Kwa sababu ya umasikini wangu wazazi wa binti wamenikataa

Mimi kama mzazi ningekubali kwasababu nitakua nimesha muendeleza binti yangu Kielimu na kiuchumi na anajitengemea. Binti akijipata ata mpenzi wake akiwa haja jipata binti hata teseka kwasababu atakua na kipato chake yani ana jimudu.
 
Upo sahihi kwa kiasi chake Ila umakini tu huyo kijana asije kuwatoa kafara
 
Dunia nzima mtoto wa kike walizaa peke yao? Hebu acha ufalah Mxieeeeww 😹
Hahaha iko funny, si unajua ile "siwez pata mwngine kam wewe" ndo huwa inatutesa wengi.
I like ur comment thou imeniambia "kuna plenty of fish in the sea", asante
 
Mimi kama mzazi ningekubali kwasababu nitakua nimesha muendeleza binti yangu Kielimu na kiuchumi na anajitengemea. Binti akijipata ata mpenzi wake akiwa haja jipata binti hata teseka kwasababu atakua na kipato chake yani ana jimudu.
Hapo binti hajajipata Bali anategemea Mali za Wazazi yaani Yuko kwako Bora angekuwa na mishe zake huko
 
Hahaha iko funny, si unajua ile "siwez pata mwngine kam wewe" ndo huwa inatutesa wengi.
I like ur comment thou imeniambia "kuna plenty of fish in the sea", asante
Akudanganye rejea wimbo wa diamond "nimpende nani anasema wazuri ni wengi lakini kumpata mwenye mapenzi ya kweli ndo balaa wengi wajanja wamejawa utapeli zamaa
 
Pole sana!! Mm ni mhanga pia wa hili tatizo!! kipindi cha ujana. nilipenda sana wasichana wa kaskani!! nilifanikiwa kumpata Pendo Shirima wa Rombo mashati. Kilichonikuta, Mungu anajua! Yale maumivu yalipelekea nifanye kazi kwa bidii!! na Sasa niko vizuri kiuchumi Nina biashara zangu Kahama na Igunga. hivyo dogo pambana utatoboa tu. Tz tuna frusa nyingi sana!! Pambana mwanakwetu!
 
Mkuu mbona una matusi ya ki Godlove sana wewe?

Ushauri gani huo kwa mwenzako!
Maneno mawili, tusi, mh!

Hata kama ushauri ni mzuri kiasi gani, ukizidi kuhomoka, unaharibu kila kitu.
Asnte kw kuliona hilo, but naamin watu wana namn tofaut ya kuexpress maoni/mawazo yao.
Pia i can take it, we need people like u asante once again
 
Tafuta pesa kwa kadri uwezavyo.. hata wewe ukija kuwa na binti utapenda aende kwa mtu mwenye nafuu na sio tia tia maji
 
Nitapamban na I pray maneno haya yakawe reality. Be blessed man
 
Ngoja kwanza, jukumu la kwanza la baba kwa binti yake mkubwa ni kumuozesha kwa kijana anayeamini kuwa ataweza kumtunza binti yake huyo.

Sasa turudi kwako kiongozi, je wewe utakubali binti yako kuolewa na mtu ambaye unaamini kabosa hatoweza kumtunza na kufanya naye maisha bora?.

Usisikitike, ni swala la vipaumbele na machaguo kiongozi.
 
Ntajaribu, thanks man
 
Kinachoniuma san si fedheha ya pesa, ila ni mpenz kutonipambania, kupoteza imani juu yngu.
Ni vema kaonesha rangi mapema, asante man
 
Usijipe na tumaini mimi mwanamke aliyenikataa alimaliza Chuo mwaka mmoja akakaa bila kazi mwisho wa siku Kaja kupata bwana kamnunulia na gari mimi bado nalanda labda mtaani usiku compare kabsa
Laiti ungejua Sauli angekuja kuwa Paulo, usingefanya huu ujinga!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…