Mtoto halali na hela
JF-Expert Member
- Aug 10, 2012
- 52,160
- 48,974
Wasomi wetu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Binafsi siwezi kuwakumbuka Kwa mema hao sukuma gangMimi nilishawaelewa mapema tu
Wacha wanyonywe tu maana dawa ya mtu muoga ni kumtishia tuWafanyakazi wa taifa hili ni mazuzu na wapumbavu wengi wanaona bora kuwa chawa kuliko kupigania haki zao.
Kwani Rais hana ruhusa kusuuza moyo wake?Eti rais wa nchi anaenda kwenye show ya msanii na kutoka midnight, mbona hapo hakutuma mwakilishi kama anavyofanya kwenye mambo mengine?!
Umepita mule mule kwenye mawazo yangu.Wafanyakazi wote mtulize akili zenu sasa kuelekea 2025. Mkituliza akili mtatambua kwamba kwa Rais Samia Mwanamziki Hamonaiza ni muhimu sana kuliko nyie na shida zenu. Ndio maana Rais alituma watu kuja kuwasikiliza. Tena kwa dharau zaidi ikaonekana mtumbuizwe na Wadudu 😀😀😀
Ndio maana hata katika mikutano yake yote hajawai kudokeza wala kufafanua hoja zenu. Fikiria Rais anakuwa na mipango na wasanii kuambatana naye nje ya nchi, yaani imekuwa kipaumbele chake, lakini sio kusema chochote kuhusu kikokotoo
Mnataka mfanyiwe nini ili muelewe kwamba mmepuuzwa?
Unapoteza calories zako bure kumjibu huyo kwangu pakavuKuna majibu yeyote tangible alitoa pale zaidi ya kusema tunalichukua? Mbona hakutuma waziri Ndumbaro na FA wakamwakilishe kucheza mziki
Bila mabadiliko ya katiba sioni ccm inakuwaje wanaogopa mambo ya uchaguzi au sioni hata haja ya kuanza kampeini maana wao wanapora tu kuraKule ndipo mahala pa kampeni, wanasiasa kila waonapo wawili watatu wamekusanyika wanajua kuna kura, hadi misibani wanafanya kampeni, ye asikute ki group cha watu anajua hapa kura zipo.
Kwani ccm huwaga wanategemea maamuzi ya wapiga kura?Kampeni mkuu...
Kupitia wasanii wanaamini watapata kura
Ile ni album ya nyimbo za kampeni.
Kwani siku ya Mei mosi alikuwepo nchini?
Nawachukia sana mazombie hasa wale machinga ambao wanakuwa wepesi kudanganywaKwani wafanyqkazi mnampa nini? Kwanza, anajua mnavyomchuki, hamtampigia kura, Wakati harmonize, anawakusanya mazombie vijana(vijana Ambao wanaamini kuna neema ndani ya CCM), wampigie kura
Tatizo sio watumishi wa umma!Wafanyakazi wote mtulize akili zenu sasa kuelekea 2025. Mkituliza akili mtatambua kwamba kwa Rais Samia Mwanamziki Hamonaiza ni muhimu sana kuliko nyie na shida zenu. Ndio maana Rais alituma watu kuja kuwasikiliza. Tena kwa dharau zaidi ikaonekana mtumbuizwe na Wadudu 😀😀😀
Ndio maana hata katika mikutano yake yote hajawai kudokeza wala kufafanua hoja zenu. Fikiria Rais anakuwa na mipango na wasanii kuambatana naye nje ya nchi, yaani imekuwa kipaumbele chake, lakini sio kusema chochote kuhusu kikokotoo
Mnataka mfanyiwe nini ili muelewe kwamba mmepuuzwa?
Punguza mdomo😂Mzee baba, kwani siku ya Mei mosi inakuja ghafla kama mwandamo wa mwezi?
Punguza mdomo😂
Kwani wafa yakazi wanatoa kodi zaidi ya kufirisi serikali tu? Hata marekani elon musk anakuwa valued sanaWafanyakazi wote mtulize akili zenu sasa kuelekea 2025. Mkituliza akili mtatambua kwamba kwa Rais Samia Mwanamziki Hamonaiza ni muhimu sana kuliko nyie na shida zenu. Ndio maana Rais alituma watu kuja kuwasikiliza. Tena kwa dharau zaidi ikaonekana mtumbuizwe na Wadudu 😀😀😀
Ndio maana hata katika mikutano yake yote hajawai kudokeza wala kufafanua hoja zenu. Fikiria Rais anakuwa na mipango na wasanii kuambatana naye nje ya nchi, yaani imekuwa kipaumbele chake, lakini sio kusema chochote kuhusu kikokotoo
Mnataka mfanyiwe nini ili muelewe kwamba mmepuuzwa?
Ndugu mwashambwa Jay Z A.k.a hana mitandao ya kijamii... Anasikiliziwa hukohuko kwenye ma-spotify, Apple Music, Samsung Music na platform zinginezo. Mungu wake kamkataza mitandao 😂Acha uchonganishi wako hapa wewe. Kwani nani ambaye hafahamu kuwa siku ya Mei Mosi Mheshimiwa Rais wetu alikuwa nje ya Nchi kuiwakilisha nchi yetu. Laini pia umeona na kushuhudia kule Marekani Marais wakihudhuria matukio kama hayo? Unafahamu mchango wa wasanii katika jamii? Unakuwa msanii anaweza kutumika katika kutangaza utalii na kuwashawishi watalii kuja hapa Nchini?
Embu angalia msanii kama JAY-Z anasikilizwa nawatu zaidi ya millioni 39 kwa mwezi ,hapo bado sijazungumzia wafuasi wake katika mitandao ya kijamii ambao wapo mamilioni kwa mamilioni Duniani kwote. Je unafikiri unafikiri ushawishi wake unaweza kulingana hata na waziri mwandamizi wa wizara gani hapa nchini akiamua kulipa msukumo Jambo fulani?
Shida yenu CHADEMA akili zenu akili zenu ni fupi sana na mnawaza karibu sana.
Bado mkuu, wanasikilizia juni au julai, hiyo miezi ikipita watavumilia maumivu. Sasa hivi bado ni optimistic.Hivi watumishi wa umma huwa wanapandishwa madaraja May mwaka huu wamepanda kweli?
Kiongozi hapimwi hivyo maana unateleza tu kama unamuelezea Bakhresa au Mo.Ndio anatosha sana tu kwasababu ameonyesha matunda ya kiuongozi ndani ya muda mfupi sana.kwa kuleta maendeleo na kupaisha uchumi wetu. Mapato kwa mwezi kwa sasa ni zaidi ya Trilioni mbili kwa Mwezi,shule zimejengwa kila sehemu ambapo sasa wanafunzi wote wanaofaulu kidato cha kwanza wanaripoti kwa wakati mmoja. Tofauti na zamani ambapo wengine waliripoti awamu ya pili na hivyo kuchelewa kimasomo ukilinganisha na wenzao walioripoti jamnuary.
Ameongeza bajeti ya kilimo kutoka Billion mia mbili mpaka Trilioni moja na point mwaka huu.ameo gexa mikoa ambayo ilikuwa haijaungaishwa katika grid ya Taifa kama vile kigoma na Katavi amejenga na kuweka mawe ya msingi ya ujenzi wa barabara kwa kuwango cha lami ,ametoa maelfu ya ajira kwa vijana hapa nchini japo hajamaliza vijana wote waliopo mitaani lakini ameonyesha juhudi kubwa la kuwapunguzia vijana waliopo mitaani bila ajira.