Kwa sasa, huenda hawa wakawa ndio Wanawake bora wa kuoa

Bar maid ni mabinti Kama mabinti wengine tofauti ni Hilo jina bar maid tu mkuu wangu
Mazingira ya kazi yanawaharibu
Hebu fikiria binti wa miaka 18 kila siku anakunywa pombe, analala saa 8, ananyanyasika na wateja wakilewa ambao ni wanaume, bosi wake (meneja). Mshahara usiokidhi mahitaji yake hadi anajiingiza kwenye ukahaba, analala geto. Hadi afikishe miaka 28 atakuwa ametembea na wanaume 3,000+
 
😅😅 Kinacho kutishwa hapo ni wanaume 3000+

Vipi Usha wai kufikilia kuhusu bint wa chuo toka darasa la Saba mpaka Ana maliza chuo +kuajiliwa atakuwa ametembea na wanaume wangapi?

Kuhusu mazingira hapo sikatai mkuu kiukweli ndio msingi wa kuharibikiwa kwao lakini pia kwa kutumia mazingira hayo hayo anaweza kubadilika na kuwa mke mwema mkuu

Pamoja na hayo nikushukulu kwa mchango wako🙏🙏
 
Hao wote uliowataja wametumika Sana. Na kwenye simu zao zimejaa namba za wateja wao. Ni vigumu mhudumu wa hoteli au bar kukataa dau ulilolitangaza kimasihara. Hata kama masharti ya kazi ni magumu kiasi gani atatafuta muundombinu mbabadala hadi alikwapue dau hilo yeye mwenyewe in person. Wapo kwenye risk kubwa ya maambukizi
 
Picha linaanza kabebwa Mwanza kaletwa Mbeya kwa kudanganywa kuwa kuna kazi nzuri,anafika kazi hakuna anaanza kudangishwa,huyo hajitambui,ukioa huyo kwa hiari yako kabisa utakuwa umechagua upande wa vita wa Ukraine.
 
Wanawake wa namna hii penzi sio kitu Cha thaman,,yupo tear kutoa penz ili apate hudumu ya elf 2 au 3 ( boda boda watajivinjari)
 
Namba 3 afadhali, ila iyo namba moja na mbili, mmh ni risk kubwa hiyo Killing machine
 
Wewe unaongelea ma-barmaid wa wapi??
Sinza kitambaa cheupe au wa Hyatt??

Km wa Sinza hao ni ma- afisa utamu wenye maneno km cherehani, ukimtaka umpe pesa manager ili afidie muda wa kazi akafanye kazi nyingine…..

Wewe km unaoa oa kila mwanamke na tabia zake, hata upewe malaika km ww muoaji huna tabulasa ni kazi bure.
 
Kwa akili zako,mwanamke atoke Mwanza aende Mbeya,kwa ridhaa yake,akose nauli ya kurudi,akubali tu kazi aliyoikuta! Umevurugwa wewe.
1. Akienda kwa wanawake wenzake hakosi nauli kwa kuchangiwa.
2. Akimwambia mshikaji amgegede yeye hata siku 2 ampe nauli,atapata.

Wa kukubali ni mzoefu. Hao wengine wawili,jaribu. Ila mwanamke wa baa,utampa nini hajapewa? Staili gani mpya hajafanywa? Tena hilo kundi,binafsi hata namba sichukui.
 
In most cases utapata mke mzuri akiwa amelelewa vizuri. Amefundishwa thamani yake na thamani ya wengine, aliyelelewa kwa upendo, akawa na upendo ataweza kutoa upendo, mtu hawezi kutoa ambacho hana, hii formula mbona rahisi?

Ukipata aliyelelewa kwa huruma, akawa na huruma atatoa huruma, atakuwa anakuhurumia mumewe, vivo hivyo kwa tabia zingine kama msamaha, heshima, kujitoa etc! and vice versa is true!

Mnaoverlook sana mambo mtalia kila siku!
 
Wakiwa nje wapole subiri waingie ndani. Hakuna rangi utaacha kuona
 
Jibu sahihi
 
Jibu sahihi
Thank you champ! I wish kuna vitu watu waelewe, ama sivyo tukubali kumchukua yeyote na uanze upya kufoster positive behaviors.

Wataalamu watatuambia chances ni ngapi kwa mtu mzima kufundishwa positive behaviors!

Haya mambo ni magumu, kuna muda unawaacha watu wateseke na machaguo yao 😂
 
Mleta mada,amepindishi ukweli. Angesema wana sura na chura, hapo sawa. Wengi wao akimuona,namba anachukua,zigo anapiga,na hapo anahalalisha ndoa. Huyu kaongozwa na nyege. Ataachaje kuziona rangi za kila aina? Ukweli ni kwamba mwanamke mwenye malezi,hawezi kufanya kazi baa. Na akifanya,utaona utofauti na wenzake. Full stop.
 
Hii elimu utusaidie kuwapa vijana wadogo ambao bado hawajaelewa mambo labda inaweza kuleta positive impacts kwa hizi ziitwazo ndoa za sasa.

Huyu mleta mada tumuache alie.
 
Mambo Kama haya wanayo Hawa tunao waits wa kuwaowa

Fikilia mwanamke alikuwa anafanya kazi ya usaidizi wa mgahawa analipwa 2000 toka hasubuhi mpaka jioni

Unakuja ku mwoa unamwachia kila siku 10000

Atakudharau kweli ili aludi aliko toka mkuu?
Ukiwaoa wewe inatosha
 
Kwani wewe r na l zilikupita mbali wakati tunafundishwa irabu na konsonanti darasa la pili? Dh na Z hujui zatakiwa kutumika wapi na wapi?

Mwl wa kiswahili kapita hapa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…