Nawe hiki ulichoandika ndo nini? Usijali hizo likes unazopewa maana, kila mtu ana wafuasi wa aina yake. Umetumia neno propaganda bila kujua maana yake. Naomba unifahamishe, uwazi wa kununua ndege huwa ukoje? Ulitaka ifanyike namna gani ili iwe wazi? Au unafuata maneno ya akina Zitto kwamba walitakiwa kutangaza tenda? Nijibu kwanza ili nikusaidie jinsi ya kuwaza. Rais mwingine unayeamini ataliua shirika la ndege, hiyo ni miujiza ya Lissu kuwa rais.
Mradi wa reli una kasoro ipi, wakatyi ulianza tangu awamu ya 4? Kama hadi leo hujui unavyojengwa, nani akueleweshe kwa miaka yote hiyo?