Rayns
JF-Expert Member
- Jul 29, 2023
- 3,620
- 7,818
Hakika,Mafisadi ndo yalimchukia kwa 100%
Mimi nilikuwa kwenye mgodi X
Mafisadi yalitaka yauze mgodi kwa jamaa mmoja anaitwa Barack...
Wanachi walitishiwa na FFU walifika na Trucks kibao...
Watu wakajichanga kwenda kwa Magufuli alikuwa chato na ziara zake za urais...
Wamefka mkoa X wakashikwa wote...
Rais akapata taarifa kuwa kuna watu walikuwa wanakuja kwake wamekamatwa...
Akafuatilia kisha akaweka mambo sawa watu waendelee kufaidika na madini nchini mwao...
Yule jamaa alitaifisha migodi mingi sana, magufuli akamfutia leseni zake...
Baada ya Magufuli kufa, after 4 months inasikitisha 😭😭😭