Kwa nyomi hii, hata mimi lazima nitishie kukifuta ili bosi aone nafanya kazi

Kwa nyomi hii, hata mimi lazima nitishie kukifuta ili bosi aone nafanya kazi

Quinine

Platinum Member
Joined
Jul 26, 2010
Posts
25,848
Reaction score
63,306
KATORO next break KAHAMA then KANDA MAALUMU.

Lazima waombe poo.

HIdeJtEX0AAvQBP.jpeg
HIdeJp9WsAExHis.jpeg
 
Wasomi waliokengeuka na kua watumwa wa kile chama watakuja kusema hii ni AI
Unafikiri katika hilo kundi hakuna mawakala wa siri wa vyombo vya ulinzi na usalama?
Au ndio wanapelekea ripoti huko zinakohitajika.
 
Kutoka samia hakuna jipya fisiemu

Walicheza karata mbovu kuwahi kutokea
 
Hakuna mwananchi mwenye akili timamu anayeweza kuiunga mkono CCM kwa uovu ilioufanya.

Watanzania walio wengi wenye akili, wanaiona CCM kama adui yao mkubwa kuliko adui yeyote.
 
nyomi iliwahi kuisaidia nini chadema zaidi ya kuwatapeli pesa tu watu wa watu maskini gentleman?
Kumwagiwa manii sehemu ya haja kubwa kunasababisha madhara makubwa sana kisaikolojia na hatimaye kuharibu ubongo na mfumo mzima wa kufikiri na kufanya maamuzi achilia mbali madhara ya kimwili yanayopelekea kuharibika kwa sehemu hiyo. Tendo lili akifanyiwa mtu wa jinsi yoyote awe "ke" au "me" kamwe akili haiwezi kukaa sawa hata siku moja. Na ikiwa kwa "me" hali huwa mbaya zaidi.

Hata hivyo, kwa mujibu wa tafiti za kitabibu mtu anayefanyiwa hayo anatakiwa aanze kujitibu mwenyewe kwa kuacha kufanyiwa hivyo ili kuruhusu dawa za kitabibu zifanye kazi. Hivyo ni ukweli kwamba tatizo hilo hutibika japo huchukua muda mrefu kupona.

NB: Maelezo haya ni ushauri wa kitabibu hivyo yazingatiwe si porojo za kisiasa
 
Kumwagiwa manii sehemu ya haja kubwa kunasababisha madhara makubwa sana kisaikolojia na hatimaye kuharibu ubongo na mfumo mzima wa kufikiri na kufanya maamuzi. Tendo lili akifanyiwa mtu wa jinsi yoyote awe "ke" au "me" kamwe akili haziwezi kukaa sawa hata siku moja. Na ikiwa kwa "me" hali huwa mbaya zaidi.

NB: Maelezo haya ni ushauri wa kitabibu hivyo yazingatiwe
Gentleman,
relax na kuchangia hoja kwa staha, bila mihemko wala kuweweseka na itapendeza zaidi,

hakuna haja ya kumbwelambwela nonsense jukwaani
 
Back
Top Bottom