Kwa Samia, Harmonize ni muhimu kuliko Wafanyakazi na Mei Mosi!

OKW BOBAN SUNZU

Platinum Member
Joined
Aug 24, 2011
Posts
53,868
Reaction score
121,001
Wafanyakazi wote mtulize akili zenu sasa kuelekea 2025. Mkituliza akili mtatambua kwamba kwa Rais Samia Mwanamziki Hamonaiza ni muhimu sana kuliko nyie na shida zenu. Ndio maana Rais alituma watu kuja kuwasikiliza. Tena kwa dharau zaidi ikaonekana mtumbuizwe na Wadudu πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€

Ndio maana hata katika mikutano yake yote hajawai kudokeza wala kufafanua hoja zenu. Fikiria Rais anakuwa na mipango na wasanii kuambatana naye nje ya nchi, yaani imekuwa kipaumbele chake, lakini sio kusema chochote kuhusu kikokotoo

Mnataka mfanyiwe nini ili muelewe kwamba mmepuuzwa?
 
Mwacheni harmonize..
Mwacheni konde boiiiii
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Kwani wafanyqkazi mnampa nini? Kwanza, anajua mnavyomchuki, hamtampigia kura, Wakati harmonize, anawakusanya mazombie vijana(vijana Ambao wanaamini kuna neema ndani ya CCM), wampigie kura
 
Kuna majibu yeyote tangible alitoa pale zaidi ya kusema tunalichukua? Mbona hakutuma waziri Ndumbaro na FA wakamwakilishe kucheza mziki
Pwani na Zanzibar Muziki ni sehemu ya Utamaduni muhimu nadhani bwashee Mrangi ova anakumbuka tulivyocheza Isambe tukiwa na mzee Rukhsa na Kanda Bongoman mwenyewe pale Shamba la bibi

Nyie waajiriwa msubirini Dr Mwigullu PhD kwenye Bajeti, mtafurahi πŸ˜„
 
Kwani wafanyqkazi mnampa nini? Kwanza, anajua mnavyomchuki, hamtampigia kura, Wakati harmonize, anawakusanya mazombie vijana(vijana Ambao wanaamini kuna neema ndani ya CCM), wampigie kura
Shujaa Magufuli alitaka kumpa Ubunge huyo Harmonize ila Dogo akagoma ndio akapewa yule Katani aliyetokea CUF πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Unamchukuliaje Harmonize kwanza? Ana maelfu ya watu kwenye mziki wake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…