Ad majorem
JF-Expert Member
- Aug 11, 2018
- 1,106
- 1,678
Bwashee, siku zote Msoga na Ufipa wakishikamana, vitendo viovu hushamiri. Ujambazi, Utekaji, na matukio yenye viashiria vya ugaidi. Hapo hatujazungumzia Madili( Rushwa). Ujue Msoga na Ufipa ni watoto wa mjini. Hawana uchungu na nchi, hivyo kusema hawa jamaa wakielewana Amani hutawala, sio sahihi.Inapendeza kuona wana Ufipa na wenzao wa Msoga kwa sasa wana mshikamano mkubwa baina yao.
Ni vema mshikamano huu ukaendelea hadi 2030 ili amani itamalaki nchini kwetu na wale walioko Ubelgiji na Canada waweze kurejea
Inapendeza sana.
Kazi Iendelee!
Uwezi kuelewa sababu umepooza akiliAndika vizuri nyumbu hueleweki.
Hata wewe inawezakuwa kuna mtu anakuona shetani kwa matendo uliyomfanyia kama ilivyo kwa Dk. Ulimboka anavyomuona Kikwete.Potelea mbali, bora jinamizi, nunda mla watu halipo. Jitu katili la roho za watu halipo. Shetwaini Lucifer halipo. Wcha waende Msoga, potelea mbali
Ukuda huuInapendeza kuona wana Ufipa na wenzao wa Msoga kwa sasa wana mshikamano mkubwa baina yao.
Ni vema mshikamano huu ukaendelea hadi 2030 ili amani itamalaki nchini kwetu na wale walioko Ubelgiji na Canada waweze kurejea
Inapendeza sana.
Kazi Iendelee!