Kwa nlichokiona niseme watoto wa kike wa chuo wanatumika vibaya sana

Asante wee umekamilisha mada. Wazazi ndio chanzo kikubwa cha watoto wakike kuharibika na kuendekeza tamaaa.
 
Nilivyopata kazi nikamuachia dogo langu mkuu sema ni wa kike sasa usije kwenda ukaanza na yeye🤣🤣🤣
Kwa hiyo ata dogo wako mwenyewe humuamini 🤣🤣 alooh!
Kweli mzeya mie nipe wiki tuu nikae hapo dukani kwako. Nitakulipa 5k per day mie kukaa hapo. Mdogo wako sitamgusa na kwa kukuhakikishia hilo kwenye mkataba wetu mie naweka bodaboda yangu kama bond. Plz boro naomba just one week
 
Daaah unanifanya nacheka kama mjiga mkuu ujue, emb achana na hii mambo. Ila kwa ufupi mademu wa UDSM na ARDHI kwa mwaka 2019 hawana cha kunambia kwa mwaka mmoja niliokaa hapo.
 
Wajanja wale waliona hapa ukiwae dekeza hawa wanawake watakupanda kichwani na ndoa hazitadumu.
Mwanamke ni kiumbe pekee dunia i akipata elimu na pesa wazo la kwanza ni kumuondoa mwanaume maishani mwake.
Naaam iko hivyo na dunia inataka watu wawili Tu mtawala na mtawaliwa so Wanajua kwamba wakiruhusu mwanamke apate elimu basi jamii Yao itatikisika kimaadili Wanaume wata struggle Sana , sitetei Sheria zao lakini Wana kitu somehow 🤣
 
Chuoni kwakweli mabinti asilimia kubwa wanatumika sana, Nakumbuka kipindi nasoma T.I.A, kuna mademu tulikua tunawala kwa pair,
Yani unalkuta mshikaji wangu ana demu wake, siku akitaka kumla anamwambia aje na rafiki yake, huyo rafiki yake akija wala sitongozi na mtoto analiwa,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…