Uchaguzi 2020 Kwa press hii, Polepole anakivuruga chama, atafutwe mtu mwingine wa kufanya press

Uchaguzi 2020 Kwa press hii, Polepole anakivuruga chama, atafutwe mtu mwingine wa kufanya press

Ninakubaliana na Waziri mkuu, . . Urais si mchezo, unahitaji mtu;

Makini,

Msomi,

Muelewa,

Mwenye busara,

Mwenye Utu,

Mtanzania mzalendo;

Anayetambua Urais ni Taasisi na si mtu binafsi! . . Katika Uchaguzi huu mtu huyo ni Tundu Lissu!!

cdm bana, kwahio mmeanzisha thread ya kumpongeza lissu kushinda uraisi 😂
 
Polepole kajiabisha sana!!! Eti kila Mkoa ndo utakuwa jimbo kama kipindi cha mkoloni????😂😂😂😂

Huyu jamaa CCM walimtoa wapi???? Yaaani ameshindwa tu kujua chadema wataunganisha mikoa kuform jimbo moja!! Sasa huo ukabila utatoka wapi????😂😂😀😀😀😀
Wakati wa ukoloni kulikuwa na Majimbo/Mikoa/Provinces manane tu na yalitawalika vizuri kabisa mpaka gawagawa ilipoanza wakati wa Nyerere hadi leo inaendelea. CCM kuna wajinga wengi mno wanaogopa hata majina mengine ya vitu walivyonavyo, sasa hivi Serikali ya CCM imewagawa Watanganyika kuliko wakoloni ndo maana ujinga umezidi. Jimbo la Nyanda za Juu Kusini wakati wa Mkoloni lilikuwa na makabila karibu 10, baada ya Uhuru liligawanywa kuwa miwili, Mkoa wa Mbeya na Wilaya zake na makabila yake na Mkoa wa Iringa na Wilaya zake na makabila yake. Karibuni tu hiyo Mikoa miwili imegawanywa tena kufanya minne ya Iringa, Njombe,Mbeya na Songwe na makabila nayo yamegawanyika mpaka Mkoa mzima wa Iringa imebaki na kabila moja tu la Wahehe. Mkoa wa Tabora uliokuwa sehemu ya Jimbo la Magharibi sasa umebaki na kabila moja tu pia la Wanyamwezi hatujui wanaishije lakini Iringa kuna sintofahamu inafukuta. Makabila makubwa ya Mkoa wa Njombe ndo walikuwa wanashikilia Uchumi hasa wa Iringa mjini sasa wanafukuzwa waende kwao na mali zao kuporwa. Mh. Lissu hajasema atagawa nchi katika Majimbo amesema CHADEMA italeta Utawala wa Majimbo, sera yake toka Chama kianzishwe, ikiwa na maana kuwa kutakuwa na Serikali za Majimbo zinazojitegemea na Serikali Kuu ambayo itakuwa ndogo kwa umbile(size) lakini yenye mamlaka na madaraka makubwa. Wananchi wa Majimboni wataweka Serikali zao na Serikali Kuu madarakani kwa Chaguzi na taratibu zitakazokubalika na Wakuu watakaochaguliwa watateua/watengua au wataajiri/watatumbua watendaji wengine wa Serikali. Serikali za Majimbo zitakusanya mapato yao toka ndani ya Majimbo yao na kutumia kujiendesha na kugharamia miradi waliyopanga na huduma za jamii. Miradi mikubwa ya kitaifa na majanga ya asili yatagharamiwa na Serikali Kuu kutokana na vyanzo vyake vya mapato ikiwa ni pamoja na mikopo na misaada toka kwa wadau wa maendeleo. Awamu ya Kwanza iliona manufaa ya Utawala wa Majimbo na wakaja na Madaraka Mikoani lakini ilishindikana kwa sababu makosa kadhaa kubwa likawa Mamlaka ya kuteua na kuajiri watendaji, kukusanya na kutumia mapato yalibaki Serikali Kuu. Serikali Kuu iliteua MaRC, MaAC, MaRDD, MaDDD mpaka Village Managers na kuajiri wengine. Mamlaka ya kodi ilikusanya mapato ya Serikali toka Mikoani na kukaibithi Serikali Kuu ambayo ilirudisha fedha Mikoani kufuatana na bajeti za Mikoa zilizopokelewa. Mfumo wa Awamu ya Kwanza ilibidi ufe maana utekelezaji ulikosewa.
 
Polepole sio CCM hajawahi kuwa CCM na hatakaa awe CCM Yuko hapo alipo kwa ajira na maslahi, hana historia na chama, hana uchungu.

Sent using Jamii Forums mobile app
wenye historia akina kinana ndo wanagombea uraisi sasa nani afadhali hapo???kwenye maisha kila mtu anapigania chake ishu ni moja tu ...ukipata nafasi utaitumia au utazingua ni hilo tu
 
Polepole anasema mikoa iligawanywa kimkakati ili kuondoa ukabila ila majimbo yatarudisha ukabila,anasahau mikoa hii tuliyo nayo inaweza kubaki kama majimbo yaliyo na viongozi waliochaguliwa.
 
Sijui hizo unazoita Bank transactions ni vitu gani?
Lini uliletewa hizo transactions za kujenga barabara ya Dodoma-Mwanza? Lini uliletewa hizo transactions za ujenzi wa bwawa la Mtera? Terminal 3 ya uwanja wa ndege Dar uliletewa hizo transactions? Tusigeuze nchi kuwa ya wajinga kwa sababu tu kabila fulani lina hisia ya kuwa juu kuliko wengine na sasa linahisi linaonewa. Kama huna hayo yote, just shut up!
Kwani ni nani alileta msemo: "Ukinunua kitu dai Risiti, ukiuza kitu toa Risiti?" Kutokana na maneno haya ya Magufuli, watu wakinunua chochote wanadai Risiti na kuhifadhi mahali salama hata panya asiguse lakini ikihitajiwa na yeyote inafukuliwa aonyeshwe maana siyo siri. Wananchi kwa wakati tofauti wamehoji manunuzi fulanifulani ya Serikali ikiwa ni pamoja na yanayofanywa na Rais lakini wamekuwa hawapati majibu kabisa na kujiona kama wanapuuzwa au kuna kitu kinafichwa. Polepole yuko karibu na Mwenyekiti wa Chama na anaweza kumjibia hoja fulanifulani siyo zote lakini yuko mbali sana Rais kwa hiyo siyo jukumu lake kabisa kujibu hoja au tuhuma zote zinazomhusu Rais au Serikali yake maana kuna watu wa kazi hiyo hata ni vizuri zaidi akijibu mwenyewe. Rais anatakiwa awe mfano mzuri kwa mambo mengi bahati mbaya sana maneno yake mwenyewe ya mara kwa mara yanafanya wengi hata wanamdharau na kutomwamini. Miradi inayotajwa na mleta comment haikutekelezwa na Awamu hii yenye usiri mkubwa kwa mengi hadi kufanya watu wahoji au kuwa na wasiwasi na weledi wa kiongozi wa sasa kutokana na anavyozunguka na mabulungutu ya fedha akiwagawia maswaiba wake.
 
Ninakubaliana na Waziri mkuu, . . Urais si mchezo, unahitaji mtu;

Makini,

Msomi,

Muelewa,

Mwenye busara,

Mwenye Utu,

Mtanzania mzalendo;

Anayetambua Urais ni Taasisi na si mtu binafsi! . . Katika Uchaguzi huu mtu huyo ni Tundu Lissu!!
Tundu Lissu jimbo lake tu linaonekana kumzidi kimo sembuse urais.
 
Bwege unayejaribu kutushawishi wenye akili tuwe wapumbavu kama wewe, mkakati gani kijijini kwa Rais, kama asingekuwa Rais mkakati kijijini kwake uwanja ungejengwa? Bwege mtozeni wee.

Uwanja wa ndege wa Mwanza ukiwa hub ya kimataifa kuna viwanja vya Bukoba na Shinyanga Bwege wee!

Wewe Bwege maendeleo yeyote hapo katika ukanda wa ziwa hakuna wa kuvizidi viwanja vya Mwanza, Shinyanga, Musoma, Mwadui hadi ukajenge uwanja wa ndege kijijini kwa dikteta Bwege mpumbavu!

Bwege mtozeni, Magu na team yake hawawezi kumkana Mayanga, na ushahidi nikuletee Bwege usiyejitambua kwani mimi Bwege kama wewe?

Bwege na mpumbavu ni wewe ambaye unakariri maisha bila ya kujua kuwa sio kila kitu ni lazima kiende kwa upeo wako mdogo.

Faida za uwanja wa Chato unaweza usizione wewe na ukoo wako lakini zipo na zitaonekana mbeleni.
 
Bwege mwenye upeo wa kilumumba ambao faida ya uwanja wa ndege kijijini kijijini unaiona wewe na ukoo wa wajinga wenzako wapumbavu msio na akili.

Pia nimekwambia wewe Bwege, jinga peleka ujinga wako kwa wajinga wenzako, tena pumbavu bado unanitag tu! Hizi ni dalili za ukichaa, ngojea niwasiliane na madaktari bingwa wa magonjwa ya akili wanifahamishe ugonjwa wako.

Kuonyesha jinsi ulivyo pumbavu utanitag tena kuniambia jinsi uwanja wa ndege kijijini Chato ulivyo muhimu! That is Mirembe case
 
Mabutu uwanja wa ndege aliojenga kijijini kwao sasa ni ngome ya wanyama pori
 
Leo jioni umesahau kunywa vidonge vyako vya kichwa?.

Mirembe imekimbiwa na mgonjwa 😂😂
 
Mabutu uwanja wa ndege aliojenga kijijini kwao sasa ni ngome ya wanyama pori
Mobutu ni Mobutu na Tanzania ni Tanzania.

Jana Pole Pole kaziweka wazi kumbukumbu za bunge kuidhinisha ujenzi wa uwanja wa ndege.

Kama Mobutu kiwanja alichojenga huko kwao hakikuidhinishwa na bunge lao hilo ni tatizo lao.
 
Back
Top Bottom