Behaviourist
JF-Expert Member
- Apr 8, 2016
- 39,926
- 95,626
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Alikuwa Darasa Moja na Mwijaku pale Sanaa UDSM 😂TaleTale huku bongo alimaliza lini shahada yake ya kwanza na alisoma chuo gani?
Kweli wewe una matatizo ya akili .kwa hiyo ulikuwa unasomea ukiwa bado tumboni mwa mama yako hadi ukazijuwa hizo phdPhD naijua vizuri sana kabla hata sijazaliwa.
Sidhani kama kuna mtu anayeweza kunieleza jambo nisilolijua kuhusu PhD.
PhD za ukweli lakini. Siyo hizo feki.
Nawe nimekuumiza sana. Meza panado. Pole na maumivu.We unaumia sana inakuuma, Acha ujinga, hayo ni mawazo ya kiwaki
Vile mko na vichwa sawa, ngoja nikuache.Musukuma alipewa na nani? Na Chuo gani chenye heshima kubwa Duniani?
Hapa tuko Kwa case ya Samia ukitaka hizo exceptiona achievements za Samia ziko kibao na nyingine nimesema hapo Juu.
Naunga mkono hoja 👍👏Naona kama vile kuna watu hapa nchini waonao mtu kupewa ule udaktati wa heshima ni sawa na ule wa kuusomea.
Ukweli ni kwamba, si sawa hata kidogo.
Juzi hapa Rais wenu kapewa tena udaktari wa heshima huko India.
Tayari sasa katika utambulisho wake, watu wameshaanza kumwita eti Dr. Samia Suluhu Hassan.
Naye kwa kupenda ujiko, hata hagomi kuitwa hivyo.
Yupo tu anachekelea na kufurahia.
Now let’s face it. Katika hali ya kawaida, Samia hana uwezo wa kusoma na kufaulu mpaka kiwango cha PhD.
Kuna watu unaona kabisa huyu ana uwezo huo. Mfano Julius Nyerere au Benjamin Mkapa.
Hao ukiwasikiliza tu hata vile waongeavyo kuhusu mada mbali mbali, unauona kabisa uwezo wao.
Ni watu ambao wamewahi kuandika makala zilizochapishwa na magazeti na majarida mbali mbali duniani. Ni watu ambao wameshaahiriki kwenye mijadala mikubwa ya kimataifa na kutoa, kujenga, na kutetea hoja zao kwa umahiri mkubwa sana huku wakiwa na ‘command ya facts’ isiyo na mashaka.
Hao hata wakipewa udaktari wa heshima, mtu unaona kweli wanastahili maana hata wangeamua kupitia mkondo wa elimu, huo udaktari wangeupata tu.
Ila huyu tuliyenaye sasa, hana uwezo wa kupitia mkondo wa elimu na kuipata Phd.
Huo udaktari wake wa kupewa, unatokana na yeye kubahatika tu kuwa Rais.
Hana uwezo wa kuwa PhD wa ukweli…..
Nakazia.... ,Naona kama vile kuna watu hapa nchini waonao mtu kupewa ule udaktati wa heshima ni sawa na ule wa kuusomea.
Ukweli ni kwamba, si sawa hata kidogo.
Juzi hapa Rais wenu kapewa tena udaktari wa heshima huko India.
Tayari sasa katika utambulisho wake, watu wameshaanza kumwita eti Dr. Samia Suluhu Hassan.
Naye kwa kupenda ujiko, hata hagomi kuitwa hivyo.
Yupo tu anachekelea na kufurahia.
Now let’s face it. Katika hali ya kawaida, Samia hana uwezo wa kusoma na kufaulu mpaka kiwango cha PhD.
Kuna watu unaona kabisa huyu ana uwezo huo. Mfano Julius Nyerere au Benjamin Mkapa.
Hao ukiwasikiliza tu hata vile waongeavyo kuhusu mada mbali mbali, unauona kabisa uwezo wao.
Ni watu ambao wamewahi kuandika makala zilizochapishwa na magazeti na majarida mbali mbali duniani. Ni watu ambao wameshaahiriki kwenye mijadala mikubwa ya kimataifa na kutoa, kujenga, na kutetea hoja zao kwa umahiri mkubwa sana huku wakiwa na ‘command ya facts’ isiyo na mashaka.
Hao hata wakipewa udaktari wa heshima, mtu unaona kweli wanastahili maana hata wangeamua kupitia mkondo wa elimu, huo udaktari wangeupata tu.
Ila huyu tuliyenaye sasa, hana uwezo wa kupitia mkondo wa elimu na kuipata Phd.
Huo udaktari wake wa kupewa, unatokana na yeye kubahatika tu kuwa Rais.
Hana uwezo wa kuwa PhD wa ukweli…..
Inaonyesha hayo maboksi unayobeba kichwani yamekukandamiza akili yako na kuidumaza mpaka sasa umekosa kabisa uwezo wa kufikiri. Unahitaji matibabu na lishe itakayo kuponya na kuongeza uwezo wako wa kufikiri kuliko hivi sasa unavyojidhalilisha.Mimi ni mbeba maboksi tu. Udaktari wa heshima wa nini?
Sema umeishiwa hoja utaeleweka 🤣🤣Vile mko na vichwa sawa, ngoja nikuache.
Jibber-jabbering.Inaonyesha hayo maboksi unayobeba kichwani yamekukandamiza akili yako na kuidumaza mpaka sasa umekosa kabisa uwezo wa kufikiri. Unahitaji matibabu na lishe itakayo kuponya na kuongeza uwezo wako wa kufikiri kuliko hivi sasa unavyojidhalilisha.
Lini hiyo?Alikuwa Darasa Moja na Mwijaku pale Sanaa UDSM 😂
Binafsi nakuombea uje uwe Rais wa Bongoland miaka ijayo tuone kama nawe utaweza kukiepuka kikombe cha kupewa PhD Feki kama Watangulizi wenza.PhD naijua vizuri sana kabla hata sijazaliwa.
Sidhani kama kuna mtu anayeweza kunieleza jambo nisilolijua kuhusu PhD.
PhD za ukweli lakini. Siyo hizo feki.
Wakati Dr Mwijaku anachukua digrii ya kwanzaLini hiyo?
Mambo yanaenda kasi.
mara sio mala, udaktari sio udakitali na wewe PHD utaisikia kwa wenzako😂Samia yeye hataki imra (maneno matamu yasiokua na uhalisia) yeye kaamua kutoongeaongea na kutekeleza.
Malanyingi mtu anaependa kuongea saana na maneno matamu mbele za watu mtu huyo ni mtu wa sifa na mafanikio kidogo kwasababu mtu anaeongea sana sio mtu mwenye bidii kwenye kazi yake.
Mtu asiependa kuongea saana ni mtu wa kazi na malanyingi huyo ni mtu wa kufanikiwa sana kwenye kazi zake.
Hivyo wanaomtunuku udakitali sio wajinga wanaangalia kazi zake.
Machapisho ya Rais samia ni mengi sana ambayo ameyaandika kwa Vitendo na siyo makaratasi tu,ameandika katika kila nyanja kuanzia kilimo, biashara,uchumi, miundombinu,elimu ,afya,kupunguza umaskini na kuongeza kipato cha mtu mmoja mmoja n.k.Sina haja na kupewa heshima ya uongo.
Samia kupitia darasani hawezi kupata PhD!
Hivi keshawahi hata kuandika makala yoyote ile [hata kwa kutumia ghost writer] iliyowahi kuchapishwa hata kwenye gazeti la Nipashe?