Kwa sababu ya umasikini wangu wazazi wa binti wamenikataa

Mim kam mzazi wa baade (no kids now), ningependa binti yangu awe na furaha. Achague yule anayedhan anamfaa kwke.
Zaid mim nitatoa ushaur tu ambao si lazima. Kitachojir itakuwa ni funzo kwake.
Tusiende mbal, mim binafsi sipendi kuchaguliwa who to marry na wazaz.

Acha nijifunze, maisha yatanifunza. Plus sina mvi muda wa kupamban upo.
Pia sijawah kumtendea vbaya huyu binti wa watu. issue money tu
 
Tafuta pesa muda huo binti anahangaika kutafuta mwenye makalio na kende (mbele na nyuma). Ukifanikiwa kujipata, binti atakuwa single maza ama amechakaa sasa yeye ndio atakuwa hana mbele wala nyuma.

Tafuta hela
Tafuta hela
Tafuta hela.

Huu ndio ushauri wangu kwako
 
Ni mjasiriamali mdogo
May be wazee huona mbali, wako protective. Like you umepoteza lakin umepata mwngne along the journey. Huwenda ikatokea kwangu pia.
Nakubaliana na wewe DEVINE NATURE imechukua mkondo wako.
Thanks man
 
Mbona bado kijana mdogo sana we chukulia kama huyo mpenzi wako ni daladala umetelemka kesho utapanda nyingine.
 
Umasikini ni mbaya sana kaka, pambana upate pesa acha kulia lia mwanaume. Piga hata dili haramu mafanikio yanataka watu jasiri wanao gusa sehemu tofauti tofauti, chukia umasikini upige vita kwa vitendo.
Umaskin utanipeleka sehem hat kw mtutu wa bunduk nisingeenda, shukran man
 
Wazee wako nayo miyeyusho mkuu kwahiyo masters ndo inaoa?
 
Hauko nje ya mada, inaonekan una high emotional tolerance. Ni nzur coz huwez kuyumbishw na ishu kam hiz
 
Pesa huwa ananuka kama harufu mbaya. Wewe hebu fikiria watu uliosoma nao waliofanikiwa sana bila shaka unajua habari zao ila makapuku huna habari nao. Namaanisha atafute ela awe na pesa kweli sio pesa ya kununua subaru xt halafu aseme kafanikiwa.
Ni kweli kuna mwanangu mmoja nilisoma nae Yan najua detail zake 😅Ila yeye detail zangu hazjui nasikia oya mwana kitengo siku hzi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…