baby zu
JF-Expert Member
- Nov 9, 2015
- 1,816
- 4,770
Wala sio uongoKuna mtu humu alisema kuna wakati ukiangalia net income yako unabaki kushangaa namna unavyosavaivu 😂
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wala sio uongoKuna mtu humu alisema kuna wakati ukiangalia net income yako unabaki kushangaa namna unavyosavaivu 😂
msipende sana vya bureUsiyoyapenda kuyasikia ni haya hapa
Huko mashuleni kulikolipiwa na serikali kuna haya yafuatayo
Kuna kulipia mlinzi 10000 kwa mwaka, kuna test za kila siku sh 1000, kuna kulipia mitihani ya moko sh 12000 kila wakifanya!
Kuna pesa ya kula tsh 32000 kwa mwezi
Unayajua hayo mkuu!
Je, kuna ubule hapo?