TANESCO
Official Account
- Jul 12, 2014
- 4,600
- 2,134
Tunakujulisha kuwa upo kundi sahihi la matumizi na manunuzi yako ya umeme yanafika mpaka unit 97 kwa mwezi01313926840
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tunakujulisha kuwa upo kundi sahihi la matumizi na manunuzi yako ya umeme yanafika mpaka unit 97 kwa mwezi01313926840
Sio kweli wengi sana matumizi sio ya viwanda ila tunalipia tarrifs izoo kubwaTunakujulisha kuwa upo kundi sahihi la matumizi na manunuzi yako ya umeme yanafika mpaka unit 97 kwa mwezi
Ndio maana nimesema nyinyi wezi, mimi ndie mwenye hiyo meter number na ninatumia kiasi cha units 70 mpaka 73 kwa mwezi, hizo Units zako 97 umezipata wapi, Nyie ni wezi, Tungekuwa na serikali sikivu ingeruhusu makampuni binafsi kama ilivyo kwenye ving'amuzi na simu za mikononi.Tunakujulisha kuwa upo kundi sahihi la matumizi na manunuzi yako ya umeme yanafika mpaka unit 97 kwa mwezi
Isiwe rahisi kutumia lugha ya kudhani wanaokuhudumia hawajui wanachofanya bali zipo taratibu na miongozo ya makundi mbalimbali ya watumiaji wa umeme hivyo wateja wetu wanawekwa kwenye makundi yanayoendana na matumizi yaoAkili za Kiafrika eti kwasababu nyumba ina vitu vingi vinavyohitaji umeme ili kurahisisha maisha, wao wanakuambia unatakiwa uingie kundi la viwandani! You TANESCO a incompetent and dumb. Kwahiyo kigezo cha kiwanda kwaakili zenu ni mtu kutumia zaidi ya unit 97 kwa mwezi?? Be smart guys!
TANESCO unapiga mipasho TU huyu Toka Jana anauliza hili swali humjibuMimi kila nikijaribu kununua umeme naambiwa mita namba haitambuliki naombeni msaada tanesco
Mimi nilishasema dawa ya hawa Tanesco ni kupata kampuni nyingine binafsi ili iweze kuwa challenge, wakianza kugombania wateja wao wenyewe watashikishana adabu na hapo ndipo tutapona na huu utapeli wa kila siku, Patakuwa na heshima na kuthaminiana pale tutakapokuwa na kampuni zaidi ya moja ya kutoa huduma hii ya umeme, nadhani wote mmeona jinsi Voda na Tigo wanavyopigana vikumbo kwa ajili yetu, yaani mpaka wanakuitia songesha, unafurahia kuwa na umiliki wa laini ya simu, unakuwa nazo mbili au tatu, moja ikisumbua unahamia nyingine huku unatembea, sasa kuwa na tanesco pekee yake lazima watihirikiAkili za Kiafrika eti kwasababu nyumba ina vitu vingi vinavyohitaji umeme ili kurahisisha maisha, wao wanakuambia unatakiwa uingie kundi la viwandani! You TANESCO a incompetent and dumb. Kwahiyo kigezo cha kiwanda kwaakili zenu ni mtu kutumia zaidi ya unit 97 kwa mwezi?? Be smart guys!
Tafadhali onesha namba ya mita, wilaya na namba ya simu kwa hatua zaidiMimi kila nikijaribu kununua umeme naambiwa mita namba haitambuliki naombeni msaada tanesco
garrix74 usiweke meter number hapa, we piga emergency number ueleze tatizo lakoTafadhali onesha namba ya mita, wilaya na namba ya simu kwa hatua zaidi
Nakubaliana na wewe, nisemacho ni kuwa kwa vile anatumia ID fake, apige tu hiyo emegency namba yetu ili kuendelea kujificha kwenye ID fake...Meter ambayo haitambuliki maana yake haijadajiliwa ili ionekana kwenye mfumi ndio maana tunaomba taarifa hizo kwa wepesi wa kumudumia
Akija Pm atahudumiwa piaNakubaliana na wewe, nisemacho ni kuwa kwa vile anatumia ID fake, apige tu hiyo emegency namba yetu ili kuendelea kujificha kwenye ID fake...
Vipi wameshakutoa au badoMimi mwezi huu nilinunua umeme mara mbili kwa bahati mbaya. Maana niliponunua ule wa units 75 kwa TZS. 9150 system ya bank ilionesha ime-fail hivyo ikabidi nihamie m-pesa.
Kulipa ile ya m-pesa ikaniletea units kidogo, kumbe system ya bank ilikuwa imekata kimya kimya!
Hivyo nasubiri mwezi ujao nione kama watakuwa wameniondoa kwenye hiyo ya TZS. 9150 kwa units 75.
Wanitoa mkuu. Lakini nimeshawasilisha malalamiko yangu kwa meneja kama walivyotaka.Vipi wameshakutoa au bado
Kwahiyo mtu akiwa Masaki lazima awekwe kundi moja na WAMASAKI wenzie hata kama matumizi yake ni sawa na mtu wa Kigogo ambaye anatumia taa 3, redio na kuchaji simu?Ndugu wapendwa wateja wetu!
Wateja wetu wote wanawekwa kwenye makundi ya matumizi yanayoendana na matumizi yao kwa kuzingatia wastani wa matumizi na eneo alilopo.
Ifahamike kuwa hakuna mteja wa matumizi ya nyumbani anayeweza kuwekwa kwenye kundi la matumizi ya viwanda.
Sasa nyinyi mlikubaliana na nani kuweka hayo magrupu ?, nyie ni wezi, hamjui matumizi halisi ya wateja wenu mnakurupuka na kupamga mabei bila kuzingatia uhalisia, hivi mnadhani watu wote tunapata hela za bure kama mnavyopata nyie ?, acheni tabia hiyo, heshimuni wateja basiNdugu wapendwa wateja wetu!
Wateja wetu wote wanawekwa kwenye makundi ya matumizi yanayoendana na matumizi yao kwa kuzingatia wastani wa matumizi na eneo alilopo.
Ifahamike kuwa hakuna mteja wa matumizi ya nyumbani anayeweza kuwekwa kwenye kundi la matumizi ya viwanda
Ndugu Mteja!Sasa nyinyi mlikubaliana na nani kuweka hayo magrupu ?, nyie ni wezi, hamjui matumizi halisi ya wateja wenu mnakurupuka na kupamga mabei bila kuzingatia uhalisia, hivi mnadhani watu wote tunapata hela za bure kama mnavyopata nyie ?, acheni tabia hiyo, heshimuni wateja basi
Ndugu wapendwa wateja wetu!
Wateja wetu wote wanawekwa kwenye makundi ya matumizi yanayoendana na matumizi yao kwa kuzingatia wastani wa matumizi na eneo alilopo.
Ifahamike kuwa hakuna mteja wa matumizi ya nyumbani anayeweza kuwekwa kwenye kundi la matumizi ya viwanda.
Ndugu mpendwa Mteja wetuTenesco tanzania nimelipia ili niunganishiwe umeme nimelipia Tsh 515 617.52 niko mwezi wa nne xx cjapatiwa huduma na hakuna chochote kinachoendlea sipewi taarifa yeyote
Upo mkoa gani kiongozi?Mimi mwezi huu nilinunua umeme mara mbili kwa bahati mbaya. Maana niliponunua ule wa units 75 kwa TZS. 9150 system ya bank ilionesha ime-fail hivyo ikabidi nihamie m-pesa.
Kulipa ile ya m-pesa ikaniletea units kidogo, kumbe system ya bank ilikuwa imekata kimya kimya!
Hivyo nasubiri mwezi ujao nione kama watakuwa wameniondoa kwenye hiyo ya TZS. 9150 kwa units 75.