Kwa sasa imani, matumaini na mapendo ya watanzania wengi ni CCM pekee

Kwa sasa imani, matumaini na mapendo ya watanzania wengi ni CCM pekee

..hayo unayoyaongelea ni matokeo ya sera mbaya, na uongozi mbovu wa CCM.
zingekua mbaya sera za CCM, waTanzania wasingekua na matumaini nayo 🐒

ama chama gani kina sera nzuri na ziko wap zaidi ya CCM 🐒
 
Ni kweli!ila ccm inayopambana na ubadhirofu na ufisadi ndani ya chama na sio hii ya kula kwa urefu was kamba!iliyopo inaharibu nasaba ya uongozi kitaifa!

Tumakinike!
 
Ni kweli!ila ccm inayopambana na ubadhirofu na ufisadi ndani ya chama na sio hii ya kula kwa urefu was kamba!iliyopo inaharibu nasaba ya uongozi kitaifa!

Tumakinike!
tunapambana, tunarekebisha dosari na makosa, tuajisahihisha na kusonga mbele tukiwa wamoja ndani ya CCM. na Chimbuko la Imani na matumaini ya waTanzania kwa CCM msingi wake ni mila na desturi hii muhimu sana 🐒

hii ya kunyukana hadharini wao kwa wao majukwaani wafanye wao na wanao ona inafaaa...

kama chama Tawala, CCM itaendelea kuamini na kwakweli itaendelea kuzifikia ndoto na matarajio ya waTanzania kama ambavyo inatarajiwa 🐒
 
Ndoto, matarajio na matamanio ya waTanzania wengi wa makundi mbalimbali kwa sasa ni katika Chama Imara Sana cha Mapinduzi CCM..

Hii ni kutokana na mipango na kimkakati yake katika kuwaongoza, kuwatumikia na kuwaletea waTanzania wote maendeleo...

Nchi imefunguka vizuri,
Biashara imefunguka, kilimo, ufugaji, uvuvi, usafirishaji na miundombinu vimeboreshwa na vimeimarika sana. Upstikanaji wa huduma muhimu kama vile maji, umeme, afya ni vya uhakika maeneo mengi nchini..
Serikali madhubiti ya CCM inasema na kutenda...

Mambo yanayoendelea ndani ya vyama vingine vya kisiasa nchini, ni aibu na hali ya kukatisha tamaa kabisa.....

Hawana hoja za tena za kuikosoa au kushauri serikali, hawaeleweki hata wanacholalamikia, hawaelewani wao kwa wao, hawaaminia wawo kwa woa n.k

Cha maana zaidi kwao kwa sasa ni, wanajijitambulisha vizuri sana kwa migawanyiko baina yao, malumbano na mipasho isiyo na tija kabisa.

Ama kwa hakika imani na matumaini ya waTanzania yamebaki kwa CCM na Serikali sikivu yake, chini ya kiongozi mahiri sana, kipenzi cha waTanzania comrade, Rais Dr.Samia Suluhu Hassan 🐒
Wapumbavu wataona hilo kuwa sawa lakini mwenye akili hawezi kuwaamini ccm hata siku moja.
 
..CCm imebaki kuwa genge la kutafuta madaraka, ili wapige pesa.
daima maoni na mtazamo wako ni haki na uhuru wako,

ukweli utabaki pale pale kwamba waTanzania wengi kwa sasa wana imani na matumaini makubwa sana na CCM na Serikali yake iliyoko madarakani 🐒

mengine ni porojo na stori za pata potea tu 🐒
 
Wapumbavu wataona hilo kuwa sawa lakini mwenye akili hawezi kuwaamini ccm hata siku moja.
hiyo inabaki Imani yake, na sio tatizo hata kidogo....

ukweli utabaki kwamba imani na matumaini ya waTanzania walio wengi 🐒

zaid ya hapo ni stori na porojo za imani haba tu 🐒
 
Back
Top Bottom