ataanza kutambulishwa kama Jenerali au Field Marshall Samia Suluhu Hassan?
Nikupe mfano….Usemacho ni sahihi Mkuu, tatizo la Viongozi wetu wanapenda Sifa za Kijinga.
Hukuona wakati ule wanavyalishwa Makombati ya Jeshi?
Mwenzao Nyerere alivaa wakati ule wa Vita vya Kagera
Wao wanavaa ili wapate sifa, na Machawa wao wanakuja kuwatetea kwamba ni lazima wavae as ni Amiri Jeshi Mkuu 🙌
Siasa imeingia hadi huko Jeshini, kwahiyo kwa Nature ya Viongozi wetu wakipewa hizo Sifa za U-Field Marshall lazima watazipokea na watakuwa wanatamba nazo Majukwaani.
Natamani tupate Rais asiye na hayo ma-Mind set ili tupige hatua za maendeleo, maana Machawa wanawapotosha Viongozi wetu hivyo kuishia kufanya Mark time
Mbona umemsahau MAGUFULI? Unajuwa unaweza ukaficha kitu fulani moyoni ila maandishi yakakuumbua! Inaonekana wewe ni katika ya wale wanaoamini kuwa ili uwe na uwezo wa kusoma au kuongoza nchi ni lazima uwe wa imani fulani, kitu ambacho hata sayansi inakataa! Bytheway what is Phd katika ulimwengu wa leo? Hata mtoto wangu anafanya, na hao walionazo mbona hatuoni matokeo? malalamiko kila kona mnasema nchi haiendi.Naona kama vile kuna watu hapa nchini waonao mtu kupewa ule udaktati wa heshima ni sawa na ule wa kuusomea.
Ukweli ni kwamba, si sawa hata kidogo.
Juzi hapa Rais wenu kapewa tena udaktari wa heshima huko India.
Tayari sasa katika utambulisho wake, watu wameshaanza kumwita eti Dr. Samia Suluhu Hassan.
Naye kwa kupenda ujiko, hata hagomi kuitwa hivyo.
Yupo tu anachekelea na kufurahia.
Now let’s face it. Katika hali ya kawaida, Samia hana uwezo wa kusoma na kufaulu mpaka kiwango cha PhD.
Kuna watu unaona kabisa huyu ana uwezo huo. Mfano Julius Nyerere au Benjamin Mkapa.
Hao ukiwasikiliza tu hata vile waongeavyo kuhusu mada mbali mbali, unauona kabisa uwezo wao.
Ni watu ambao wamewahi kuandika makala zilizochapishwa na magazeti na majarida mbali mbali duniani. Ni watu ambao wameshaahiriki kwenye mijadala mikubwa ya kimataifa na kutoa, kujenga, na kutetea hoja zao kwa umahiri mkubwa sana huku wakiwa na ‘command ya facts’ isiyo na mashaka.
Hao hata wakipewa udaktari wa heshima, mtu unaona kweli wanastahili maana hata wangeamua kupitia mkondo wa elimu, huo udaktari wangeupata tu.
Ila huyu tuliyenaye sasa, hana uwezo wa kupitia mkondo wa elimu na kuipata Phd.
Huo udaktari wake wa kupewa, unatokana na yeye kubahatika tu kuwa Rais.
Hana uwezo wa kuwa PhD wa ukweli…..
Mada haimzungumzii Magufuli.Mbona umemsahau MAGUFULI? Unajuwa unaweza ukaficha kitu fulani moyoni ila maandishi yakakuumbua! Inaonekana wewe ni katika ya wale wanaoamini kuwa ili uwe na uwezo wa kusoma au kuongoza nchi ni lazima uwe wa imani fulani, kitu ambacho hata sayansi inakataa! Bytheway what is Phd katika ulimwengu wa leo? Hata mtoto wangu anafanya, na hao walionazo mbona hatuoni matokeo? malalamiko kila kona mnasema nchi haiendi.
Huku kwetu tuna tatizo la ULIMBUKENI 🙌Nikupe mfano….
Kama Rais wa Tanzania anapewa udaktari wa heshima, basi hata marais wa Marekani hupewa udaktari wa heshima.
Lini umewahi kusikia au kuona Rais wa Marekani akitambulishwa kama Dr. Ronald Reagan? Dr. George H. W. Bush? Dr. Bill Clinton? Dr. George W. Bush? Dr. Barack Obama? Dr. Donald Trump? Au Dr. Joe Biden?
Ila umezungumzia maraisi wenye uwezo wa kufanya PhD si ndio? wenye akili wamekushtukia!Mada haimzungumzii Magufuli.
Kama unataka nimzungumzie Magufuli, anzisha mada inayomhusu nami nitakuja kuchangia.
Haa haa😂.Naona kama vile kuna watu hapa nchini waonao mtu kupewa ule udaktati wa heshima ni sawa na ule wa kuusomea.
Ukweli ni kwamba, si sawa hata kidogo.
Juzi hapa Rais wenu kapewa tena udaktari wa heshima huko India.
Tayari sasa katika utambulisho wake, watu wameshaanza kumwita eti Dr. Samia Suluhu Hassan.
Naye kwa kupenda ujiko, hata hagomi kuitwa hivyo.
Yupo tu anachekelea na kufurahia.
Now let’s face it. Katika hali ya kawaida, Samia hana uwezo wa kusoma na kufaulu mpaka kiwango cha PhD.
Kuna watu unaona kabisa huyu ana uwezo huo. Mfano Julius Nyerere au Benjamin Mkapa.
Hao ukiwasikiliza tu hata vile waongeavyo kuhusu mada mbali mbali, unauona kabisa uwezo wao.
Ni watu ambao wamewahi kuandika makala zilizochapishwa na magazeti na majarida mbali mbali duniani. Ni watu ambao wameshaahiriki kwenye mijadala mikubwa ya kimataifa na kutoa, kujenga, na kutetea hoja zao kwa umahiri mkubwa sana huku wakiwa na ‘command ya facts’ isiyo na mashaka.
Hao hata wakipewa udaktari wa heshima, mtu unaona kweli wanastahili maana hata wangeamua kupitia mkondo wa elimu, huo udaktari wangeupata tu.
Ila huyu tuliyenaye sasa, hana uwezo wa kupitia mkondo wa elimu na kuipata Phd.
Huo udaktari wake wa kupewa, unatokana na yeye kubahatika tu kuwa Rais.
Hana uwezo wa kuwa PhD wa ukweli…..
Samia kapata ‘Neema’ kupewa udaktari wa heshima?Haa haa😂.
Lakini ndo hivyo tena, amepata.
Na unajua nini ndugu yangu Nyani Ngabu?
Katika maisha haya, kuna ku - hustle hata ukajistahilisha kupata (earn) kitu fulani mwenyewe Kwa juhudi zako.
Lakini kuna neema pia ya kustahilishwa pasipo wewe kufanya chochote cha ziada na ukapata kitu fulani. Hii hiitwa neema.
Mama Samia Suluhu Hassan amepata neema hiyo. It doesn't matter watu wengine wanaonaje na kuhisi vipi.
Alafu Machawa wake hawajui ata masharti ya matumizi ya Honoris causa degrees.Hurusiwi kuitumia katika utambulisho wako kama wale Academician waliopata darasani na ndiyo maana ata kwenye CV Honoris causa degree aiwekwi kwenye list ya Academic Background ila inawekwa kwenye list ya AWARDS!Naona kama vile kuna watu hapa nchini waonao mtu kupewa ule udaktati wa heshima ni sawa na ule wa kuusomea.