Kwa Rais huyu, CCM wana hali mbaya sana!


Mwambie huyo court jester wa Rais Samia!

Wanaoijua CCM wanasema hali ni mbaya sana.
 


Eti mbolea imefika elfu 70?


Mkiwa mnaandika Haya madude yenu angalau muwe mnaandika ukweli basi.
 



Safi sana.


Siku hizi njia za kufua na kusuuza zipo bwelele.
 
Shukrani kwa kutoa hoja yenye kina kirefu.

Nadhami uzalendo nchini umeanza kupungua baada ya kuingia kwenye siasa za mfumo wa vyama vingi na uchumi wa soko huria. Kwa sasa pesa zinatangulia katika uongozi


Haujapungua, unaelekea kuisha hasa ukizingatia asilimia karibu 50 ya wananchi ni vijana na ndio hawaelewi kabisa kitu inaitwa uzalendo.


It’s a Liberal world.
 
“Ukweli una tabia moja nzuri sana, haujali ukubwa wala udogo, hujali uadui wala urafiki. Kwake watu wote ni sawa. Pia ukweli unayo tabia ya kujilipiza kisasi kama ukipuuzwa" - Nukuu. Nukuu kutoka katika maandiko matakatifu pia hutuasa kuwa, ukiusikiliza na kuuzingatia, basi ukweli utakuacha huru.
 
Lakini watashinda sababu cdm hawana mtu wa kusimama na ccm jukwaani
 
Haujaweka namba ya simu.
 
DP WORLD ni mchongo wa kina Kinana na Makamba kumvurugia SSH kwa wananchi, na wamefanikiwa ikiwa wataendelea kushupaza shingo!

DP WORLD ni mchongo wa kina Kinana na Makamba kumvurugia SSH kwa wananchi, na wamefanikiwa ikiwa wataendelea kushupaza shingo!

Hii dhana ya kusema kuna watu wanamvurugia Rais Samia mnaitoa wapi?

Hujui kama Rais wa Tanzania kwa tiketi ya CCM amepewa madaraka makubwa kama “Mungu” wa Tanzania! Yaani Rais akiamua anaweza kufanya lolote kuhusu mfanyakazi yeyote ndani ya serikali, mahakama, bunge na pia CCM.

Rais Samia hana karama, kipaji na ujuzi wa uongozi.
 

Kwa kiwango kikubwa nakubaliana na hoja zako.

Hoja yako imebeba hitimisho la andiko langu kuwa Rais Samia hana karama, kipaji na ujuzi wa uongozi!
 
Halafu kuna sms tunatumiwa wanachama wa ccm kama mimi kuunga mkono uuzwaji wa Bandari aiseh nimefurah kwa hasira balaa!!!

NAONA hawataki kuheshimu kadi YANGU ya chama!!!

Hicho wanachokifanya ni kutapatapa!

Toka lini wafanyakazi serikalini na viongozi wa CCM wakapiga kampeni kuhusu mkataba tena wa kugawa maliasili za Taifa!
 
Huu ni kweri mchungu sana. CCM wafe tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…