pemgtoonet.com
JF-Expert Member
- Apr 29, 2013
- 879
- 618
- Thread starter
- #21
Yah kugema ulanz mchana iyo mida ya sa 7 au- 8Kupyatila, kupyatila umenikumbusha ulanzi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yah kugema ulanz mchana iyo mida ya sa 7 au- 8Kupyatila, kupyatila umenikumbusha ulanzi
Hahah wikichi ipo toNipo Chaugingi hapa sisi tunaita simù ya touch labda uko Wikichi
Hahah hapo kwenye Neno LUTITU kuna mshikaji mmoja pale NJOSS miaka ya 2000 alinunua maandazi aka mabanzi kwa bibi mmoja,akamwambia nimekupa na Lutitu,jamaa akamind sana,kuja kuulizia kwa wenyeji,kumbe alimaanisha amempa na andazi la nyongeza,kuchek kweli yapo 6 badala ya ma 5,jamaa daily foleni kwa bibiNilipokuwa njombe nilisikia Hilo neno KUPYATILA. Kuna neno lingine sijawahi kulisikia kokote zaidi ya huko,mtu akikuongeza kitu katika ulichonunua wanaita LUTITU yaani nyongeza
Itakua zengerendete[emoji23]Nipo Chaugingi hapa sisi tunaita simù ya touch labda uko Wikichi
HahahahaNilipokuwa njombe nilisikia Hilo neno KUPYATILA. Kuna neno lingine sijawahi kulisikia kokote zaidi ya huko,mtu akikuongeza kitu katika ulichonunua wanaita LUTITU yaani nyongeza
napendaga mkangafu coz unaongeza hamu ya kula na haujazi tumbo na stimu zake nimuruaUnapga upi mkuu...Nyamtuta,mkangafu, mdindifu? au .....
Sawa sawa,...Kuna mjinga mmoja hapa,kamind eti tunajidhalilisha tukisema kupyata.....Cjui kala maharage ya wapi?Sisi wanyaki pia tunaita kupyata
Zengerendete kumekucha cku hz....Bonge la town na jina wamebadili wanaita mtaa wa KAMBARAGE....labda jamaa atakuwa wa magoda huko!Itakua zengerendete[emoji23]
Lutitu nyongeza hiyoNilipokuwa njombe nilisikia Hilo neno KUPYATILA. Kuna neno lingine sijawahi kulisikia kokote zaidi ya huko,mtu akikuongeza kitu katika ulichonunua wanaita LUTITU yaani nyongeza
Lutitu,lugendelo,lwa Mng'asi zote hizo ni nyongeza ukinunua kituNilipokuwa njombe nilisikia Hilo neno KUPYATILA. Kuna neno lingine sijawahi kulisikia kokote zaidi ya huko,mtu akikuongeza kitu katika ulichonunua wanaita LUTITU yaani nyongeza
Ule uliotoka kugemwa mtamu kama Altar WineUnapga upi mkuu...Nyamtuta,mkangafu, mdindifu? au .....
Uliotoka kugemwa mtamu kama Altar wine,na ule mkangafu au mdindifu upo kama vile vi wine vya BurudaniUnapga upi mkuu...Nyamtuta,mkangafu, mdindifu? au .....
Achana nae uyo shitholeSawa sawa,...Kuna mjinga mmoja hapa,kamind eti tunajidhalilisha tukisema kupyata.....Cjui kala maharage ya wapi?
Mkataa Kwao ni mtumwaSawa sawa,...Kuna mjinga mmoja hapa,kamind eti tunajidhalilisha tukisema kupyata.....Cjui kala maharage ya wapi?
Itakuwa NyakamtuweZengerendete kumekucha cku hz....Bonge la town na jina wamebadili wanaita mtaa wa KAMBARAGE....labda jamaa atakuwa wa magoda huko!