Kwa sababu upumbavu wa Mungu una hekima zaidi ya wanadamu, na udhaifu wa Mungu una nguvu zaidi ya wanadamu.

Kwa sababu upumbavu wa Mungu una hekima zaidi ya wanadamu, na udhaifu wa Mungu una nguvu zaidi ya wanadamu.

Mosquitoes use blood for their reproduction. Without reproduction no life .
Niambie faida ya mbu ama nzi kama siyo upumbavu wa mung?
Cjui ila naamini hakuna kitu kisichokuwa na faida na hasara
 
Upumbavu wa Mungu una hekima kuliko binadamu ni sawa ni mtu kusema kwanini Mungu aliumba milima na mabonde na asingeifanya dunia kuwa tambarare ,na pale binadamu alipojaribu kumkosoa Mungu alivuna malipo yake.
 
Mosquitoes use blood for their reproduction. Without reproduction no life .
Niambie faida ya mbu ama nzi kama siyo upumbavu wa mung?
Sio kila chenye uhai kiliumbwa na Mungu moja kwa moja! Viumbe vingine vimetokea kwasababu ya mabadiliko ya tabia nchi ambayo tumesababisha sisi wenyewe ili kututahadharisha!
Screenshot_20240719_102207_Google.jpg
 
Kumbe Mungu nae ni mpumbavu nilikuwa nashangaa yanaondelea duniani kumbe ni upumbavu wa Mungu huyu Paulo ni msema kweli kila siku nasema hakuna aliyekamilika hata Mungu ana upumbavu
 
Ww utakuwa na extreme Upumbavu 😂
Mimi sio mkiristo. hiyo inaapply wa wakristo.

As muslim
  • Surah At-Tin (Chapter 95), Verse 4:
لَقَدۡ خَلَقۡنَا ٱلۡإِنسَٰنَ فِيٓ أَحۡسَنِ تَقۡوِيمٍ ٤
Translation:

"Verily, We have created Man in the best of molds." (English meaning)

Ukuu wa Mungu
  • Surah Al-Hashr (Chapter 59), Verse 21:
هُوَ الْأَوَّلُ وَالْآخِرُ وَالظَّاهِرُ وَالْبَاطِنُ وَهُوَ بِكُلِّ شَيْءٍ عَلِيمٌ for He is the First and the Last, the Manifest and the Hidden, and He is of all things Knowing. (English meaning)

Sasa kwenye bible Mungu aliwahi hadi kupigwa na binadamu aliemuumba, akamminya sehemu hadi ambariki, kweli akaminywa hadi akaachiwa akakimbia

that is joke
 
Huwezi Muelewa Mungu wakati wewe mwenyewe hujielewi
Andiko linasema Mungu ana upumbavu kwa maneno rahisi Mungu ni mpumbavu kwa mujibu wa biblia sasa hapo kuna hitajika elimu kujua kama Mungu ana upumbavu wakati andiko limeshasema yaan wewe mmatumbi ujifanye unajua sana biblia kushinda Paulo aliosema Mungu Mpumbavu
 
Kuna watu wanapendaga kumkosoa Mungu ndo maana hilo neno likaandikwa kwa hao wanaojiona wajuaji kuliko Mungu
 
Mifano hiko mingi kwa wale wanaotaka kumkosoa Mungu! Mungu alimuumba mwanaume kumtawala mwanamke (lakini kumtawala katika haki na wala sio kumbeza wala kumnyanyasa). Mwanaume akaanza kumnyanyasa, kumdhihaki na kumbeza na kumuona si chochote si lolote! Sasa ona Mungu anavyowainua wanawake kiuchumi, kielimu, kiakili mpaka sasa hivi kumwendea mwanamke lazima uwe na adabu! Huwezi kumkosoa Mungu!
 
Andiko linasema Mungu ana upumbavu kwa maneno rahisi Mungu ni mpumbavu kwa mujibu wa biblia sasa hapo kuna hitajika elimu kujua kama Mungu ana upumbavu wakati andiko limeshasema yaan wewe mmatumbi ujifanye unajua sana biblia kushinda Paulo aliosema Mungu Mpumbavu
Kweli ujinga haufichwi kwa wigi ,sasa hapo neno lipo sahihi Mungu ni mpumbavu ila tafsiri yako ni ya kipumbavu zaidi
 
Kweli ujinga haufichwi kwa wigi ,sasa hapo neno lipo sahihi Mungu ni mpumbavu ila tafsiri yako ni ya kipumbavu zaidi
Andika lina sema Mungu ana upumbavu maana yake upumbavu ni Kielezi hiyo wakati ajjective yake ni mpumbavu sasa we hujaelewa wapi wakati andiko linasema Mungu ana upumbavu
 
Back
Top Bottom