Niwaheri
JF-Expert Member
- May 2, 2020
- 2,994
- 4,729
Lakini CCM ni chama nilichoamini kina wabobezi wa mambo kama akina #gentamycine ila sasa mmekwama akina polepole hawana uchungu na chama huo ni ukwel usiopingika wao wapo kimaslahi ukosee usikosee wao n kusifia.
Back to kipindi hiki kigumu cha kampeni polepole hawezi kujibu hoja hata siku moja ko niwape pole tu
Back to kipindi hiki kigumu cha kampeni polepole hawezi kujibu hoja hata siku moja ko niwape pole tu