Mkuu unatutaka tuangalie Ujinga wa Tbccm ili na sisi tuwe wajinga kama Polepole.hivi kweli chama changu ccm mnamtuma polepole awawakilishe kujibu tuhuma?
hamko serious
sijaona cha maana alichozungumza mnazidi kuwadhalilisha waandishi wa habari
Huenda hata Magufuli yupo CCM kimaslahi tu ila moyo wake upo NCCR Mageuzi, haiwezi Chama Kikongwe kama CCM kiongozwe na wahamiaji ambao hawajawahi kuwa na uchungu na hicho chama hata siku moja.Moyo wa Polepole, Dk Bashiru ,profesa kabudi,kitila nk wengi wao wana vinasaba vya upinzani.
Njaa na kukutwa majalalani vimewafanya wajitoe akili.
Ccm inakufa kifo cha Mande ndembe ndembe
Huenda hata Magufuli yupo ccm kimaslahi tu ila moyo wake upo NCCR Mageuzi, haiwezi Chama Kikongwe kama CCM kiongozwe na wahamiaji ambao hawajawahi kuwa na uchungu na hicho chama hata siku moja.Moyo wa Polepole, Dk Bashiru ,profesa kabudi,kitila nk wengi wao wana vinasaba vya upinzani.

Huyu bwana magufoool zile billion alizozitumia kununua liability(waunga juhudi kutoka chadema) angezitumia kugawa zile milioni 50 basi angalau kwa ngazi ya taifa ingekuwa danganya toto ya maana sana
Sijui alikosea wapi na alilenga nini kununua watu wa dizaini ya Lijuakali akawaacha akina Lema,Lissu na Mdee
Ndio maana hata kwenye mabango yao unaona jina la Magufuli limepewa uzito zaidi kuliko hata jina la Chama.Pole Pole na Bashiru ni "GOBERCHEV' Wanafanya kazi ya kuizika CCM kimya kimya.
Wewe umeona wapi watu walikuwa wapinzani miaka yao yote tena kwa ushahidi na kauli, wanaaminiwa kupewa Sekretariat ya chama kinachotawala, kazi ya kwanza kufanya ilikuwa kuwaondoa wote ORIGINAL na kujenga mtandao wao na wamefanikiwa kuiteka CCM sasa imebakia kuiuwa. JPM pia ni sehemu ya syndicate.
Ndio maana hata kwenye mabango yao unaona jina la Magufuli limepewa uzito zaidi kuliko hata jina la Chama.
Kidumu chama cha Magufuli (CCM)
REST IN PULSE chama cha Mapinduzi (ccm)
Wengi wa wale mamluki sasa hawawezi kutembea mtaani maana hata vichaa wanawaona vichaa.Mamluki walionunuliwa na Magufuli hakuna hata mmoja anayemsaidia kujibu hoja hasa kipindi hiki anakabiliwa na upinzani mkali, sasa aliwanunua wa nini? Mikakati mingine ya kizembe sana.
Kwa kifupi Polepole ni njaa ndio ilimpeleka CCM.Polepole sio CCM hajawahi kuwa CCM na hatakaa awe CCM Yuko hapo alipo kwa ajira na maslahi, hana historia na chama, hana uchungu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Pole pole sio mwanasiasa kama Nape ndio maana tunamuona kapwaya.Ana usomi gani Pole pole Sasa huyo kaunga unga, Nape aliitendeaga haki hyo nafasi yake