Kwa raha hizi huko peponi walioahidiwa waislamu na mimi naanza kutafakari

Kabisa ukifa ndo imeisha hiyo ndo maana mifupa ya Karne ya kwanza inaweza fukuliwa au zinafufuka roho tu miili mipya,,,
Ukifa ni end of story.
 
Hahaha yaani wavaa kobasi ni kama ccm na wananchi wake full kuwadanganya mudi mwenyewe aliulizwa akashindwa kujibu ila mkikuta hizo ahadi mniite mbwa nipo pale
Mkuu, tuanze kwa kujifunza weqe dini gani je dini yako invalidity nini huko munapoamini munaenda baada ya kifo kama malipo ya kuamini na kufuata hio dini??

Naomba nijibu.
 
Wanawake watapewa Nini kiongozi!?? Au Kazi yaon ni kukamiwa tu huko....
 
Kabisa ukifa ndo imeisha hiyo ndo maana mifupa ya Karne ya kwanza inaweza fukuliwa au zinafufuka roho tu miili mipya,,,
Ukifa ni end of story.
Roho ndiyo nini. Hakuna kitu kitafufuka na kuwa na uhai kama mwanzo. Vitabu vya dini viliandikwa na watu wa mashariki ya mbali na siyo afrika na je waafrika walikuwa wanafuata dini gani. Je kabla ya binadamu kujua kusoma na kuandika walikuwa wanaamini nini. Tuwe na mawazo deep
 
Ukimwi wao unabaki kwenye mwili huku duniani!
 
Wanawake watapewa Nini kiongozi!?? Au Kazi yaon ni kukamiwa tu huko....
Wanawake 70 ni moja tu ya agadir kati ya ahadi nyingi...agadir hii ni katika sector ya mapenzi tu bado kuna ahadi na prize nyingi sana ambazo mwanamke nae atapata hapa kwenye Base ya mapenzi sina eliminate sana Mungu mjuzi anajua zaidi.

Watu wanaopenda uchochezi wa kidini wanapenda sana kutumia hii sehemu ya mabikra 70 kuleta uchochezi kujenga picha kama kitu kibaya bila mantiki yoyote...Swali ni je mapenzi ni kitu kibaya??
 
Ukimwi wao unabaki kwenye mwili huku duniani!
Na iwapo kama ni kwenda kufanya mapenzi na wanawake 72 na huoni kama itakuwa ni uchafuu mkubwa Kwa sababu Toka Dunia ianze watu wangapi wamekufa sababu utakuwa unafanya mapenzi na ndugu zako. Tuwe na fikira deep ni hizi dini
 
Ili kitu kiwe na maana lazima kiwe na ukomo.
Unahangaika tu na mabrika milele? Utachoka haraka sana, labda;

Allah atoe utashi wako, uwe kama robot, unachojua ni kuzagamuana tu.

Eleweni muktadha wakuu, 'milele' haina mwisho.
Haya umeandika kwa mwili tuliopewa duniani, peponi hakuna msamiati unaitwa KUCHOKA, misamiati yoote inayowakilisha matatizo na shida pepeni haitakuwepo up uwezo atakupa Mungu mwenyewe...Technically kilasiku utakuwa kama unamwaga bad siku ya kwanza to make it simple.

Pia hakuna ishu ya bakra tu hiko ni kitu kimoja kwenye millioni.
 
Hata duniani mapenzi yapo kama unayo pesa
 
Hivi na wadada wa kiislamu ambao watapata fursa ya kuiona pepo wao watapewa zawadi gani itakayowafanya na wao waenjoy?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…