Ni hoja nzito. Je huyu rais bado anatosha?Wafanyakazi wote mtulize akili zenu sasa kuelekea 2025. Mkituliza akili mtatambua kwamba kwa Rais Samia Mwanamziki Hamonaiza ni muhimu sana kuliko nyie na shida zenu. Ndio maana Rais alituma watu kuja kuwasikiliza. Tena kwa dharau zaidi ikaonekana mtumbuizwe na Wadudu πππ
Ndio maana hata katika mikutano yake yote hajawai kudokeza wala kufafanua hoja zenu. Fikiria Rais anakuwa na mipango na wasanii kuambatana naye nje ya nchi, yaani imekuwa kipaumbele chake, lakini sio kusema chochote kuhusu kikokotoo
Mnataka mfanyiwe nini ili muelewe kwamba mmepuuzwa?
Ndio anatosha sana tu kwasababu ameonyesha matunda ya kiuongozi ndani ya muda mfupi sana.kwa kuleta maendeleo na kupaisha uchumi wetu. Mapato kwa mwezi kwa sasa ni zaidi ya Trilioni mbili kwa Mwezi,shule zimejengwa kila sehemu ambapo sasa wanafunzi wote wanaofaulu kidato cha kwanza wanaripoti kwa wakati mmoja. Tofauti na zamani ambapo wengine waliripoti awamu ya pili na hivyo kuchelewa kimasomo ukilinganisha na wenzao walioripoti jamnuary.Hii
Ni hoja nzito. Je huyu rais bado anatosha?
Acha kunifananisha CCM na hivyo vyama dhaifu visivyo na uwezo hata wa kuandaa ilani zao wala kuwa na viongozi ngazi zote wala kuandaa wagombea ubunge na urais. CCM Ni chama kiongozi kilichofanya mengi na makubwa kwa taifa letu na ndio maana kinaendelea kuaminika kwa watu.Kipindi cha Msoga wasanii ndio walikuwa wanatafuta kiki kupitia rais lakini awamu ya Kizimkazi rais ndiye anatafuta kiki kupitia wasanii. Maana yake urais umekuwa rahisi hauna ushawishi tena.
Ccm haina watu zaidi ya wasakatonge. Angalia hata kurasa zao za mitandaoni utaona nje ya madaraka wanayopata kwa kuiba kura ni sawa na TLP tu.
Kweli AiseeeeWafanyakazi wote mtulize akili zenu sasa kuelekea 2025. Mkituliza akili mtatambua kwamba kwa Rais Samia Mwanamziki Hamonaiza ni muhimu sana kuliko nyie na shida zenu. Ndio maana Rais alituma watu kuja kuwasikiliza. Tena kwa dharau zaidi ikaonekana mtumbuizwe na Wadudu πππ
Ndio maana hata katika mikutano yake yote hajawai kudokeza wala kufafanua hoja zenu. Fikiria Rais anakuwa na mipango na wasanii kuambatana naye nje ya nchi, yaani imekuwa kipaumbele chake, lakini sio kusema chochote kuhusu kikokotoo
Mnataka mfanyiwe nini ili muelewe kwamba mmepuuzwa?
Daaaah!!!Kipindi cha Msoga wasanii ndio walikuwa wanatafuta kiki kupitia rais lakini awamu ya Kizimkazi rais ndiye anatafuta kiki kupitia wasanii. Maana yake urais umekuwa rahisi hauna ushawishi tena.
Ccm haina watu zaidi ya wasakatonge. Angalia hata kurasa zao za mitandaoni utaona nje ya madaraka wanayopata kwa kuiba kura ni sawa na TLP tu.
Huna adabu kabisa wewe na umekosa malezi ya wazazi wako.u amelewa ushawishi wa wasanii wewe? Unafikiri kwanini mataifa makubwa kama Marekani huwatumia katika masuala mbalimbali? Ya huwa huoni? Au wewe Ni kipofu?Jana kawapa ahadi ya kuongozana nao ulaya yaani huyu sam100 ni kopo kabisaa
Kweli nini wewe usiyejitambua?Kweli Aiseeee
Popoma katika ubora wakeAcha uchonganishi wako hapa wewe. Kwani nani ambaye hafahamu kuwa siku ya Mei Mosi Mheshimiwa Rais wetu alikuwa nje ya Nchi kuiwakilisha nchi yetu. Laini pia umeona na kushuhudia kule Marekani Marais wakihudhuria matukio kama hayo? Unafahamu mchango wa wasanii katika jamii? Unakuwa msanii anaweza kutumika katika kutangaza utalii na kuwashawishi watalii kuja hapa Nchini?
Embu angalia msanii kama JAY-Z anasikilizwa nawatu zaidi ya millioni 39 kwa mwezi ,hapo bado sijazungumzia wafuasi wake katika mitandao ya kijamii ambao wapo mamilioni kwa mamilioni Duniani kwote. Je unafikiri unafikiri ushawishi wake unaweza kulingana hata na waziri mwandamizi wa wizara gani hapa nchini akiamua kulipa msukumo Jambo fulani?
Shida yenu CHADEMA akili zenu akili zenu ni fupi sana na mnawaza karibu sana.
Wewe na Harmonize Nani mwenye ushawishi hapa Nchini? Kwani lazima awakilishwe kila sehemu kama anayo nafasi ya kuhudhuria mwenyewe?Kuna majibu yeyote tangible alitoa pale zaidi ya kusema tunalichukua? Mbona hakutuma waziri Ndumbaro na FA wakamwakilishe kucheza mziki
Kwani mei mosi tena iliyofanyika mchana ulimuona? ila kwenye kigodoro cha Harmonize usiku alikuwepo!Kweli nini wewe usiyejitambua?
Kwanini asiende? Kwani unawachukuliaje wasanii wewe? Unafahamu mchango wao katika uchumi,utalii pamoja na biashara? U afahamu msanii kama Harmonize ana wafuasi wangapi wanaomfuatilia kila siku? Nani kati yako na Harmonize anaeza kuutangaza vyema utalii wetu na kuwavuta watu wakaja hapa nchini?Eti rais wa nchi anaenda kwenye show ya msanii na kutoka midnight, mbona hapo hakutuma mwakilishi kama anavyofanya kwenye mambo mengine?!
Naunga mkono hojaAcha uchonganishi wako hapa wewe. Kwani nani ambaye hafahamu kuwa siku ya Mei Mosi Mheshimiwa Rais wetu alikuwa nje ya Nchi kuiwakilisha nchi yetu. Laini pia umeona na kushuhudia kule Marekani Marais wakihudhuria matukio kama hayo? Unafahamu mchango wa wasanii katika jamii? Unakuwa msanii anaweza kutumika katika kutangaza utalii na kuwashawishi watalii kuja hapa Nchini?