Kwa nyomi hii, hata mimi lazima nitishie kukifuta ili bosi aone nafanya kazi

Na wote hao wamekuja kwa hiyari yao kusikiliza hotuba zenye hoja na mantiki na hawajasombwa na malori
 
Mama yenu kila akihutubia lazima atoe boko na hii amsha amsha ya sasa ndiyo kabisa nnya inagonga chupi na kurudi ndani.
Term inaisha 2030 nyinyi fanyeni Amsha Amsha ila Samia yuko Ikulu na tunatamba naye
 
Mambo mengine muwe mnaona aibu kuyaandika. Hamna mwakilishi hata mmoja kwenye maeneo ya kimaamuzi alafu mnajisifia kuhusu nyomi.

Inawasaidia nini kwa sasa mkiwa mnasubiri hadi 2030 kwa majaliwa ya Mwenyezi Mungu?
 
Akili ndogo kama wewe huwezi ukaelewa.
 
Mambo mengine muwe mnaona aibu kuyaandika. Hamna mwakilishi hata mmoja kwenye maeneo ya kimaamuzi alafu mnajisifia kuhusu nyomi.

Inawasaidia nini kwa sasa mkiwa mnasubiri hadi 2030 kwa majaliwa ya Mwenyezi Mungu?
Imagine kingekuwa na mwakilishi ingekuwaje.
 
KARATU

HKTJPuKWkAAnpk6.jpeg
HKTJPt0XAAAGcHk.jpeg
HKTJPosWMAA9514.jpeg
 
Back
Top Bottom