LIMBOMAMBOMA
JF-Expert Member
- Oct 3, 2017
- 10,482
- 14,007
Polepole kakejeli sana wagombea was upinzani, tena live.sipati picha kama nao wakija live wakikejeli wenzao hivo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Halafu REA watawawekea umeme haraka sana. Siyo lazima muwe na nyumba za tofali na bati.
exactlyUchaguzi na propaganda ukaa pamoja siku zote. Lakini propaganda zisivyopangiliwa vyema zinaweza kuwa mwiba kwa anayesimuliwa...
Hivi CCM imekosa watu wa kufanya uenezi? Mtu hakijui chama, hajakulia ndani ya chama iweje leo apewe kazi ya kukitetea na kukijenga? Sasa huku ni kujenga?
Sina hakika kama unajua upana wa 'matumizi ya Umma' vile vile utaratibu wa kufanya matumizi ya umma. Nasema sina hakika!...MATUMIZI YA UMMA....
Kuna Mgombea Urais anaongea na wananchi, kuna Mgombea Urais anawafokea wananchi"Moyo wa Polepole, Dk Bashiru ,profesa kabudi,kitila nk wengi wao wana vinasaba vya upinzani.
Njaa na kukutwa majalalani vimewafanya wajitoe akili.
Ccm inakufa kifo cha Mande ndembe ndembe
Dr. Magufuli ni rais wa nchi, ujue Mkuu.Dr. Magufuli,
Najua H.Polepole huwa anaongea yale ambayo upinzani hawataki waambiwe.Wanataka wakidanganya waambiwe kuwa ni wakweli na wasifiwe.Polepole hayupo hivyo.Uchaguzi na propaganda ukaa pamoja siku zote. Lakini propaganda zisivyopangiliwa vyema zinaweza kuwa mwiba kwa anayesimuliwa.
CCM fanyeni maamuzi magumu, kubalini kuwa Polepole amepwaya kwenye hiyo nafasi, kubalini kuwa ni kipindi Cha kutafuta wabobezi waingie kazini si kuruhusu watu kama Polepole kukitetea chama...
Wewe una fact zipi?Uchaguzi na propaganda ukaa pamoja siku zote. Lakini propaganda zisivyopangiliwa vyema zinaweza kuwa mwiba kwa anayesimuliwa.
CCM fanyeni maamuzi magumu, kubalini kuwa Polepole amepwaya kwenye hiyo nafasi, kubalini kuwa ni kipindi Cha kutafuta wabobezi waingie kazini si kuruhusu watu kama Polepole kukitetea chama...
Dr. Magufuli ni rais wa nchi, ujue Mkuu.
Najua H.Polepole huwa anaongea yale ambayo upinzani hawataki waambiwe.Wanataka wakidanganya waambiwe kuwa ni wakweli na wasifiwe.Polepole hayupo hivyo.Anawajua fika kuwa mmekata tamaa na mnatumia kila mbinu ili CCM nao wakate tamaa.Hapo naona hamjajipanga sawasawa.Kusema la ukweli wapinzani safari hii ni wapayukaji tuu hamtaweza hata kwa robo kufikia nguvu ya Lowasa 1995.Pale mnapoona maji yanapanda shingoni si mfanye kama Membe ?
Ilikuwaje akapewa nafasi nyeti km hiyo ktk chama? Kweli alikosekana kada aliyepikwa na kuiva sawasawa kwa nafasi hiyo?Polepole sio CCM hajawahi kuwa CCM na hatakaa awe CCM Yuko hapo alipo kwa ajira na maslahi, hana historia na chama, hana uchungu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Siri upi mkuu, zile Hansard za Bunge hukuziona?Ndege ni kitu chema ila tulikosea kuingia kwenye usiri wakati tunachonunua siyo ndege za jeshi, ni za biashara. Lazima tukubali kuwa usiri uliowekwa utaliua shirika maana akija Rais mwingine
Sijui hizo unazoita Bank transactions ni vitu gani?Tuleteeni bank transactions kutuonesha kila ndege mlinunua shilingi ngapi???? Sio kutuambia bunge lilitenga kiasi fulani. Bunge linaweza tenga bilioni 400 kununua ndege 6 ila nyie mkanunua ndege sita kwa bilioni 180
Tuonesheni Pia mmelipa shilingi ngapi kwa kampuni ya kujenga bwawa la rufiji. Bank transactions za hayo malipo zipo wapi????
Alichofanya polepole leo ni comedy sio kujibu 😂😂😂
AHAAA 🤣🤣🤣 CHAKUBANGA 🤣🤣🤣😁😁Uchaguzi na propaganda ukaa pamoja siku zote. Lakini propaganda zisivyopangiliwa vyema zinaweza kuwa mwiba kwa anayesimuliwa.
CCM fanyeni maamuzi magumu, kubalini kuwa Polepole amepwaya kwenye hiyo nafasi, kubalini kuwa ni kipindi Cha kutafuta wabobezi waingie kazini si kuruhusu watu kama Polepole kukitetea chama...
Ha haaa.Elimu ! Elimu ! Elimu.Ndugu yangu vile vilikuwa ni vionjo tu vya uchaguzi na haikuwa na maana kwamba atatupa kule afya na sekta zingine,la hasha.Nimecheka kwa nguvu, eti nguvu ya Lowass ya 2015, hiyo nguvu ya Lowassa ilikuja kwa kusema elimu elimu elimu? Kama Lowassa alikuwa na nguvu akiwa ni miezi miwili, je alionyesha nguvu gani akiwa na miaka miwili?
Mambo ya makabila yametoka wapi? Mbona unawewesekaSijui hizo unazoita Bank transactions ni vitu gani?
Lini uliletewa hizo transactions za kujenga barabara ya Dodoma-Mwanza? Lini uliletewa hizo transactions za ujenzi wa bwawa la Mtera? Terminal 3 ya uwanja wa ndege Dar uliletewa hizo transactions? Tusigeuze nchi kuwa ya wajinga kwa sababu tu kabila fulani lina hisia ya kuwa juu kuliko wengine na sasa linahisi linaonewa. Kama huna hayo yote, just shut up!
CCM narudia tena Uwanja wa Chato usichukue sehemu za kampeni yenu. Wekeni sera mezani na sio kutetea kilichofanyika kwa sababu tayari vimeonekana. Watanzania wanataka kujua wanaelekea wapi baada ya ndege, airports, mabarabara, SGR za uchumi wa kati na ma fly overs.....Uchaguzi na propaganda ukaa pamoja siku zote. Lakini propaganda zisivyopangiliwa vyema zinaweza kuwa mwiba kwa anayesimuliwa.
CCM fanyeni maamuzi magumu, kubalini kuwa Polepole amepwaya kwenye hiyo nafasi, kubalini kuwa ni kipindi Cha kutafuta wabobezi waingie kazini si kuruhusu watu kama Polepole kukitetea chama...