Half american
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 38,283
- 97,793
- Thread starter
- #41
Muda utaongea.Kawaulize caf hilo swali. Timu 13 utailinganishaje na timu ya 7 ?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Muda utaongea.Kawaulize caf hilo swali. Timu 13 utailinganishaje na timu ya 7 ?
Hiyo timu ni ya ugenini.Usitegemee kuina maajabu kwa mkapa, hamna timu ya kushinda zaidi ya goli mbili.
Kuna timu itashinda goli moja na ndo hiyo itapita, sijui ni ipi.
Kwa nini usiwape nafasi ya kushinda kwao?Kwa namna walivyocheza nawapa nafasi kubwa kushinda hata kama watakuwa ugenini.
Yani nyie ndo wakusema hayo?? 😀😀kweli mmepagawa aisee...timu mliyoiona ya wazee unalinganisha na timu hii yenye kasi kama vimondo..damu zinachemka..ni mtu mwenye wivu tuu ndo atakasema haya maneno...Wanasimba mkubali mkatae timu yenu sio tishio tena kama ilivyokuwa misimu miwili nyuma. Huu ukweli mtaukubali mkitoka.
😁😃😀😆😄😂😂😂😂 Wenye akili ni wawili tu.
Aliekwambia tuna shida ya kushinda goli 2 nani?!Usitegemee kuina maajabu kwa mkapa, hamna timu ya kushinda zaidi ya goli mbili.
Kuna timu itashinda goli moja na ndo hiyo itapita, sijui ni ipi.
Yanga wanacheza na timu hazina washabiki kabisakwa simba hii weka hata uhai, itafungwa tu.
Punguza makasiriko bwana mdogo, nani kaitaja timu yako hapo??Aliekwambia tuna shida ya kushinda goli 2 nani?!
Sisi tunachotaka ni kuingia makundi regardless na idadi ya magoli.
Simba ishavuka hizo zama za kushindana idadi ya magoli. Kwetu kikubwa ni kukamilisha MALENGO.
Yoyote tu anaweza pachika hilo goli mkuu, mechi itakua wazi kwa timu yoyote.Hiyo timu ni ya ugenini.
Unamuitaje mtu usiemfahamu bwana mdogo, kama ndio baba yako 'WAKAMBO' unajuaje?!Punguza makasiriko bwana mdogo, nani kaitaja timu yako hapo??
Una makasiriko yasiyo hata na msingi wowote.Unamuitaje mtu usiemfahamu bwana mdogo, kama ndio baba yako 'WAKAMBO' unajuaje?!
Mada inahusu Simba, ama umeizungumzia Azam?
Mazuzu ni mengi pale vyurani😁😃😀😆😄😂😂😂😂 Wenye akili ni wawili tu.
Leo simba wamecheza chini ya kiwango sana, mashabiki wengi wanasema sababu ni heshima ya ugenini ila sikubaliani na hilo.
Hawa wajukuu wa Ghaddafi wapo vizuri sana, kwa kiwango hichi cha simba sitoshangaa wakifungwa hapa nyumbani.
Soma Pia:
NB: SIMBA SC MSILIAIBISHE TAIFA.
Hoja ya heshima ya ugenini ni hoja mfuLeo simba wamecheza chini ya kiwango sana, mashabiki wengi wanasema sababu ni heshima ya ugenini ila sikubaliani na hilo.
Hawa wajukuu wa Ghaddafi wapo vizuri sana, kwa kiwango hichi cha simba sitoshangaa wakifungwa hapa nyumbani.
Soma Pia:
NB: SIMBA SC MSILIAIBISHE TAIFA.
Limbukeni wa mashindano utawajua tuLeo simba wamecheza chini ya kiwango sana, mashabiki wengi wanasema sababu ni heshima ya ugenini ila sikubaliani na hilo.
Hawa wajukuu wa Ghaddafi wapo vizuri sana, kwa kiwango hichi cha simba sitoshangaa wakifungwa hapa nyumbani.
Soma Pia:
NB: SIMBA SC MSILIAIBISHE TAIFA.