Kwa Njombe simu za touch tunaita za KUPYATILA, kwenu mnaziitaje?

Kwa Njombe simu za touch tunaita za KUPYATILA, kwenu mnaziitaje?

Nilipokuwa njombe nilisikia Hilo neno KUPYATILA. Kuna neno lingine sijawahi kulisikia kokote zaidi ya huko,mtu akikuongeza kitu katika ulichonunua wanaita LUTITU yaani nyongeza
Hahah hapo kwenye Neno LUTITU kuna mshikaji mmoja pale NJOSS miaka ya 2000 alinunua maandazi aka mabanzi kwa bibi mmoja,akamwambia nimekupa na Lutitu,jamaa akamind sana,kuja kuulizia kwa wenyeji,kumbe alimaanisha amempa na andazi la nyongeza,kuchek kweli yapo 6 badala ya ma 5,jamaa daily foleni kwa bibi
 
Jamani anaejua ku-edit tittle anielekeze,...Au humu hakuna wataalamu,nikiingia edit inakuja msg tu,tittle haipo
 
Mama yangu siku hiyo ananiambia.

"Be mdimi ndisaha simu ya kupyatila ngita yakho"

Ikamfikia tecno y4.
Kupeleka kwa watu wamuwekee laini hataki anamsubiri mwanae yeyote aende akamuwekee
 
Nilipokuwa njombe nilisikia Hilo neno KUPYATILA. Kuna neno lingine sijawahi kulisikia kokote zaidi ya huko,mtu akikuongeza kitu katika ulichonunua wanaita LUTITU yaani nyongeza
Lutitu,lugendelo,lwa Mng'asi zote hizo ni nyongeza ukinunua kitu
 
Back
Top Bottom