Kwa sasa, huenda hawa wakawa ndio Wanawake bora wa kuoa

Kwa barmaid sikushauri/sikuungi mkono. Utajuta

Hapo kwenye usarama juu ya maambukizi naku hakikishia mkuu mtoto wa kanisani si sarama kuliko bar maid

Na kuhusu kuyakumbuka madau ya jana/back days so rahisi kwa ma nyanyaso wanayo yapitia Kama ulivyo andika hapo juu
 
Jipe Moyo TU na huyo wako

Picha linaanza kabebwa Mwanza kaletwa Mbeya kwa kudanganywa kuwa kuna kazi nzuri,anafika kazi hakuna anaanza kudangishwa,huyo hajitambui,ukioa huyo kwa hiari yako kabisa utakuwa umechagua upande wa vita wa Ukraine.
Chukulia kama mdogo wako/Dada ako wa kike kakutana na hayo utamshauri shemeji yako asimuowe?
 
Chukulia kama mdogo wako/Dada ako wa kike kakutana na hayo utamshauri shemeji yako asimuowe?
Mkuu,The fact is Mwanamke BOra wa kuoa ni uyo uliyemuoa au utakayemuoa.Haijalishi kama ni wa church,msikitini au Bar.Kwa sisi ambao tuna wake TISa tumeshao mabar medi,wanakwaya,watoto wa nyumbani,Career women,Madada Poa,etc.SO Tunakwambia wewe endelea kujipa MOYO na Huyo wako wala usifikiri kuna ambaye ni BORA zaidi ya Mwingine.Mwanmke ni mwanamke tu.Akishaitwa Mke Ujue anabadilika na wewe unabadilika
 
Kweli kabisa, uko sahihi hapa. Wanawake washindao makanisani huku wakilia na kuimba nyimbo za mapambio kila uchwao na hawa washindao misikitini kwa kuswali swala 5 kwa siku na kuwa na lafudhi ya kimajini (Kiarab) ni mafuska kupindukia, wanaficha tabia zao za asili kupitia dini na uvaaji wao wa kininja kumbe ni wanafiki tu wasiofaa hata kuolewa.
 
Nashukuru mjukuu. Mie siku zote napingana na sera zozote jumuishi. Hauwezi kusema kabila fulsni wako hivi, kundi hili wako vile, wake bora wanapatikana mahali flani, au

Bado zipo?
Nashindwa kuelewa kabisa mjukuu, shida ni waoaji au waolewaji? Malalamiko kutoka Kwa wanaotarajiwa kuoa yamekua mengi sana.

Nimeona Kuna Chama kipya kimesajiliwa kinaitwa kataa ndoa, na kinavuta wafuasi balaa.
😅😅
 
Wana vaa kininja na kwenye Mambo Yale nimaninja kweli kweli 😅😅
 
Babu wa hovyo kwani unamuongelea nani? Halafu mimi niko singo, usiniharibie. Mpare gani kwani unamuongelea🤣🤣🤣
 
Je! Utafanya hivyo huku ukiwa unajua chanzo Cha yeye kufika pale kwamba ni bad luck na umasikini ulio kithili wa wazazi wake/family?
Nitafanya hivyo nikiwa najua kuwa kutumikishwa kwenye kudanga hakutokani na umaskini wake bali maamuzi yake
 
Nitafanya hivyo nikiwa najua kuwa kutumikishwa kwenye kudanga hakutokani na umaskini wake bali maamuzi yake
Kwa maana hiyo una maana kuwa atakuwa Ana fanya hivyo kwasababu anapenda kufanya hivyo sindio?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…