Kwa sasa kumtetea Rais MAGUFULI (RIP) ni ngumu sana sawa na kuwatetea Single mother kulivyo na ugumu

Mafisadi ndo yalimchukia kwa 100%
Hakika,
Mimi nilikuwa kwenye mgodi X
Mafisadi yalitaka yauze mgodi kwa jamaa mmoja anaitwa Barack...
Wanachi walitishiwa na FFU walifika na Trucks kibao...
Watu wakajichanga kwenda kwa Magufuli alikuwa chato na ziara zake za urais...
Wamefka mkoa X wakashikwa wote...
Rais akapata taarifa kuwa kuna watu walikuwa wanakuja kwake wamekamatwa...
Akafuatilia kisha akaweka mambo sawa watu waendelee kufaidika na madini nchini mwao...
Yule jamaa alitaifisha migodi mingi sana, magufuli akamfutia leseni zake...
Baada ya Magufuli kufa, after 4 months inasikitisha 😭😭😭
 
Mkuu kama sikosei ni mwakitolyo baraka na jamaa yake wa karibu walikuwa wamejimilikisha... kuna mgodi mwingine upo sarawe kama sio kadete ni idete ama nimesahau jina nao pia walikuwa wamejimilikisha
 
Awamu hii ilipoingia ilitumia nguvu kubwa kumchafua marehemu. Sasa uchaguzi umekarinia wanaanza tena kutumia nguvu kubwa kumchafua Magufuli.
Hakuna cha maana walichofaya tangu waingie sada wanabaki kutumia mgongo wa JPM.
Moja ya kitu ambacho nime observe Kwa hii miaka mitatu/minne ya awamu mpya a.k.a awamu ya sita

Wapinzani ni kama vile Bado wanaumizwa sana na marehemu kuliko hata mambo yanayoendelea kwenye awamu hii, na Cha kushangaza zaidi wanamlaumu marehemu hadi kwenye huu utekaji unaoendelea.... Yaani utafikiri labda marehemu Bado yupo hai.

Mpaka Kuna muda Huwa nahisi Hawa wapinzani shida Yao sio ccm bali shida Yao ilikuwa ni Magufuli tu, na upo uwezekano mkubwa sana walikuwa wanatumika isipokuwa Magufuli akawa ni kikwazo kikubwa sana kwao.
 
Mkuu kama sikosei ni mwakitolyo baraka na jamaa yake wa karibu walikuwa wamejimilikisha... kuna mgodi mwingine upo sarawe kama sio kadete ni idete ama nimesahau jina nao pia walikuwa wamejimilikisha
Inshort Magufuli alikuwa mzalendo, lakini kwa sababu ilimbidi afanye baadhi ya vitu kwa sababu na yeye ni binadamu, alifyeka baadhi ya watu 😁
 
Mimi nilikuwa na mkubali sana jpm kwa 90% katika utendaji wake wote na hata kifo chake kinaniuma hadi leo.
Mimi sio mtu wa siasa za hapa Tz Maana naona kabisa hii nchi hakuna chama cha upinzani kilicho serious.

Siku mbili hizi Tangu kitabu cha kabendera kiachiwe naona jpm kafukuliwa huko aliko hata mafisadi yamepata pakutemea nyongo.Yaani imekuwa ngumu mno kusimama na kutetea hata ukisema mazuri yake buku anaibuka mtu anakwambia Jpm alimpiga bastola ben saanane hadi akaanza kutetemeka na siraha ikadondoka chini.

Nikweli yanasemwa mengi sana kuhusu ubaya wake na wengi wanasema alikuwa kichaa..... Ningependa hizi tuhuma zithibitishwe kwa ushahidi kama kweli jpm alienda kumbaka makamu wake akiwa kavaa pajama tupu kama mwandishi anavyosema na kwa kuwa makamu yupo aende akatoe ushahidi mahakamani kuwa kweli mimi makamu wake jpm alikuja na pajama akitaka kunibaka nami nikamwambia nitajihudhuru u makamu.

Tofauti na hapo hizi hoja hazina mashiko yoyote. Mimi siamini wala sikatai ila nitaamini na kukubali iwapo ushahindi utatolewa na kuthibitisha kuwa ni kweli aliua.

Nimeona Uzi wa Askofu mwamakula naye katema nyongo yake lakini bado hoja yake zinakoswa mashiko kama alijitoa muhanga ilikuwaje asiyaseme hayo yote kipindi hicho?

Nachojiuliza hadi sasa mbona utekaji na mauaji yamezidi kuliko hata kipindi cha jpm?
Njia ya kujua ukweli zaidi ni kumshitaki Kabendera mahakamani tupate ushahidi ulio chini ya kiapo na potential perjury.

Tusikie mashahidi wanasemaje.

Kabendera kaandika mengi sana, lak8ni mengi zaidi hajaandika kasema.

Kaandika Magufuli alimbaka binti yake mwenyewe wa miaka 16, akamuambukiza HIV, kisha akampiga mpaka kumuua, ikafichwa.

Hizi tuhuma ni kubwa sana, kama.ni za uongo, Kabendera ashitakiwe tu.

Wanaogopa nini kumshitaki?
 
Inshort Magufuli alikuwa mzalendo, lakini kwa sababu ilimbidi afanye baadhi ya vitu kwa sababu na yeye ni binadamu, alifyeka baadhi ya watu 😁
Hayo ya kufyeka watu mimi nahitaji ushahidi na kwa sababu kabendera kaadai aliua akiwa ikulu hii ni ofisi ya watanganyika tupo ladhi hilo tukio tuonyeshwe TBC TAIFA. Tofauti na hapo ni uzushi tu
 
Moja ya kitu ambacho nime observe Kwa hii miaka mitatu/minne ya awamu mpya a.k.a awamu ya sita

Wapinzani ni kama vile Bado wanaumizwa sana na marehemu kuliko hata mambo yanayoendelea kwenye awamu hii, na Cha kushangaza zaidi wanamlaumu marehemu hadi kwenye huu utekaji unaoendelea.... Yaani utafikiri labda marehemu Bado yupo hai.

Mpaka Kuna muda Huwa nahisi Hawa wapinzani shida Yao sio ccm bali shida Yao ilikuwa ni Magufuli tu, na upo uwezekano mkubwa sana walikuwa wanatumika isipokuwa Magufuli akawa ni kikwazo kikubwa sana kwao.
Hao ni wachumia tumbo ambao miaka kabla ya JPM walikuwa wanakula makombo, JPM akakata line ndio ugomvi ulipoanzia. Sasa hivi wanakula makombo na wengine wanakula kuliko wenzao ndio huu ugomvi unaousikia sasa hivi huko upinzani. Ni wachumia tumbo tu hakuna mpinzani hapo.
 
Moja ya kitu ambacho nime observe Kwa hii miaka mitatu/minne ya awamu mpya a.k.a awamu ya sita

Wapinzani ni kama vile Bado wanaumizwa sana na marehemu kuliko hata mambo yanayoendelea kwenye awamu hii, na Cha kushangaza zaidi wanamlaumu marehemu hadi kwenye huu utekaji unaoendelea.... Yaani utafikiri labda marehemu Bado yupo hai.

Mpaka Kuna muda Huwa nahisi Hawa wapinzani shida Yao sio ccm bali shida Yao ilikuwa ni Magufuli tu, na upo uwezekano mkubwa sana walikuwa wanatumika isipokuwa Magufuli akawa ni kikwazo kikubwa sana kwao.
Dunia nzima watu wanafanya rejea za uongozi wao uliopita.

Nimetoka kusoma kitabu cha "The Last Tsar: The Abdication of Nicholas II and the Fall of the Romanovs" by Tsuyoshi Hasegawa.

Kitabu kinaelezea maisha ya Tsar Nicholas II wa Russia na jinsi akivyoondoka kwenye ufalme na kuuawa Russia miaka 107 iliyopita, mwaka 1917.

Kitabu kimechapishwa December 2024.

December 2024 baada ya miaka 107 ya kufa kwa Tsar Nicholas II, watu wanaandika vitabu vipya kuhusu historia hii.

Itakuwa huyu Magufuli kafa 2021 hata miaka minne haijafika bado?

Waacheni watu waandike, vibaya ni kuandika uongo, wakiandika uongo washitakini.

Na huyo Samia hujakatazwa kuandika kitabu cha kumchambua, andika, tutanunua.

9781541606166.jpg
 
Njia ya kujua ukweli zaidi ni kumshitaki Kabendera mahakamani tupate ushahidi ulio chini ya kiapo na potential perjury.

Tusikie mashahidi wanasemaje.

Kabendera kaandika mengi sana, lak8ni mengi zaidi hajaandika kasema.

Kaandika Magufuli alimbaka binti yake mwenyewe wa miaka 16, akamuambukiza HIV, kisha akampiga mpaka kumuua, ikafichwa.

Hizi tuhuma ni kubwa sana, kama.ni za uongo, Kabendera ashitakiwe tu.

Wanaogopa nini kumshitaki?
Kabendera naona wazi kabisa kama amesimuliwa ni uongo mtupu. Jambo kama hilo la kubaka mtoto wake wa damu kisha kumuua alikoswa nini cha ziada? Haitaji hata kufikiri mara2 ndo ujue hapa kuna uongo mwingi tu.

Na hata akishitakiwa kutakuwa na machafuko mengi kuliko haya mi naona jamaa katumwa kuchafua hali ya hewa kuelekea 2025 wala hoja zenye mashiko kwa watu wenye akili. Samia yupo kama alitendewa na akanyamaza kimya leo hii ni rais mbona hajawahi sema? Basi ametajwa sasa kuwa alikoswa koswa kubakwa sasa akikaa kimyaa kuna mawili hataki ajiingize kwenye hili ijapokuwa kashaingizwa tiyari ama ni ukweli jpm alienda kwakwe na pajama.
 
Kama Kabensera ni muingo au kaandika uingo, mshitakini mahakamani.

Tujue mbivu na mbichi kwa ushahidi utakaotolewa chini ya kiapo, at the risk of the penalty of perjury.

Mkilalamika mitandaoni tu itaonekana mmeshindwa kumshitaki Akbendeea kwa sababu kasema ukweli na mnaogopa anaweza kuibua madudu makubwa zaidi.

Silence implies consent. Msipomshitaki Kabensera maana yake mmekubaki akichoandika ni ukweli.
 
Hata wewe uliyenunu kitabu chake unaweza mshitaki vilevile kwa kumuomba aweke ushahidi usio na shaka mahakamani ili kitabu chake kipate uhalali wake.

Kabendera hata angeandika jpm aliwahi kunya kwenye mtungi wa maji bado mngeamini.Akili zenu ni ndogo sana.
 
Kitabu kinaitwaje mkuu
Kaandika Magufuli alimbaka binti yake mwenyewe wa miaka 16, akamuambukiza HIV, kisha akampiga mpaka kumuua, ikafichwa.
nataka nisome kidogo
 
Back
Top Bottom