OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Wafanyakazi wote mtulize akili zenu sasa kuelekea 2025. Mkituliza akili mtatambua kwamba kwa Rais Samia Mwanamziki Hamonaiza ni muhimu sana kuliko nyie na shida zenu. Ndio maana Rais alituma watu kuja kuwasikiliza. Tena kwa dharau zaidi ikaonekana mtumbuizwe na Wadudu 😀😀😀
Ndio maana hata katika mikutano yake yote hajawai kudokeza wala kufafanua hoja zenu. Fikiria Rais anakuwa na mipango na wasanii kuambatana naye nje ya nchi, yaani imekuwa kipaumbele chake, lakini sio kusema chochote kuhusu kikokotoo
Mnataka mfanyiwe nini ili muelewe kwamba mmepuuzwa?