Kwa nyomi hii, hata mimi lazima nitishie kukifuta ili bosi aone nafanya kazi

Watanzania wamechoka aisee hapo Lissu hayupo akitoka watu si watakaa mpaka kwenye mabati huko juu..
Wanaotawala wamejisahau sana na kuwaona Wananchi kama kero kwa kila jambo lao muhimu..
Ndiyo maana wanaogopa kumwachia. Hawajiamini na wanaona akifanya mkutano basi unaweza kuwa ndiyo mwisho wa Samia. Mkutano mmoja tu mkubwa unaweza kuamsha nchi nzima kwa ghafla na kila mtu akaingia mtaani bila hata kuambiwa.
 
Bado hamkujifunza tuu kwenye Nyomi la Lowassa?
 
Mbowe na konyagi zake alituchelewesha sana
 

Attachments

  • 6116522-aabc75298dac434d40d940b38d5337aa.mp4
    3.1 MB
😄 wasi wasi wa nini sasa gentleman msajili naona
Kaingia na uwoga 😄

Ova
anahusikaje hapo msajili gentleman?

labda useme nina wasi hasi na sio wasiwasi gentleman
 
Wanamkosesha usingizi nani? Wengi wamekuja kuwashangaa watu wanaotukana matusi daily mitandaoni
Mama yenu kila akihutubia lazima atoe boko na hii amsha amsha ya sasa ndiyo kabisa nnya inagonga chupi na kurudi ndani.
 
Unazo Picha au Video zinazoonesha wakati anaapishwa kuwa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania?
Kumbe ligi ya kibwege, ninazo video na ushahidi Nape , Kinana na January wakiiba kura
 
Watanzania wamechoka aisee hapo Lissu hayupo akitoka watu si watakaa mpaka kwenye mabati huko juu..
Wanaotawala wamejisahau sana na kuwaona Wananchi kama kero kwa kila jambo lao muhimu..
Inashangaza sana mkuu. Yaani watawala wanaona wananchi kama kero kwao wakati hao ndio wanawatumia kulipa kodi ambazo ndio chanzo cha mapato yao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…