Kwa sasa, mita nyingi za Luku zinaondolewa Tariff Zero

Kuna Nyumba ya mzazi wangu Ameanza kutumia Umeme Mwaka jana
Mita 24238706220
Mudawote huo tokea kaunganishiwa Umeme hajafikisha 70 Unit yaani anamiezi 6 Unit 60 Tukijaribu kuomba Awekwe kwenye matumizi yachini Wanasema Huduma hiyo Ilisha Ondolewa
Yupo eneo gani? Namba ya mita tafadhali
 
Mimu tangu 2016 nauziwa unit kwa bei zaid ya 200 wakat matumiz yangu ni chin ya unit 30 kwa mwezi mf nikinunua umeme wa shiling 1000 napata unit 2.8 wakat huo jiran kwa hiyohiyo 1000 anapata zaid ya unit 7 inakuaje hapo???
Fanya Masahihisho Ununue Umeme Wa Tshs 1000 Upate Units 2.8 Naamini Ni Units 28
 
Tafadhali fika ofisi za eneo lako kwa taratibu na masharti kama utaonekana unakidhi utawekwa
Pamoja Na Kusisitiza Tufike Ofisi Zenu Huwa Wanakataa
Wanakwambia Huduma Hiyo Haipo Sasa Hivi
Nimekwenda Mno Huwezi Kupata Msaada
 
Kama unapenda low tariff nenda Zanzibar. Ila kwa bara tunalipa kwa ziada kule zenji..
 
Kaskazini mpaka vijiji waliondolewa tariff zero. Wakati wa Magu. Kwahiyo tuvumilieni.
 
Kwa hiyo kama amejenga Nyumba eneo la viwanda atawekwa tariff za viwanda?

Ingekuwa vyema msiangalie Eneo, Muangalie Matumizi.
 
Kwa hiyo kama amejenga Nyumba eneo la viwanda atawekwa tariff za viwanda?

Ingekuwa vyema msiangalie Eneo, Muangalie Matumizi.
Tafadhali rejea maelezo yetu hapo juu tarifa za nyumbani ni D1 na T1 viwanda vina tarif zake yaani T2 na T3
 
I have done the same mistake today
Pole sana. Mimi jamaa waliniondoa, ila wamenipa miezi mitatu ya matazamio. Ikiwa matumizi yatakuwa chini basi nitajaza fomu upya! Nasubiria!
 
Nina miaka miwili tangu nijaze form ya maombi ila sijapata hiyo huduma. Matumizi yangu tangu nifunge umeme 2018 mpaka Leo sijawahi kuvuka hiyo limit.
Meter.
43013519160
 
Nina miaka miwili tangu nijaze form ya maombi ila sijapata hiyo huduma. Matumizi yangu tangu nifunge umeme 2018 mpaka Leo sijawahi kuvuka hiyo limit.
Meter.
43013519160
Haa Haa
Huduma Hiyo Imejaa Ujanjaujanja Ghiriba, Fitna Zilongwa Mbali, Zitendwa Mbali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…