Kwa sasa imani, matumaini na mapendo ya watanzania wengi ni CCM pekee

..hayo unayoyaongelea ni matokeo ya sera mbaya, na uongozi mbovu wa CCM.
zingekua mbaya sera za CCM, waTanzania wasingekua na matumaini nayo πŸ’

ama chama gani kina sera nzuri na ziko wap zaidi ya CCM πŸ’
 
Ni kweli!ila ccm inayopambana na ubadhirofu na ufisadi ndani ya chama na sio hii ya kula kwa urefu was kamba!iliyopo inaharibu nasaba ya uongozi kitaifa!

Tumakinike!
 
Ni kweli!ila ccm inayopambana na ubadhirofu na ufisadi ndani ya chama na sio hii ya kula kwa urefu was kamba!iliyopo inaharibu nasaba ya uongozi kitaifa!

Tumakinike!
tunapambana, tunarekebisha dosari na makosa, tuajisahihisha na kusonga mbele tukiwa wamoja ndani ya CCM. na Chimbuko la Imani na matumaini ya waTanzania kwa CCM msingi wake ni mila na desturi hii muhimu sana πŸ’

hii ya kunyukana hadharini wao kwa wao majukwaani wafanye wao na wanao ona inafaaa...

kama chama Tawala, CCM itaendelea kuamini na kwakweli itaendelea kuzifikia ndoto na matarajio ya waTanzania kama ambavyo inatarajiwa πŸ’
 
Nyie si chama dola
Chama+serikali

Ova
ndio,
na CCM imejizatiti kweli kweli kuendelea kutawala na kuyafikia matumaini ya waTanzania ya maendeleo πŸ’
 
Wapumbavu wataona hilo kuwa sawa lakini mwenye akili hawezi kuwaamini ccm hata siku moja.
 
..CCm imebaki kuwa genge la kutafuta madaraka, ili wapige pesa.
daima maoni na mtazamo wako ni haki na uhuru wako,

ukweli utabaki pale pale kwamba waTanzania wengi kwa sasa wana imani na matumaini makubwa sana na CCM na Serikali yake iliyoko madarakani πŸ’

mengine ni porojo na stori za pata potea tu πŸ’
 
Wapumbavu wataona hilo kuwa sawa lakini mwenye akili hawezi kuwaamini ccm hata siku moja.
hiyo inabaki Imani yake, na sio tatizo hata kidogo....

ukweli utabaki kwamba imani na matumaini ya waTanzania walio wengi πŸ’

zaid ya hapo ni stori na porojo za imani haba tu πŸ’
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…