macho_mdiliko
Platinum Member
- Mar 10, 2008
- 29,500
- 61,451
Ndiyo maana wanaogopa kumwachia. Hawajiamini na wanaona akifanya mkutano basi unaweza kuwa ndiyo mwisho wa Samia. Mkutano mmoja tu mkubwa unaweza kuamsha nchi nzima kwa ghafla na kila mtu akaingia mtaani bila hata kuambiwa.Watanzania wamechoka aisee hapo Lissu hayupo akitoka watu si watakaa mpaka kwenye mabati huko juu..
Wanaotawala wamejisahau sana na kuwaona Wananchi kama kero kwa kila jambo lao muhimu..