Kwa Samia, Harmonize ni muhimu kuliko Wafanyakazi na Mei Mosi!

Eti rais wa nchi anaenda kwenye show ya msanii na kutoka midnight, mbona hapo hakutuma mwakilishi kama anavyofanya kwenye mambo mengine?!
Kwani Rais hana ruhusa kusuuza moyo wake?
Yeye ni binadamu kama wewe tu tofauti ni mgawanyo wa kazi tu
 
Umepita mule mule kwenye mawazo yangu.
 
Kuna majibu yeyote tangible alitoa pale zaidi ya kusema tunalichukua? Mbona hakutuma waziri Ndumbaro na FA wakamwakilishe kucheza mziki
Unapoteza calories zako bure kumjibu huyo kwangu pakavu
 
Wafanyakazi hao hao wamechanga pesa wamchukulie fom.
Wasanii hata habari za fomu hawana.
 
Kule ndipo mahala pa kampeni, wanasiasa kila waonapo wawili watatu wamekusanyika wanajua kuna kura, hadi misibani wanafanya kampeni, ye asikute ki group cha watu anajua hapa kura zipo.
Bila mabadiliko ya katiba sioni ccm inakuwaje wanaogopa mambo ya uchaguzi au sioni hata haja ya kuanza kampeini maana wao wanapora tu kura
 
Kwani wafanyqkazi mnampa nini? Kwanza, anajua mnavyomchuki, hamtampigia kura, Wakati harmonize, anawakusanya mazombie vijana(vijana Ambao wanaamini kuna neema ndani ya CCM), wampigie kura
Nawachukia sana mazombie hasa wale machinga ambao wanakuwa wepesi kudanganywa
 
Tatizo sio watumishi wa umma!

Tatizo ni dola!inayowaweka viongozi madarakani!

Unataka mfanyakazi afanye nini!!?Aandamane Ili apigwe risasi za moto!!?

Kuhusu kikotoo ni tatizo la system ya utawala,fedha za mifuko ya wafanyakazi kutumiia kisiasa ku fund shughuli za kisiasa na miradi isiyozalisha ni uzembe unaowanyima mafao kwa wakati wafanyakazi miaka nenda rudi!refer marehem Ramadhani Dau na nccf!

Kuna ombwe katika Dola ya Tanzania,kuna watu hawafikiri sawasawa ndani ya Dola,wanashabikia uchama badala ya mstakabali was taifa lijalo!

Wanasiasa wezi ,wabadhirifu wanachekewa na kulindwa na dola Hilo ndio tatizo!!

Hakuna jamii inayopiga KAZI kama wafanyakazi was umma nchi hii,sisi ndio tunawapa wanasiasa platform ya Nini waseme kwa kuwapa data Kila mwaka!lakini CCM chama changu badala ya kuwa chama cha wafanyakazi na wakulima kimekua chama cha wanasiasa mafisadi wanaolindwa na Dola!

Kifupi Dola imefanya compromise na wanasiasa Ili wawaibie wananchi halafu Leo unawashutumu wafanyakazi eti no wazembe wakati wao ndio walipakodi wakuu nchini!!!?


Katika awamu yangu Mimi kila mwanasiasa atalipa Kodi nikiwemo,wanasiasa mafisadi watafungwa na kulima mchicha kama wafungwa was kawaida!!

Wala jamhuri haitihujumiwa Tena katika nyakati zile!!
 
Hizo ni harakati za kupumbaza watu, pia ni maandalizi ya kampeni na kuhalalisha wizi wa kura.
 
Kwani wafa yakazi wanatoa kodi zaidi ya kufirisi serikali tu? Hata marekani elon musk anakuwa valued sana
 
Ndugu mwashambwa Jay Z A.k.a hana mitandao ya kijamii... Anasikiliziwa hukohuko kwenye ma-spotify, Apple Music, Samsung Music na platform zinginezo. Mungu wake kamkataza mitandao πŸ˜‚

Rekebisha hapo, umedanganya uma.
 
Kiongozi hapimwi hivyo maana unateleza tu kama unamuelezea Bakhresa au Mo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…