Kwa nyomi hii, hata mimi lazima nitishie kukifuta ili bosi aone nafanya kazi

Wasomi waliokengeuka na kua watumwa wa kile chama watakuja kusema hii ni AI
Unafikiri katika hilo kundi hakuna mawakala wa siri wa vyombo vya ulinzi na usalama?
Au ndio wanapelekea ripoti huko zinakohitajika.
 
Kutoka samia hakuna jipya fisiemu

Walicheza karata mbovu kuwahi kutokea
 
Hakuna mwananchi mwenye akili timamu anayeweza kuiunga mkono CCM kwa uovu ilioufanya.

Watanzania walio wengi wenye akili, wanaiona CCM kama adui yao mkubwa kuliko adui yeyote.
 
nyomi iliwahi kuisaidia nini chadema zaidi ya kuwatapeli pesa tu watu wa watu maskini gentleman?
Kumwagiwa manii sehemu ya haja kubwa kunasababisha madhara makubwa sana kisaikolojia na hatimaye kuharibu ubongo na mfumo mzima wa kufikiri na kufanya maamuzi achilia mbali madhara ya kimwili yanayopelekea kuharibika kwa sehemu hiyo. Tendo lili akifanyiwa mtu wa jinsi yoyote awe "ke" au "me" kamwe akili haiwezi kukaa sawa hata siku moja. Na ikiwa kwa "me" hali huwa mbaya zaidi.

Hata hivyo, kwa mujibu wa tafiti za kitabibu mtu anayefanyiwa hayo anatakiwa aanze kujitibu mwenyewe kwa kuacha kufanyiwa hivyo ili kuruhusu dawa za kitabibu zifanye kazi. Hivyo ni ukweli kwamba tatizo hilo hutibika japo huchukua muda mrefu kupona.

NB: Maelezo haya ni ushauri wa kitabibu hivyo yazingatiwe si porojo za kisiasa
 
Gentleman,
relax na kuchangia hoja kwa staha, bila mihemko wala kuweweseka na itapendeza zaidi,

hakuna haja ya kumbwelambwela nonsense jukwaani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…