Kwa sasa Yanga ndiyo timu inayocheza mpira mzuri barani Afrika

Kwa mpira niliouona kule Unguja na Kipanga, nilioushuhudia kule Tunis ule wa marudiano na niliouona na Yanga pale Lupaso na wa jana sio Club Africain ile nilioiona mechi zote hizo. Na ukizingatia ndio timu inayopendwa pale Tunis lazima kuna kitu wanakijua, na sio muda mrefu wataumbuana. Muda unaongea
 
Hahaha [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Jumatatu lete CV zako jangwani pale utanikuta ajira ushapata kijana,utakuwa kwenye upande wa kucheza na mitandao.
 
Mkuu, wale wanaomponda kocha wengi wao ni mashabiki wa mikia fc ambao huamua kuvaa jezi za wananchi na kuamua kutukana utadhani ni wananchi kweli.

Binafsi kama kuna dhambi ambayo tutaifanya Yanga, basi ni kumfukuza Nabi.
 
Kuna wakati nilidhan Yanga wako kwa Mkapa. Kwa namna walivowashika waarabu na walivokuwa huru kusakata kabumbu, na umiliki wa muda wote
 
Mkuu kunywa maji, toka nje upate hewa safi na kujichanganya na washkaji kwa story mbili tatu inasaidia kuondoa makasiliko
 
Hili kombe la washindwa litawafanya utopolo wazidi kuwa machizi. Mnyama vitu kama hivi alishavizoea tena kwa timu kubwa siyo hao vibonde wa Tunisia.

Nadhani mngewafunga Wydad au Laja casablanca mngetembea na chupi zenu zenye vinyesi vichwani

Sent from my Infinix X612 using JamiiForums mobile app
 
Umeeleza vizuri sana na unaijua yanga vizuri, ila aya mbili za mwisho ukaharibu kwa kuingiza ushabiki
 

Duuuh

Duuuh

We mzee
 
Ujengewe mnara kabisa hapo Samora.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…