Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Painful clapping, mbaya zaidi uwe umemkosaTena una-clapping huku una maumivu 😂
Mosquitoes use blood for their reproduction. Without reproduction no life .Kwan tangu umezaliwa uliwahi kusikia mbu wamekufa kisa hawajanyonya damu ya mtu?
Ukimkosa n maumivu zaidi na ukimpata pia ni maumivu 😂 yani pain everywherePainful clapping, mbaya zaidi uwe umemkosa
Ww utakuwa na extreme Upumbavu 😂hapa tumepigwa, sasa kama Mungu anaupumbafu wake mimi ni nani? hii ni fix
Cjui ila naamini hakuna kitu kisichokuwa na faida na hasaraMosquitoes use blood for their reproduction. Without reproduction no life .
Niambie faida ya mbu ama nzi kama siyo upumbavu wa mung?
🤣🤣🤣🤣The best singers in this world are mosquitoes. Even if you don't like their songs you'll end up clapping
Double impactUkimkosa n maumivu zaidi na ukimpata pia ni maumivu 😂 yani pain everywhere
Mbaya zaidi awe alitua au anajaribu kukatiza kwenye "mbupu". Maumivu yake unaweza kuzima kwa muda...Painful clapping, mbaya zaidi uwe umemkosa
Sio kila chenye uhai kiliumbwa na Mungu moja kwa moja! Viumbe vingine vimetokea kwasababu ya mabadiliko ya tabia nchi ambayo tumesababisha sisi wenyewe ili kututahadharisha!Mosquitoes use blood for their reproduction. Without reproduction no life .
Niambie faida ya mbu ama nzi kama siyo upumbavu wa mung?
This is highest level of misunderstanding.Cjui ila naamini hakuna kitu kisichokuwa na faida na hasara
Mimi sio mkiristo. hiyo inaapply wa wakristo.Ww utakuwa na extreme Upumbavu 😂
Translation:لَقَدۡ خَلَقۡنَا ٱلۡإِنسَٰنَ فِيٓ أَحۡسَنِ تَقۡوِيمٍ ٤
"Verily, We have created Man in the best of molds." (English meaning)
هُوَ الْأَوَّلُ وَالْآخِرُ وَالظَّاهِرُ وَالْبَاطِنُ وَهُوَ بِكُلِّ شَيْءٍ عَلِيمٌ for He is the First and the Last, the Manifest and the Hidden, and He is of all things Knowing. (English meaning)
Huwezi Muelewa Mungu wakati wewe mwenyewe hujielewiKumbe Mungu nae ni mpumnavu nilikuwa nashangaa yanaondelea duniani kumbe ni upumbavu wa Mungu huyu Paulo ni msema kweli kila siku nasema hakuna aliyekamilika hata Mungu ana upumbavu
Andiko linasema Mungu ana upumbavu kwa maneno rahisi Mungu ni mpumbavu kwa mujibu wa biblia sasa hapo kuna hitajika elimu kujua kama Mungu ana upumbavu wakati andiko limeshasema yaan wewe mmatumbi ujifanye unajua sana biblia kushinda Paulo aliosema Mungu MpumbavuHuwezi Muelewa Mungu wakati wewe mwenyewe hujielewi
Kuna watu wanapendaga kumkosoa Mungu ndo maana hilo neno likaandikwa kwa hao wanaojiona wajuaji kuliko MunguAndiko linasema Mungu ana upumbavu kwa maneno rahisi Mungu ni mpumbavu kwa mujibu wa biblia sasa hapo kuna hitajika elimu kujua kama Mungu ana upumbavu wakati andiko limeshasema yaan wewe mmatumbi ujifanye unajua sana biblia kushinda Paulo aliosema Mungu Mpumbavu
Kweli ujinga haufichwi kwa wigi ,sasa hapo neno lipo sahihi Mungu ni mpumbavu ila tafsiri yako ni ya kipumbavu zaidiAndiko linasema Mungu ana upumbavu kwa maneno rahisi Mungu ni mpumbavu kwa mujibu wa biblia sasa hapo kuna hitajika elimu kujua kama Mungu ana upumbavu wakati andiko limeshasema yaan wewe mmatumbi ujifanye unajua sana biblia kushinda Paulo aliosema Mungu Mpumbavu
Andika lina sema Mungu ana upumbavu maana yake upumbavu ni Kielezi hiyo wakati ajjective yake ni mpumbavu sasa we hujaelewa wapi wakati andiko linasema Mungu ana upumbavuKweli ujinga haufichwi kwa wigi ,sasa hapo neno lipo sahihi Mungu ni mpumbavu ila tafsiri yako ni ya kipumbavu zaidi