Kwa sasa mbali na kwamba ninakipato, lakini kipato changu kinaishia kwenye kula tena kwa kukatisha milo, Je,lipi bora, nilipe ada tufe au tule tuish

ukishajiona unafanya kazi au unajishughulisha na kitu alafu unapata hela ya kula tu bas jua ni wakati muafaka wa wewe kutafuta jambo jingine kabisaaa la kufanya mbona maisha haya haya watu wanapata na hela za kujenga kununua mashamba kuwekeza miradi mbalimbali iweje ww ukwame na unajishughulisha unajua kuna shughuli au kazi kulingana na stage za maisha huwez fanya kaz anayofanya bachela hana watt alaf ww mwenye familia ufanye utarajie kutoboa mwenzako zinamtosha kwakua hana majukumu zaidi ya tumbo na vitu vidogo dogo
 
msipende sana vya bure
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…