milele amina
JF-Expert Member
- Aug 16, 2024
- 6,045
- 8,080
Msiba wa Mafuru ulikuwa muhimu kuliko msiba wa Kariakoo.
Saa100 agekuwa anatumia usarifi wa helicopter,ningetuma sadaka.
Saa100 agekuwa anatumia usarifi wa helicopter,ningetuma sadaka.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ulitaka aende akasaidie kutoa vifusi?. Hujamuona Waziri Lukuvi pale kwenye eneo la tukio?.Wewe kama kiongozi awamu ya 6, hujisikii vibaya, bibi kupaa na pipa hapa Dar,anawacha mamia ya watanganyika chini ya vifusi wakiomba msaada wa kupatia oxygen?
Jengo limeanguka Samia akiwa angani anakaribia huko alipoenda, kabla ya kulaumu tujaribu kuangalia ulivyokuwa mtiririko wa matukio.Msiba wa Mafuru ulikuwa muhimu kuliko msiba wa Kariakoo.
Saa100 agekuwa anatumia usarifi wa helicopter,ningetuma sadaka.
Angerudi kuomboleza na kuhimiza uokoaji. Yaani mwenye nyumba itokee tatizo hata ukiwa safarini si unarudi kuonyesha kujali maisha ya watu wako?Jengo limeanguka Samia akiwa angani anakaribia huko alipoenda, kabla ya kulaumu tujaribu kuangalia ulivyokuwa mtiririko wa matukio.
Mawaziri wake walikuwepo katika eneo la tukio, mkuu wa mkoa na Lukuvi walikuwepo. Nina uhakika angekuwepo hapa nchini ni lazima angekwenda mahali pale.Angerudi kuomboleza na kuhimiza uokoaji. Yaani mwenye nyumba itokee tatizo hata ukiwa safarini si unarudi kuonyesha kujali maisha ya watu wako?
Uwepo wake kama Mfariji Mkuu wa Nchi ungesaidia sana hata kwa maamuzi magumu yangefanyika maana yeye ndio mwamuzi hakuna wa kumuomba ruhusa.Mawaziri wake walikuwepo katika eneo la tukio, mkuu wa mkoa na Lukuvi walikuwepo. Nina uhakika angekuwepo hapa nchini ni lazima angekwenda mahali pale.
Kwahiyo Chadema ikiingia madarakani ndio inaweza kuresponse haraka kwenye haya majanga?Kwani ujinga na ubovu wa serikali huonekana wapi na wakati gani?
JIBU NI: Ni response yake wakati wa kushughulikia majanga kama haya
Wether unapenda au hutaki, ukweli ni kuwa CCM na serikali yake kwenye kushughulikia uhai na ustawi wa watu sio kipaumbele chao. Kipaumbele chao ni kutetea uwepo wao madarakani na matumbo yao...
Kwa fyongo na udhaifu huu wa serikali yenu utazuiaje wapinzani wenu kisiasa kuwapiga mawe na kuwaona hamfai...???
Tukio hili la Kariokoo leo ni ushahidi wa ubovu wa CCM na hivyo serikali yao na tayari wiki ijayo zinaanza kampeni za uchaguzi wa viongozi wa vijiji, mitaa/vitongoji....
Huwezi kuzuia wapinzani wenu kuifanya hii kuwa ni ajenda na nyundo mojawapo ya kuwapondea nayo CCM wakati wa kampeni kuwa hamfai kuaminiwa tena...
Mbona hivyo vitu havifanywi pia na Chadema lakini kwenye haranbee zakusaidia chama chao wanafanya sana kijana hakuna chama kitachokukusaidia badala yake wewe ndio utatumika kuwa ngazi yao ya kuingia madarakaniMngekuwa mnajali uhai wa binadamu mngeleta
Madawa hospitalini
Maji safi
Umeme wa uhakika
Nk
So unataka kutuambia Chadema ikiingia madarakani ndio watakuwa solution ya matatizo yetu yote?Kwa kweli CCM ni janga kubwa kwa Taifa. Yaani serikali ya CCM hakuna jema inayoliweza, zaidi ya uovu. MV Bukoba watu walipotea kwa uzembe. Ajali ya ndege Bukoba, uzembe mtupu. Ajali mbalimbali zinazohitaji uokozi, hakuna wakati ambapo Serikali imewahi kufanya kama inavyotakiwa. Wanachokiweza ni uovu wa kupora uchaguzi, kufanya ufisadi, kuteka na kuua watu!!
Alipokwenda ni kikazi zaidi tukumbuke. Faraja aliituma jana usiku kwa njia ya video na kuahidi maziko ya wote 13 waliofariki.Uwepo wake kama Mfariji Mkuu wa Nchi ungesaidia sana hata kwa maamuzi magumu yangefanyika maana yeye ndio mwamuzi hakuna wa kumuomba ruhusa.
Mwenye thread: Ni Kwa Response..........umetumia verb badala ya noun!Kwani hizo taasisi zinasimamiwa na serikali ya chama gan?
Ni kwel ccm tatizo. Lakini ndan yake kuna baadhi ya viongozi bora, sasa tafakuri hao chadema kwa mimi sijaona kiongozi wa kupewa hii nchi , inatakiwa wabadilishe sio kila siku ni risu na mboweTatizo la Tanznaia ni ccm.
Kama huna elimu ya uokoaji ni vyema ukakaa kimya maana ulichoandika ni upuuzi mtupu, vikosi vya uokoaji si kwamba vinakuwa mahali pa tukio bali vinakuwa katika maeneo tofauti na tukio pia kuna majukumu mengine pia. Lakini pia Vikosi hivyo vikishapata taarifa kuna maandalizi ikiwa ni pamoja na kupata taarifa sahihi, kuangalia ni vifaa gani stahiki wanapaswa kwenda navyo, vikosi vitakuwa na timu ngapi na ni timu ipi inatakiwa kutangulia na timu ipi itakuwa back up. Baada ya kufika eneo la tukio kabla ya kuanza kazi ya uokoaji lazima kwanza ifanyike Field Level Risk Assessment ili kuwalinda waokoaji, watu wanaozunguka eneo husika, waathirika wa tukio, pia mali zilizopo katika eneo hilo. Unapoleta mambo ya maandamano, hilo ni jambo tofauti kabisa na uokoaji.Tukio la maafa limetokea katikati ya jiji eneo lenye watu wengi saa 3 asubuhi, lakini vyombo vyote vya uokozi vimechukua masaa kujitokeza kuokoa watu waliochini hadi Raia wasio na dhana za uokozi wanatumia mikono mitupu kuokoa watu hii ni aibu kwa serikali hii. Askari hawaonekani kama wale wa maandamano ya Chadema kwa mamia bali mmoja mmoja na kitambi chake, huu ni wendawazimu kabisa yaani kuyafanya maandamano ni ya hatari kuliko maafa kama kudondoka jengo na kufukia watu? Pengine Mungu anatuonyesha ubovu wa serikali yetu tuliyokubali iwe madarakani huku pamoja na kutupatia "UFAHAMU" bado tunashangilia "mitano tena". Kwa kweli kuipigia kura CCM tena tunastahili kupimwa akili kama ziko sawa. View attachment 3153700
HEEEEE HEEEEEE!Kipi kisichoeleweka au we ndo wajitoa akili? “ jeshi jeshi.. “ ni kama vile watu wa kazi wameingia mambo yataenda, watu wakazi wenyewe wako mikoni mitupu wanatbea kama vile hawajui kinachoendela,
Au hilo nalo hadi taarifa rasmu ya polisi? Faq idiot
Umekariri wapi hii mkuu 'mkaruka'?Kama huna elimu ya uokoaji ni vyema ukakaa kimya maana ulichoandika ni upuuzi mtupu, vikosi vya uokoaji si kwamba vinakuwa mahali pa tukio bali vinakuwa katika maeneo tofauti na tukio pia kuna majukumu mengine pia. Lakini pia Vikosi hivyo vikishapata taarifa kuna maandalizi ikiwa ni pamoja na kupata taarifa sahihi, kuangalia ni vifaa gani stahiki wanapaswa kwenda navyo, vikosi vitakuwa na timu ngapi na ni timu ipi inatakiwa kutangulia na timu ipi itakuwa back up. Baada ya kufika eneo la tukio kabla ya kuanza kazi ya uokoaji lazima kwanza ifanyike Field Level Risk Assessment ili kuwalinda waokoaji, watu wanaozunguka eneo husika, waathirika wa tukio, pia mali zilizopo katika eneo hilo. Unapoleta mambo ya maandamano, hilo ni jambo tofauti kabisa na uokoaji.
Uchaguzi wa HAKI hakujawahi kutokea CCM ikashinda.Tukio la maafa limetokea katikati ya jiji eneo lenye watu wengi saa 3 asubuhi, lakini vyombo vyote vya uokozi vimechukua masaa kujitokeza kuokoa watu waliochini hadi Raia wasio na dhana za uokozi wanatumia mikono mitupu kuokoa watu hii ni aibu kwa serikali hii.
Askari hawaonekani kama wale wa maandamano ya Chadema kwa mamia bali mmoja mmoja na kitambi chake, huu ni wendawazimu kabisa yaani kuyafanya maandamano ni ya hatari kuliko maafa kama kudondoka jengo na kufukia watu?
Pengine Mungu anatuonyesha ubovu wa serikali yetu tuliyokubali iwe madarakani huku pamoja na kutupatia "UFAHAMU" bado tunashangilia "mitano tena".
Kwa kweli kuipigia kura CCM tena tunastahili kupimwa akili kama ziko sawa.
View attachment 3153700