Kwa Simba SC hii kama taifa tujiandae kwa aibu

Wanasimba mkubali mkatae timu yenu sio tishio tena kama ilivyokuwa misimu miwili nyuma. Huu ukweli mtaukubali mkitoka.
Yani nyie ndo wakusema hayo?? πŸ˜€πŸ˜€kweli mmepagawa aisee...timu mliyoiona ya wazee unalinganisha na timu hii yenye kasi kama vimondo..damu zinachemka..ni mtu mwenye wivu tuu ndo atakasema haya maneno...
 
Usitegemee kuina maajabu kwa mkapa, hamna timu ya kushinda zaidi ya goli mbili.

Kuna timu itashinda goli moja na ndo hiyo itapita, sijui ni ipi.
Aliekwambia tuna shida ya kushinda goli 2 nani?!

Sisi tunachotaka ni kuingia makundi regardless na idadi ya magoli.

Simba ishavuka hizo zama za kushindana idadi ya magoli. Kwetu kikubwa ni kukamilisha MALENGO.
 
Unamuitaje mtu usiemfahamu bwana mdogo, kama ndio baba yako 'WAKAMBO' unajuaje?!
Mada inahusu Simba, ama umeizungumzia Azam?
Una makasiriko yasiyo hata na msingi wowote.

Hebu rudia kusoma comment yangu hapo juu.
Mashabiki lialia wa hizi timu za kariakoo sijui mbongo zenu huwa mnaweka wapi mkiwa mnaongelea timu zenu.
 
 
Hoja ya heshima ya ugenini ni hoja mfu
 
Limbukeni wa mashindano utawajua tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…