Bando la wiki
JF-Expert Member
- May 23, 2023
- 911
- 3,017
Utaratibu wa kawaida wa chama kile ni mgombea wa urais ni kujaza fomu ya kuomba apate ridhaa ya kukiwakilisha chama kwa kuzunguka mikoani kutafuta wadhamini ili athibitishwe kuwa mgombea wa urais kwa tiketi ya chama hicho. Lakini hilo suala jana limetupwa kampuni na hatimaye wajumbe wameshampitisha mama kuwa mgombea wao.
Sio kesi ila tujiulize wasiwasi ni nini mpaka mambo haya kufanyika kwa haraka hivyo pasipo kufuata kanuni za chama.
Turudi kwenye inshu ya uchaguzi chadema.
Kwenye press nyingi alizofanya Godbless Lema alidai sio mara moja mwenyekiti mbowe kipindi cha nyuma aliwahi kumwambia kwamba amechoka sana kuhudumu kama mwenyekiti katika chama hicho hivyo anaitaji kupumzika ikifika uchaguzi wa chama 2024, nini kimetokea hadi mzee kang'ang'ania iwe mvua iwe jua lazima agombee uenyekiti wa chadema mwaka huu 2025.
Lakini pia kumbuka maridhiano ya mheshimiwa Mbowe na Samia namna yalivyobadili misimamo ya chadema huku, wajumbe wengi wa sekretarieti ya chadema kuwekwa kando ya maridhiano hayo na kubaki ni siri za wenyeviti wa pande mbili CCM na chadema.
Naona hawa wenyeviti wote wawili kwa hali isiyo ya kawaida wanaogopa sana uungwaji mkono anaoupata Mheshimiwa TUNDU LISSU kwenye mioyo ya watanzania walio wengi.
Kwa uoga huo naamini kuna ajenda za siri zimepitishwa kuzuia Tundu Lissu hasifanikiwe kuwa mwenyekiti wa chama.
Hivyo kesho Tundu Lissu na wajumbe wake watapigwa matukio na kunyimwa haki ya kutangazwa kuwa mshindi wa nafasi hiyo ya mwenyekiti wa chama.
Cha kumhasa Mheshimiwa Tundu Lissu endapo watamfanyia hujuma hiyo. Hakikisha chama jasho na damu yako iliyomwagika kwa kukitumikia chama hicho wanailipa hao wahuni.
Lakini usikubali tena kutumiwa kwa manufaa ya wachache kwa sababu huo ungangali wako ndio unafanya chadema ipate wafuasi (watanzania) ngangali ambao wanaona wewe ni sauti yao kwa uchafu wasioweza kuuvumila unafanywa na viongozi wa serikali kwa kudharau wananchi.
Lakini option ya kuhamia vyama vingine vya upinzani isipokuwa ccm wala act wazalendo ni bora kwenda huko. Chama kama NSSR Mageuzi au CHAUMA ni kizuri kwenda kumkimbizia huko huko mama Kizimkazi kwa sababu kwa maridhiano yao sidhani hata kama nafasi ya kugombea urais kupitia chadema kama atapata nafasi hiyo.