Uchaguzi 2020 Kwa press hii, Polepole anakivuruga chama, atafutwe mtu mwingine wa kufanya press

Uchaguzi 2020 Kwa press hii, Polepole anakivuruga chama, atafutwe mtu mwingine wa kufanya press

Ndio maana hata kwenye mabango yao unaona jina la Magufuli limepewa uzito zaidi kuliko hata jina la Chama.

Kidumu chama cha Magufuli (CCM)

REST IN PULSE chama cha Mapinduzi (ccm)
Maneno yako yatakua yanawachoma waliolelewa na chama kama wakina Mwigulu, Januari, Kinana nk
 
Uwanja ndiyo umeshajengwa na unatumika na watanzania na upo ndani ya Tanzania na hamuwezi kutufanya lolote.Wakiuongelea kwa kauli za ovyo tutasema vilevile ili hata wale wanaodanganywa wajue kwamba bado kuna watanzania wana chuki na mambo yanayofanyika ndani ya nchi yetu na yenye manufaa na nchi yetu .
Uwanja wa ndege uliojengwa na Rais wa zamani wa Zaire kijijini kwake Ghabolite leo unatumika na wananchi wangapi?

Na huu wa kijijini Chato unatumika na watanzania wangapi wanaokwenda kijijini Chato? Ndege zipi za kibiashara zinazoenda hapo Chato? Madikteta wanashabihiana, Mobutu, Mugabe, Magufuli. MMM

Haya ukimaliza kutetea hili tuambie anaechukia ufisadi kujimilikisha ekari 25,000 sahihi?

Halafu tutakuuliza mengine unaweza kutushawishi zaidi ya Pole pole
 
Taarifa zote za ununuzi wa ndege na upanuzi wa viwanja zipo na bungeni zipo huyo Lissu anaweza kuzipata kuliko kutafuta sifa za muda mfupi kwa kudanganya umma kila anapopita.

Na bado zipo taarifa nyingine za kiuchumi ambazo Lissu hazijui lakini zipo.
 
Uwanja wa ndege uliojengwa na Rais wa zamani wa Zaire kijijini kwake Ghabolite leo unatumika na wananchi wangapi?

Na huu wa kijijini Chato unatumika na watanzania wangapi wanaokwenda kijijini Chato? Ndege zipi za kibiashara zinazoenda hapo Chato? Madikteta wanashabihiana, Mobutu, Mugabe, Magufuli. MMM...

Suala linalowatesa watanzania wengi ni kukariri taarifa za watu wengine bila hata kujua wamekariri wao wanaropoka tu.

Uwanja wa Chato umejengwa strategically ili uwe ni msaada wa dharura kwa uwanja wa Mwanza ambao unakwenda kuwa ni kituo cha ndege(hub).

Huwezi kuwa na hub kama huna strategic aerodrome. Haya ni masuala ya kisomi muwe mnauliza ili mpate ufafanuzi kabla ya kufanya copying and pasting.
 
Peleka upuuzi wako huko, hakuna economic strategy yeyote ya kupeleka uwanja wa ndege kijijini kwa Magufuli, kuna uwanja Shinyanga, Bukoba, haviwezi kufanya kazi hiyo? Wewe mataga pumbavu kawalishe matango pori wajinga wenzako.

Baada ya Magufuli wa Chato kuingia ikulu ndio ikaonekana umuhimu wa airodrome Chato? Pathetic
 
Mapovu hayakusaidii bwana mdogo. Tambua tu uwanja wa Chato umejengwa kimkakati na watakaokuja kufaidika na huo mkakati pengine ni wengine baada ya mimi na wewe kuwa tumeshatangulia mbele za haki.
 
Mapovu hayakusaidii bwana mdogo. Tambua tu uwanja wa Chato umejengwa kimkakati na watakaokuja kufaidika na huo mkakati pengine ni wengine baada ya mimi na wewe kuwa tumeshatangulia mbele za haki.
Wewe ndio unaweza kuwa bwana mdogo kwa sababu ya cheap propaganda, hujanijibu strategy za uwanja wa Shinyanga na Bukoba to name the few haziwezi kufanya kazi za uwanja mkubwa kijijini kwa Rais?

Na kwa nini tenda apewe mume mwenza? Ufisadi to the highest degree, unaweza ukawa unatetea ujinga kwa maslahi ya tumbo lako au kwa ujinga wako, bali tambua huwezi kulazimisha kuwaingizia ujinga wasiopenda ujinga.

Umeukubali kaa nao mwenyewe
 
Uchaguzi na propaganda ukaa pamoja siku zote. Lakini propaganda zisivyopangiliwa vyema zinaweza kuwa mwiba kwa anayesimuliwa.

CCM fanyeni maamuzi magumu, kubalini kuwa Polepole amepwaya kwenye hiyo nafasi, kubalini kuwa ni kipindi Cha kutafuta wabobezi waingie kazini si kuruhusu watu kama Polepole kukitetea chama...
Sintokuacha bila kujueleza jambo. Wewe ni ounguani sana wa akili mkuu. Kwasababu hujui madhumuni ya kuwa na ndege zetu ni nini?
 
Wewe ndio unaweza kuwa bwana mdogo kwa sababu ya cheap propaganda, hujanijibu strategy za uwanja wa Shinyanga na Bukoba to name the few haziwezi kufanya kazi za uwanja mkubwa kijijini kwa Rais?

Najua kwa nini tenda apewe mume mwenza? Ufisadi to the highest degree, unaweza ukawa unatetea ujinga kwa maslahi ya tumbo lako au kwa ujinga wako, bali tambua huwezi kulazimisha kuwaingizia ujinga wasiopenda ujinga.

Umeukubali kaa nao mwenyewe
Umeshaelezwa kwa kirefu ni kwanini uwanja wa Chato ni muhimu kwa uwanja wa Mwanza, hakuna aliyesema viwanja vya Shinyanga na Musoma sio muhimu kumbuka kuwa viwanja vyote vya ndege vinakarabatiwa kwa ujumla.

Hayo ya mume mwenza kupewa tenda ni story ulizosikia kwa watu ambazo huwezi kuuweka wazi ushahidi.

Mkuu yanafanyika mengi sana ya kimaendeleo uwanja wa Chato ni sehemu ndogo sana.
 
Back
Top Bottom