Kwa Rais huyu, CCM wana hali mbaya sana!

Mnatetea ujambazi huku nafsi zenu zikiwasuta
 
Wewe lucas, huwa kuna kipindi una kuwaga na kaujinga furani hivi kakipumbavu.kipindi cha jpm mbolea tulikuwa tunanunua 35000,leo mbolea ni bei gn?, angalia mfumko mkubwa wa bei uliopo kwa sasa.

Mwashamba,mimi ni mwanaccm,tena ni kiongozi wa ngazi za maamuzi,ni vzr tumtose mama ili kuinusuru ccm.vinginevyo ccm na mama vitaondoka vyoote kwa pamoja.HATUPO TAYARI KWA HILO.
 
Wana CCM tuna imani na Rais samia na ndiye tunaye kwenda naye uchaguzi ujao kwa kuwa ndio kiu ya mamilioni ya watanzania,lakini pia mbolea haikupandishwa bei na Rais samia bali ilipanda kutokaba na kupanda katika soko la Dunia. Lakini pia hiyo bei iliyoweka hapo hujaeleza ni kwa mbolea ipi kati ya DAP au CAN au SA au UREA maan mbolea kama DAP haijawahi kuuzwa kwa bei hiyo kwa mfuko wa kilo 50
 
DP WORLD ni mchongo wa kina Kinana na Makamba kumvurugia SSH kwa wananchi, na wamefanikiwa ikiwa wataendelea kushupaza shingo!
 
Mama aliingizwa kwenye mtego wa kampeni za Urais mapema sana bila yeye kujua!hasa pale gazeti la uhuru lilipo spin HATMA yake 2025 matokeo yake akaanza kampeni mapema sana KABLA ya wakati na sasa anaeanza kuchuja KABLA ya wakati yaani watu wakishakuzoea hawana shauku na wewe tena!!!



Pia nadhani ali handle vibaya transition ya magufulisim to samiaisim!

Angendeelea na wale wa jpm kwa musa mrefu serikalin na kwenye chama ingemsaidia sana lakini akaingizwa king tena watoto wa mjin wakamuingiza mtegoni sasa ni mwendo wa kumfubaza kisiasa hadi 2025 atakua amechoka!!!

NAONA anajitahidi sana huko kusini Ruvuma huko ILI azoe kura hizo nadhani I'll azizoe zote hizo amuandae nchimbi kama makam wake ajaye labda itamsaidia!!!

Kunako majaaliwa 2025

Mungu ibariki TANZANIA!!
 
Halafu kuna sms tunatumiwa wanachama wa ccm kama mimi kuunga mkono uuzwaji wa Bandari aiseh nimefurah kwa hasira balaa!!!

NAONA hawataki kuheshimu kadi YANGU ya chama!!!
 
Hayo mabango ni akina nape na akina mwigulu waliyaweka ili kuweza kumfunika mtangulizi wake. .lakin ndo kwwnza amekuwa kituko

Hawawezi kuweka mabango bila kumshirikisha anayesifiwa!

Kinachoshangaza badala ya kupambana na kuondoa changamoto na matatizo ya wananchi, wanachofanya ni kupambana na Marehemu mtangulizi wake!
 
...You have solemnly swore to tell the truth, the whole truth, and nothing but the truth, and you will keep secret all of the proceedings of the grand jury conducted in your presence? So help you God.

I do solemnly affirm that I will faithfully say/write the truth, will to the best of my ability. I will preserve, protect and defend Tanzania to any unscrupulous and uncouth government official!

Thanks.
 

Mkuu wangu nipo sana!

Nawe habari za siku nyingi!

Nakubaliana na wewe kwa sababu umetoa hoja ya kina yenye ukweli ulio wazi.

Kama nilivyosema kwenye thread hii, Rais Samia hana karama, kipaji na ujuzi wa uongozi.

Ubarikiwe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…